Tuesday 16 April 2013

Re: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!

Ufanyike mkakati wa kumwomba Mh Spika agawe Dictionary kwa wabunge wote ili kabla ya kuanza kuyajia juu maneno yanayotumika wajiridhishe kwanza kuwa wamefahamu maana zaidi ya moja ya neno hilo.



From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, April 16, 2013 7:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!

Mtoi,
Kwa hiyo angekuwa na maana ya pili angesemaje?





Walewale.



From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, April 15, 2013 9:54 PM
Subject: [wanabidii] WABUNGE WA CCM WADHIHIRISHA UMBUMBUMBU!

Ni wakati wa kuchagia
hotuba ya Waziri mkuu
ambapo nusu saa iliyopita
Mheshimiwa Wenje
(CHADEMA) alipoichambuserikali na
kuonyesha kwamba haina
uwezo wa kutatua matatizo.
Ikafika mahala mheshimiwa
Wenje akatumia sentensi
mbili za kiingereza na
akatamka kwamba it shows
that the gorvement is
IMPOTENT.

Binafsi sina matatizo na
English, neno IMPOTENT na
deritaives zake nalifahamu
maana zake nyingi, na katika public maana yake kubwa ni
hiyo aliyotumia MH. Wenje.
Niliendelea kusikiliza bunge
nikijua kwamba wabunge
wetu nao hawana tatizo na
kiingereza na sikutarajia
lolote na matumizi ya neno
hili kama ambavyo siwezi
kutegemea matatizo Julius
Nyerere alipomwambia
Augustine Mrema kwamba {I cant go to sleep in Butiama and let my
country go to dogs }
Wakati ule Nyerere alimjibu
Mrema kuwa aache kampeni zake za urais kwani yeye kama Nyerere
atampigia kampeni Benjamin Mkapa.

Mrema aliibuka na
kutangaza kwamba Nyerere
kawatukana wapinzani kuwa
ni mbwa. Leo, wabunge wa CCM wakanikumbusha kituko hiki cha Mrema kwa
wao kusema kwamba Mh. Wenje afute kauli yake kwani IMPOTENT
maana yake ni kuwa
H.A.N.I.T.H.I yaani kutokuwa na uwezo wa kuzaa.

Mwanzoni nilidhani ni
mmoja tu, bwana,
wameibuka wawili wakidai
afute kwa maana hiyohiyo na wengine wana CCM
wakishangilia hata
waliokuwa mawaziri ambao
wanasafiri kila siku kwenda
Uingereza na Marekani
kunakozungumzwa
kiingereza.

Je, neno IMPOTENT lina
maana hiyo kweli?

Nimefungua dictionary
yangu, { Oxford Advanced
Learner's Dictionary,
Seventh Edition, ISBN:
9780194316613, pg.749 }
inasema hivi:

1: Having no power to
change things or to influence
a situation. E.g. POWERLESS
{ Without the chairmans
support the commitee is
impotent }, {She blazed
with impotent rage}.

2: (of a man): unable to
achieve an erection and
therefore unable to have full sex
Na hata online dictionary
mnaweza kusoma wenyewe
kwenye link hii (http://www.merriam-webster.com/dictionary/impotent )

Sasa, haya ndiyo
yanayowafanya wabunge wa ccm wadharaulike na
jamii au kuona jamii inawatukana wakati
huu ni ujinga wa waziwazi.

Neno IMPOTENT linatokana
na neno la kitalini yaani
POTENT literacy meaning
"being powerful". Ndiyo
maana unaposema Afrika inamali POTENTIAL maana
yake nguvu ya mali
iliyojificha. Tunaposema mlima una potential volcano maana
yake ni volcano yenge nguvu iliyofichika. Wakatoliki
husema kanuni yaani Imani
kwa kilatini wakisema {Credo in unum Deum, Patri
OMNIPOTENTE}. Maana
yake Nasadiki kwa Mungu
mmoja, baba mwenye nguvu zilizoenea pote. Hapa neno OMNIPOTENTE maana
yake ni Mungu aliyeenea kote.

Kama wabunge wa CCM
hawajui asili na maana ya
neno POTENT na kama nao
walipita shule za kata
hawajui POTENTIAL
VOLCANO wakadhani ni
volkano yenye matusi, basi
ile tume ya kuchunguza
kufeli kwa form four ipite na
kwao.

Chanzo: Jamiiforums.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment