Friday 19 April 2013

[wanabidii] Mlipuko wa Mabom Boston, Bendera ya Tanzania inapepea kwenye eneo la tukio

Mlipuko wa Mabom Boston, Bendera ya Tanzania inapepea kwenye eneo la tukio. Kuna taarifa za ushiriki wa Watanzania katika mbio zile za Marathon? Je, kama wapo watanzania kuna riport yeyote inayoonyesha kwamba wapo salama? Na kama hakuna washiriki wa Kitanzania, ni kwa nini bendera yetu iwepo pale?
Tazama video hii utaona Bendera yetu ikioepea.
http://goldentz.blogspot.com/2013/04/picha-za-walipuaji-mabobu-boston.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment