Thursday 18 April 2013

[wanabidii] Plato, Ubinafsi Na Maadili ( Makala Yangu Raia Mwema)



Na Maggid Mjengwa,
WATANZANIA tulifanya kosa kubwa. Ni pale tuliporuhusu mfumo wa vyama vingi bila kufanyia marekebisho makubwa Katiba yetu. Maana, katika nchi zetu hizi, uongozi umekuwa wa awamu.

Kiongozi anaingia madarakani na kukaa kwa miaka mitano mpaka kumi. Kwa Mwafrika, hapa ina maana ya kuhamia na kuhama kutoka nyumba za mamlaka. Ndio, tumejikuta tunaingiza wapangaji kwenye nyumba zetu bila kuwekeana mikataba. Na kama kuna mkataba, basi umeandikwa na mpangaji mwenyewe. Hapo utategemea nini?

Katiba tunayokwenda kuiandika itusaidia kwenye kuwadhibiti ' wapangaji' wetu kwa maana ya viongozi tuliowapa dhamana za uongozi. Maana, ilivyo sasa, .... Soma zaidi..http://mjengwablog.co.tz/habari-za-kijamii/item/2110-plato-ubinafsi-na-maadili-makala-yangu-raia-mwema.html#.UXA6j0ponnA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment