Sunday 14 April 2013

Re: [wanabidii] YANGA WAKIISHANGILIA SIMBA ,SIMBA WATAISHANGILIA AZAM?

Mbuba

Usitukane sane hapa tarehe 18 May utakimbia jukwaa wewe....cheZea mnyama ambaye safari hii ameamua kuwa mtalii kwenye ligi!! atakuchenchia hata huo ubingwa wenu wa kununuliwa na Manji mtauona wa hovyo.
Albanieee...wasimbeyeeee....Meenaaaaaaaaaaaaa...........Kajunguuuuuuuuuuuu.......yeboyebooo

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, April 14, 2013 11:43 AM
Subject: Re: [wanabidii] YANGA WAKIISHANGILIA SIMBA ,SIMBA WATAISHANGILIA AZAM?

Simba siyo bingwa wa Kihistoria. Bingwa wa kihistoria ni Yanga. Yanga tutaishangilia AZAM lazima mnyama alambe lambalamba. Ubingwa ni wetu hata kama lambalamba watamlambisha mnyama lambalamba. Huu ni mwaka wenu wa kula nyasi. Ishasemwa simba akikosa nyama hula majani. subirini kichapo cha paka mwizi kutoka kwa fiyana wa yangwani

--- On Sun, 4/14/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] YANGA WAKIISHANGILIA SIMBA ,SIMBA WATAISHANGILIA AZAM?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, April 14, 2013, 12:41 AM

Ndugu zangu,
Hebu tupumzishe bongo na hizo habari za Ugaidi,Udini na Siasa.
Leo bingwa wa kihistoria SIMBA SPORTS CLUB aka TAIFA KUBWA aka WEKUNDU WA MSIMBAZI anacheza na AZAM aka WANA LAMBALAMBA.
Mashabiki wa YANGA aka YEBO YEBO wanataka Mnyama Mkali ashinde ili nafasi yao ya kuchukua Ubingwa iwe nyeupe kwa maana hiyo inawezekana wakaishangilia Simba.
Sasa sisi wenye timu yetu tutafanyaje?
Matinyi msaada tafadhali.

Walewale.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment