Tuesday 9 April 2013

[wanabidii] Kikwete speaking at the State House in Nairobi

Ni wakati wa mlo wa mchana. Kule uwanjani Rais Museveni alipewa nafasi ya kulonga. Hapa Rais Kikwete anatoa nasaha zake. Wakenya wameonesha kwamba wanaweza; shughuli imebaki kwetu.
 

0 comments:

Post a Comment