Saturday 6 April 2013

Re: [wanabidii] ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA

Hongereni kwa kutujulisha kuwa watawala wanahonga wapinzani

On 4/6/13, mchange habibu <mchangehabibu@yahoo.com> wrote:
> ni upuuzi na ujinga uliotukuka kusema kila mtu anaweza kuhongwa na mwigulu,
> huyo mwigulu ana pesa kiasi gani kiasi cha kumuhonga kila mtu mpaka
> zitto?...ni lazima tuache kufikiri kwa akili ndogo, ifike wakati sasa
> tufikiri kuwa watu kama zitto siku zote huwaza nje ya mitego wamayowekewa na
> wapinzani wao wa kisiasa.
>
>
> ________________________________
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, April 6, 2013 9:17 AM
> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>
>
> Time will tell who is right and who is wrong, kaharufu haka kanatuacha njia
> panda
>
>
>
>
> 2013/4/6 Mwahija Juma <mwahija_juma@yahoo.com>
>
>
>>
>>
>>
>>----- Forwarded Message -----
>>From: Mwahija Juma <mwahija_juma@yahoo.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Friday, April 5, 2013 11:52 PM
>>Subject: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>>
>>
>>Rejea barua ya Zitto kwenye mitandao. (Chadema Taifa Vipande vipande)
>>
>>Yawezekana Zitto alikuwa na nia nzuri alipoandika barua hiikwa Katibu wake
>> Mkuu.Naibu Katibu Mkuu anamwandikia Katibu Mkuu. Lakini kutokaofisi ya
>> Naibu Katibu Mkuu, na Ofisi ya Katibu Mkuu ni mita mbili, je
>> aliendakushauriana na Katibu Mkuu kuhusu suala hilo? Kama alikwenda
>> walikubaliananini? Je kulikuwa na haja ya kuandika barua kwa mawasiliano
>> yao na kuwekanakala kwa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu
>> na Kurugenzi yaHabari na Uenezi, huku akitoa nakala kwa Mkurugenzi aliye
>> kizimbani?
>>
>>Suala la kumwajibisha Lwakatare ni suala linalohitaji vikao,je Zitto
>> alisubiri vikao ili atoe mawazo yake yakakataliwa? Je yeye Zitto
>> alihudhuria kikao kile? Je kulikuwa naharaka gani kumwondoa Lwakatare
>> katika nafasi baada tu ya kutuhumiwa. Nafasiyake kama Mkurugenzi wa Ulinzi
>> na Usalama wa Chadema inazuia vyombo vingine vyaUlinzi na Usalama vya
>> serikali kutekeleza majukumu yake hadi tuseme kuwaanahitajika kupisha
>> uchunguzi?. Huyu sio Waziri wa serikali ambaye vyombo vyaUchunguzi vyaweza
>> kumwogopa katika Uchunguzi
>>Zitto ametumia akili ya kutosha aweze kujionyesha kwa jamii,na akagawa
>> nakala ya barua hizo kwa watu wengine ili aondokane na hatia yakuileta
>> barua hiyo katika mitandao ya Kijamii. Ikumbukwe, Siku wakati
>> MwiguluNchemba anatamka kuwa ana mkanda unaoonyesha Viongozi wa Chadema
>> wakiratibumauaji alikuwa Star TV. Zitto alikuwa na Mwigulu, na Mtatiro.
>> Zitto kama NaibuKatibu Mkuu wa Chama kilichotuhumiwa, hakuhoji tuhuma hizo
>> katika Televisheni,wala hakuonekana kushituka.
>>
>>Kwa mujibu wa barua yake anasema kuwa Chama kimeshatoatamko, atumbie tamko
>> la Chama ni lipi juu ya tuhuma ya Lwakatare, tamko hiloanalodai Zitto
>> limetolewa atuambie limetolewa lini? Lilitolewa na nani? Tena baadaya
>> Kikao Kipi? . Wadau wanaofuatilia mambo ya Chadema, tangu sakata
>> laLwakatare litajwe Kamati kuu ndio imekutana juzi, hatujajua kama
>> keshowatazungumza hili.
>>Mpango unaotajwa kuasisiwa na Mwandishi wa habari, ambayekatika Mkanda wa
>> video ya Lwakatare iliyopo kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
>> haumtaji Denis Msaky aliyeamua kujipachika ili ionekane kuwa
>> alikuwaanasakwa, pamoja na ushahidi wa wazi kuwa alimpigia Lwakatare siku
>> moja akiwaanatoka Bukoba, kama alivyoonyesha Mkurugenzi wa Sheria na
>> Katiba wa Chamahicho. Huo Mkakati hautafanikiwa. Zitto umetajwa mara
>> nyingi sana, lakini hapaumejivua nguo mwenyewe, umeonyesha unavyonunulika,
>> usivyofaa kwa mabadiliko naUhuru wa kweli. Chukua Pesa za CCM, lakini
>> laana za Watanzania kamwe hutazikwepawala kuziepuka milele. Ulichokiandika
>> hapa Chadema ni vipande vipande,tutaungana tu, maana wasaliti mtakuwa
>> mmeondoka.
>>
>>Jana kuna mmoja ya watu waliohongwa aligombana na MwiguluNchemba huku
>> akilalamika kuwa mipango yote ya kuhongwa imevuja, na sasa pesaalizobaki
>> nazo hatazitoa kwa wenzake ikiwezekana kujilinda kwa nguvu zozote.Zitto
>> kuwa wazi, umetumika na katika hili hutaepuka laana ya Watanzaniawanaoona
>> Chadema kuwatumaini lao la mabadiliko na Uhuru wa kweli
>>
>>
> --
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment