Saturday 6 April 2013

Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Kupeleka watoto wadogo shule za naweza uita kuwa ni ukwepaji majukumu kwa upande wa wazazi  unaoambatana na ulimbukeni pia wa vipato.

Umri wa mwaka mmoja hadi balehe ni muhimu sana katika makuzi ya mtoto, hapo ndipo anaporithi vijitabia vya wazazi, ndio umri wa mtoto kuwasoma na kuwatambua wazazi wake, una kumpeleka shule ya bweni unamnyima hiyo nafasi adhimu kwake, matokeo yake ni mtoto kuchukua tabia za walezi wake kule shuleni kwani ndio anaowafahamu kwa karibu.

Tunapowapeleka watoto shule za bweni katika umri mdogo hatuwatendei haki.

Felix


2013/2/25 Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
Juzi juzi nilikaa seat moja na watoto wa wawili wa kike tukitoka arusha kwenda moshi.ilikuwa mida ya jioni sana.tulikaa seat ya nyuma kabisa.njiani wale watoto wakaanza kuchezeana na kuonyesha dalili za kutaka kunanihino.nikawakodolea macho!!wakaacha.tulipofika kituo vha weruweru wakashuka.nikajua ni wanafunzi na ukiona hivyo ujue wameanzia mbali kukaa boarding!


On Monday, February 25, 2013, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
> Boarding school kwa shule za awali ni ubatili tu,labda day care inaweza kuvumilika kwa wale wazazi ambao hawana mtu wa kuwaachia watoto nyumbani
>
> 2013/2/25 Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
>
> Msiwapeleke boarding kabla hawajajitambua. Wafundishe jinsi ya kujilinda dhidi ya unyanyasaji (sexual abuse), na muwe karibu nao ili wasiogope kuongea nanyi. Nasema hivi toka experience. Kwetu tuliishi na baba mdogo, mdogo wake baba na alikuwa na tabia ya kunishika kimapenzi nikiwa na umri chini ya miaka 7. Hakuna anaefahamu hilo zaidi ya mume wangu na besti wangu. Nashukuru alihamia kwingine sababu nafikiri mambo yangezidi kuwa mabaya kadri muda ulivyoenda. Nilikuwa bado sijitambui kwa umri huo. Akili yangu ilivyozidi kukomaa ndivyo nilianza kuelewa kilichokuwa kinafanyika kwangu. 
> Naamini kinachotokea kwenye shule za boarding au hata nyumbani ni ubakaji au sexual abuse. Si kwamba wanapenda, ila kama anajikuta amezidiwa nguvu na mwenzake na kubakwa ni vigumu sana kwa watoto wa kiume kusema kilichotokea. Mfano mzuri wengi mmecomment na kusema bora mtoto wa kike awe lesbian kuliko wa kiume kuingiliwa. Ni aibu kubwa inayoambatana na hicho kitendo, kwahiyo huficha na kuvumilia wakijua wakimaliza shule ndio itakuwa mwisho wa huo mchezo. 
> Ongeeni na watoto wenu. Kuweni macho, msiruhusu kila mtu ashinde kwenu eti kisa ni ndugu au marafiki wa karibu sana. Kama mna muda wa kuenda baa, basi muda upo wa kurudi nyumbani na kuwa na watoto wenu. 
> 2013/2/25 mary goyayi <marygoyayi@yahoo.com>
>
> Naomba nikuunge mkono, hata mimi hiki kitendo cha kupeleka watoto boarding nimeshuhudia jinsi gani mtoto anakosa ukaribu na ndugu zake wa damu (wadogo au wakubwa zake) na hata wazazi wake!! tunajenga taifa ambalo kwa namna moja linakuwa "COLD" (hope ninaeleweka) na lenye kupenda "Upeke yake" tu maan ndicho nilichoshuhudia mimi! Wazazi tujitahidi kulea watoto wetu wapate kuelewa thamani ya familia, wazazi, ndugu na jamii inayiwazunguka!! hivi vitu hatuwezi kuvipandikiza wakishakuwa wakubwa..............
>  
> Yangu ni hayo tu
>  
> Ms Marialauda J.J
> Tel: +255 754 271 685
> Box: 78897 DSM
> mail: marygoyayi@yahoo.com
>  
> There is pleasure in madness, which only a mad man knows
> From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, February 25, 2013 2:54 AM
> Subject: Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING
>
> Ulimbukeni kitu kibaya sana. Wengi wamepeleka watoto boardin schools
> hasa nje ya nchi miaka 10 au 15 iliyopita wanaweza kutupa expirience
> yao. SHULE si kujua kingereza watoto wa kike wanaanza ujasiriamali wa
> miili wakiwa wadogo na ushoga ndo usisikie. Nimesema ulimbukeni kwani
> imekuwa kawaida hasa akina mama kutaka kujionyesha kuwa mume anazo
> watoto wanasoma boardin school. MTAWAJUA lini watoto wenu? Mnatafuta
> hela kwanguvu wakati mnatengeneza bomu la kusambaratisha mali
>
> On 2/24/13, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>> Shalom
>>
>> Siku hizi imekuwa ni kama fasheni kwa wazazi kuwapeleka watoto wadogo
>> shule za kulala. Watoto wengine wanapelekwa huko wakiwa wadogo sana,
>> miaka minne au mitano. Huwa najiuliza sana, ni nini hasa
>> kinacho

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment