Thursday 4 April 2013

[wanabidii] Bongomovies unit waja na website yao rasmi

Press Release (NEW WEBSITE)

Taarifa kwa wapenzi wote wa Filamu Tanzania

Bongomovies unit waja na website yao rasmi 

Chama cha Bongo movies (Bongo Movies Unit) kitazundua rasmi website yao iitwayo www.bongomovies.com siku ya tamasha la linaondaliwa na kampuni ya Steps Entertainment litakalofanyika tarehe ishirini (20) mwezi huu kwenye hoteli ya Serena iliyopo Dar es salaam

Website hii ni maalumu kwa wapenzi wa filamu wote nchini kwani pamoja na habari rasmi za wasanii wa Bongo Movies pia itatoa habari za maisha yao ya kila siku, historia zao na filamu zao zote kwa ujumla.

Kwa maelezo ya zaidi kuhusu tovuti hii rasmi ya Bongo movies wasiliana na Admin wa bongomovies.com kupitia:

Cell: 0714 022929
Email: media@bongomovies.com

Imetolewa na:
Simon Mwapagata "Rado"
Mob: 0655 180888
Katibu – Bongomovies Unit.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment