Monday 8 April 2013

[wanabidii] CHAMBI YU WAPI?

Huwa ni kawaida maji yanatumia njia nyingi kupenya kwenye majani hasa mabaondeni wakati wa mafuriko.Kwa leo,natuma tena ujumbe uende na uwafikie marafikizangu wa MABADILIKO.Ujumbe huu pia umwendee ndugu yangu Chambi Chachage.

UJUMBE NI HUU:UDADISI TU!!!(Katika mfumo wa maswali)
1.Chambi u wapi/U wapi?Na wewe umefungiwa?Hauna cha Kuchangia TASK FORCE?
2.Je,mijadala ya sasa hauna ubavu nayo?Au kwa sababu uko nje ya nchi ndiyo maana mijadala hii hauchangii kwani haina maslahi?
3.Task force wale ndugu zako wa Mabadiliko wana hitaji mchango wako,je uliisha toa?
4.Inaonekana kweli kwa sasa hauna mijadala baada ya ile uipendayo isiyo na manufaa kwa Taifa letu watu hawachangii.
5.Je,niseme ile mijadala yako uipendayo ulilenga nini hasa maana nilidhani ni udadisi kumbe ulipenda kutuchonganisha?Hii naisemea maana ile ya maana kwa sasa hauchangii na wala hauleti mipya,na hapa ndipo napata jibu kuwa ilitaka kutuchonganisha...!
6.Mabadiliko wanauliza uko wapi?Katu anauliza,Leila anauliza,Magoha anauliza,na wengine weeengi au na wewe ndugu yangu WaMekupiga BUN?

Basi hii ni kwa leo.....Kama barua hii HAITAKUFIKIA usijibu...IKIKUFIKIA..Fikiria kutujulisha uko na shida gani hata watu wanakosa mambo mengi ya Kihistoria yasiyo na manufaa kwa Taifa letu,ila tu kuchangamsha na kuzoeza nafsi chuki.Pia tunapenda watu wapate dola kidogo kutoka kwako kwa ajili ya Task force ambayo wewe ni mdau!!!!

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment