Saturday 13 April 2013

[wanabidii] Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo


Alizeti haitoi mafuta pekee kwa afya ya binadamu, lakini pia inatoa chakula kwa wanyama na viumbe wengine mfano mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku na nguruwe, nyuki na ndege wa porini.

Unapotengeneza chakula cha mifugo peke yako, si tu kupunguza gharama, lakini pia inakupa uhakika wa kuwa na chakula bora. Pia Wafugaji wa nyuki wanaopanda alizeti wanapata faida ya ziada kwa kupata asali iliyo bora kwa sababu nyuki hukusanya poleni kutoka kwenye alizeti wanapofanya ushavushaji. Kujifunza zaidi jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wa chakula wenye alizeti kwa mifugo nenda hapa http://www.achengula.blogspot.com/


--




To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment