Saturday 20 April 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] AISEE HUYU NI ABSALOM KIBANDA? IF SO, VERY ENCOURAGING

Sasa tumaini unawapa mbinu ya kutumaliza. Wataelekeza nguvu zao kwenye
mbongo zetu. Nimekuwa nawaza wakati wote kimya kimya, hivi mtu
akinikata miguu, mikono na kichwa na ubongo wake vikabaki salama, huyo
anakuwa ameathili muonekano wangu tu. Nitaelekeza kazi zitafanyika.

On 4/21/13, Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com> wrote:
>
> Nilivyosoma maandishi haya, nikalazimika kuangalia mara tatu tatu email
> iliyotumika/iliyotuma. Ni baada ya kusoma mara ya kwanza na kukuta ni email
> ya Absalom Kibanda
>
> Inafanana kwa kiasi kikubwa na email yake nyingine ambayo nimekuwa
> nikiwasiliana nayo kwa kipindi kirefu sasa. Hasa kwa masuala yahusuyo kazi.
>
> Katika ile thread inayohusu article (nzuri) ya Chief Mobhare Matinyi juu ya
> Magreth Thatcher, Ndugu Absalom, akiwa bado J'burg, ameaandika hivi;
>
>
> "On Sat, Apr 20, 2013 at 9:36 AM, Absalom Kibanda <absakibanda@gmail.com>
> wrote:
>> I liked CNN commentator who described Thatcher as decisive and devisive.
>> Im in J'burg where many people despised her for labelling ANC and PAC's
>> anti apartheid fighters as terrorist organisations. Thatcherism was more
>> or less barbarism.
>>
>> To her our freedom fighters, the Nyereres, Mandelas and the likes, where
>> all terrorists!"
>
> Baada ya kusoma, tena na tena, nikakumbuka haraka haraka, vitu viwili.
> Kwanza baadhi ya maneno ambayo aliandika mtu mmoja, nafikiri ni Hoyce Temu
> pale alipomtembelea Absalom kule hospitalini.
>
> Sikumbuki maneno xactly, lakini in summary alikuwa akisema, referring to
> Kibanda, "He is still the same old Kibanda" she had just met two or so
> months before the former being assaulted and tortured.
>
> La pili, nikakumbuka siku ile Chief Ndimara Tegambwage na Saed Kubenea
> wamevamiwa wakiwa kazini ofisi za Mwanahalisi. Wakati napewa taarifa,
> nilikuwa bafuni (nilikuwa chuoni bado), sijui kwa nini, lakini nilijikuta
> nikiuliza, "wameumizwa kichwani au ubongo umeathirika", nikaambiwa hadi sasa
> (then) inaonekana kuwa shambulio limemuathiri Saed Kubenea macho na Mzee Ndi
> ameumizwa kichwani.
>
> Nikasema "basi ataaandika...Mungu amsaidie, lakini kama kweli wamemuumiza
> macho ma majeraha ya kawaida kichwani, bila kuathiri ubongo wake na kwamba
> bado unafanya kazi, Saed/ Ndi, ataendelea kuandika, kwa sababu anaweza
> kufikiri na kuwaza sawasawa, kutunza taarifa/kumbukumbu na kujua namna ya
> kuziwasilisha. Uandishi huanzia kichwani kabla ya kupitia mikononi na
> hatimaye kwenye kalamu.
>
> Kweli hadi leo wote wawili, Ndi na Saed wanaandika. The same old...
>
> Sitaki wala siwezi ku-undermine maumivu na madhara makali na makubwa ambayo
> Absalom ameyapata kwa muda wote tangu baada ya lile tukio baya kabisa,
> ambalo anasema alichungulia kifo. He passed through the valley of death.
> Lakini kwa kweli, kwa wengine tuliomuona pale hospitalini hadi Uwanja wa
> Ndege wa JNIA, kuweza kumsoma hapa akiwa ameandika a short piece but worthy
> reading, it is more than encouraging.
>
> Tuzidi kumuombea heri na afya njema katika wakati huu mgumu wa kujaribu
> kuzoea hali ambayo hakuzaliwa nayo na huenda kabisa hakuwahi kufikiria kuwa
> nayo, hadi atakaporejea nyumbani.
>
> Ugua pole Absalom, but wishing u a quick recover brother. Thanx for sharing
> with us, once again, your opinion, after a long time.
>
>
> Tumaini Makene
> CHADEMA Senior Information(Press) Officer
> 0752 691569/ 0688 595831
>
> Sent from my iPad
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment