Tuesday 9 April 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mwigulu kila mahali ..........

Sasa ng'ombe wa kimasai sio wanyama? je wanyama wa polini ni muhimu kuliko binadamu, acha wampe huyu muarabu wao lakini ajue tutachukua bila fidia


2013/4/9 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>

Mgogoro wa Loliondo: Kagasheki aponda kauli ya Nchemba

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1743110/-/129vqre/-/index.html
Mgogoro wa ardhi katika eneo la Loliondo umechafua hali ya hewa ndani Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kumpinga waziwazi, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Mwigulu Nchemba na kusisitiza kuwa uamuzi wa Serikali kuhusu eneo hilo utabaki palepale.
Waziri huyo amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa wakiwamo wabunge wa CCM, haziwezi kubadilisha msimamo wa Serikali.
Kauli hiyo inatofautiana na ile ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Mwigulu Nchemba aliyekwenda Loliondo mwishoni mwa wiki iliyopita na kuamua kuupeleka mgogoro huo kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisema hatua hiyo inakiuka sheria na ina athari kwa wananchi wa huko.
Akizungumza kwa simu jana, Kagasheki ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), alisema Serikali imeamua kuchukua kilomita za mraba 1,500 kati ya kilomita za mraba 4,000 za eneo la Loliondo.
Alisema ilifikia uamuzi huo ili kulifanya eneo hilo kuwa pori tengefu kwa ajili ya kusaidia wanyama kuzaliana na kupata malisho, hatua ambayo inapingwa na wakazi wa eneo hilo.
Waziri huyo alisema kuwa Nchemba, ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi, anapaswa kuelewa kuwa Serikali haikukurupuka kuchukua uamuzi.
.................endelea kwenye linki ya juu hapo!

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment