Jitoa Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>;
To: Wanabidii googlegroup <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: RE: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING
Sent: Sat, Apr 6, 2013 11:29:22 AM
Hiyo ni kweli kabisa hatuwatendei haki. Utasikia mzazi anasema huyu mtoto kanishinda ngoja nimpeleke shule ya bweni. sasa kama wewe uliyemzaa unashindwa kumrekebisha huko bweni unakompeleka unatarajia nani akamlee? Huko ni kukwepa wajibu kama mzazi. Mlee mtoto wako mwenyewe akujue nawe umjue tabia yake ili umrekebishe na umri huo bado anahitaji upendo wa wazazi. Date: Sat, 6 Apr 2013 01:08:27 -0800 Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING From: fkyembe@gmail.com To: wanabidii@googlegroups.com Kupeleka watoto wadogo shule za naweza uita kuwa ni ukwepaji majukumu kwa upande wa wazazi unaoambatana na ulimbukeni pia wa vipato. Umri wa mwaka mmoja hadi balehe ni muhimu sana katika makuzi ya mtoto, hapo ndipo anaporithi vijitabia vya wazazi, ndio umri wa mtoto kuwasoma na kuwatambua wazazi wake, una kumpeleka shule ya bweni unamnyima hiyo nafasi adhimu kwake, matokeo yake ni mtoto kuchukua tabia za walezi wake kule shuleni kwani ndio anaowafahamu kwa karibu.2013/2/25 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> Juzi juzi nilikaa seat moja na watoto wa wawili wa kike tukitoka arusha kwenda moshi.ilikuwa mida ya jioni sana.tulikaa seat ya nyuma kabisa.njiani wale watoto wakaanza kuchezeana na kuonyesha dalili za kutaka kunanihino.nikawakodolea macho!!wakaacha.tulipofika kituo vha weruweru wakashuka.nikajua ni wanafunzi na ukiona hivyo ujue wameanzia mbali kukaa boarding! -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment