Monday 15 April 2013

Re: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!

Wote Wenje na Wabunge wa CCM walikuwa sawa,

Tafsiri kisiasa inatokana na Mazingira. Mfano Nkamia angetumia yale maneno kwenye kundi la Taarabu angeshangiliwa lakini kwa kuwa ilikuwa ni bungeni ambapo ni Siasa yale maneno ni MATUSI na pengine ya KUUDHI.....



--- On Tue, 4/16/13, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, April 16, 2013, 5:06 AM

Amour,

Lugha ni lugha yenye maana inayokusudiwa (contextual); tafsiri yaweza kuwa tofauti kutokana na muono wa mtu au imeongelewa katika msingi gani. Neno moja kwenye lugha nyingi halileti maana moja, kuna miisingi mingi ya kutafsiri neno lolote.

Kosa la Mtoi ni kujumuisha (generalization) kuwa wabunge wote wa CCM ni mbumbumbu wa neno 'impotent'; kosa la mantiki. Msemaji katamka neno katika hali ya kukandia kisiasa, na kwa hali hiyo hakuna atakayeona maana ya msemaji ilikuwa ni ile ya kwanza toka kamusi aliyoitaja Bw. Mtoi. Kwavile msemaji alikuwa kwenye hali ya kukandia upande mmoja wa ushindani wa kisiasa, wanayo haki kutumia maana ya pili ya neno hilo katika hali ya kushinda hoja; kumnyamazisha msemaji kikanuni! Hiyo ndio siasa, na sioni kosa katika tafsiri kwani msemaji inawezekana alikuwa na maana ya kwanza au ya pili. Pia waliotaka afute usemi wanaweza kuwa waliielewa kwa msingi wowote kati ya maana hizo mbili (literally). 
------Original Message------
From: amour chamani
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!
Sent: Apr 16, 2013 07:41

Mtoi, Kwa hiyo angekuwa na maana ya pili angesemaje? Walewale. From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Monday, April 15, 2013 9:54 PM Subject: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU! Ni wakati wa kuchagia hotuba ya Waziri mkuu ambapo nusu saa iliyopita Mheshimiwa Wenje (CHADEMA) alipoichambuserikali na kuonyesha kwamba haina uwezo wa kutatua matatizo. Ikafika mahala mheshimiwa Wenje akatumia sentensi mbili za kiingereza na akatamka kwamba it shows that the gorvement is IMPOTENT. Binafsi sina matatizo na English, neno IMPOTENT na deritaives zake nalifahamu maana zake nyingi, na katika public maana yake kubwa ni hiyo aliyotumia MH. Wenje. Niliendelea kusikiliza bunge nikijua kwamba wabunge wetu nao hawana tatizo na kiingereza na sikutarajia lolote na matumizi ya neno hili kama ambavyo siwezi kutegemea matatizo Julius Nyerere alipomwambia Augustine Mrema kwamba {I cant go to sleep in Butiama and let my country go to dogs } Wakati ule Nyerere alimjibu Mrema kuwa aache kampeni zake za urais kwani yeye kama Nyerere atampigia kampeni Benjamin Mkapa. Mrema aliibuka na kutangaza kwamba Nyerere kawatukana wapinzani kuwa ni mbwa. Leo, wabunge wa CCM wakanikumbusha kituko hiki cha Mrema kwa wao kusema kwamba Mh. Wenje afute kauli yake kwani IMPOTENT maana yake ni kuwa H.A.N.I.T.H.I yaani kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Mwanzoni nilidhani ni mmoja tu, bwana, wameibuka wawili wakidai afute kwa maana hiyohiyo na wengine wana CCM wakishangilia hata waliokuwa mawaziri ambao wanasafiri kila siku kwenda Uingereza na Marekani kunakozungumzwa kiingereza. Je, neno IMPOTENT lina maana hiyo kweli? Nimefungua dictionary yangu, { Oxford Advanced Learner's Dictionary, Seventh Edition, ISBN: 9780194316613, pg.749 } inasema hivi: 1: Having no power to change things or to influence a situation. E.g. POWERLESS { Without the chairmans support the commitee is impotent }, {She blazed with impotent rage}. 2: (of a man): unable to achieve an erection and therefore unable to have full sex Na hata onlin
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment