Sunday 7 April 2013

Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja

Nakuunga mkono kabisa
 HII KUCHINJA NI KUFICHA KITU KILICHOPO NYUMA YA PAZIA;
NITAKUPA MIFANO KIDOGO,
 Kwanza angalia hao wanaofanya fujo kwamba wachinge utagundua wana mapungufu yafuatayo; elimu, umaskini wa kufikiri, ibada kwake ni kwa sikukuu tu, hufuata mkumbo tu au amefilisika ki maslahi.
Nasema hivyo kwa sababu kati ya hao hakuna hata mwenye umri usiozidi miaka 45.
 Tangu kuumbwa kwa ulimwengu wazee wetu walikuwa wanakunywa na kula nyama.mi binasi mpaka leo nina 42 sijasikia vurugu zinazotokea sasa hivi, je WAZEE WA SASA WALIKUWA HAWALI NYAMA? WALIKUWA HAWACHINJI? MBONA HAWAJAUWANA KWAAJILI YA KUCHINJA.. 
MIFANO HALISI;
 (1) ZANZIBAR WALIKUWA WANAPINGA MUUNGANO LAKINI WAKACHOMA                       MAKANISA NA MALI ZA KANISA..
(2)VIONGOZI WA DINI ,PADRE,WANALENGWA  NA KUAWA KWA RISASI--ZANZIBAR
(3) KUGOMBANIA KUCHINJA WAMEUA MCHUNGAJI --MWANZA
(4)MTOTO KAKOJOLEA MSAHAFU MAKANISA KADHAA  KUCHOMWA -DAR-ES-SALAAM 
   KWA AKILI YAKO KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MAKANISA NA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, MBONA HAWAJACHOMA OFISI ZA CCM AU SERIKALI SMZ?
JE NI MISIKITI MINGAPI IMECHOMWA ?NA KUHARIBIWA, PAMOJA NA MIHADHARA YAKUKASHIFU UKRISTO IKIENDLEA NCHI NZIMA? TAFAKARI KWAMBA HAWA NI WATU WASIO NA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU MWENYEZI MUNGU, HUFANYA MAMBO MABAYA KWA KUJIFICHA HALAFU HADHARANI WANAJISIFU NI WATAKATIFU WA MUNGU KWAMBA WANASIMAMIA SHERIA ZA MUNGU! KWA KUUA AMBAO SIO WA DINI YAO  MUNGU NI MMOJA TU LAKINI HATA KATIKA UISLAM KUNA KUTOFAUTIANA KWENYE IBADA YA MUNGU HUYO MMOJA, IWEJE KUWAUA AMBAO SIO WAISLAM.
        HUU NI MPANGO MZIMA WA KUONA DINI NYINGINE WANAISHI BILA AMANI DUNIANI, NA KUJARIBU KUONA KAMA VITISHO PIA VITASAIDIA KUKANA DINI ZAO NA KUABUDU MIUNGU MINGINE WASIOIJUA. 

         " UKIONA MTU ANAKUPINGA KWA VITISHO BILA HOJA  UJUE UNAHOJA NZURI 
ZAIDI KULIKO YEYE ILA ANATAKA UONDOKE ATUMIE HOJA ZAKO AFIKE KULE ALIKOSHINDWA KUFIKA KWA MABAVU" 

        "MAMBO YAO NI YA CHINICHINI KAMA FUKO" YATAJITOKEZA TU.

WAKRISTO NI WAVUMILIVU KWA SABABU WANAEMUABUDU AMEWAAGIZA KUSAMEHE, KISASI NI JUU YAKE MWENYEZI MUNGU  TORAT 32:35
God created men in LOVE ,let us live with LOVE

--- On Sat, 4/6/13, jom <jmataragio@yahoo.com> wrote:

From: jom <jmataragio@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, April 6, 2013, 9:54 PM

Sipingi hoja yako lakini, supporting statements zako siyo zote zenye ukweli. As i said before napenda kusoma post zako lkn una kuwa na generalization ambazo zinapotosha, kwa mfano mimi ninaishi nje ya nchi lkn sinunui wala kula expired food ila wewe unajumlisha wote tuishio nje tunakula expured food.

Sent from my iPhone

On Apr 6, 2013, at 2:24 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Watu Tanzania hula vibudu anyway wawe wakristu au waislamu. Tunaonaga kwenye TV na magazeti kuwa baadhi ya kuku wa kizungu au hata wa kienyeji hufa wanapokuwa wanasafirishwa nao huchinjwa na kuchanganywa na wale wazima. hata baadhi ya mifugo hufa haitupwi bali utumbo uliooza ndio hutupwa. Mizoga hiyo huuzwa kwa bei rahisi na ikaingia mahotelini tukajilamba kuku wa kukaanga, mbuzi etc na supu ya ndizi asubuhi. Wakati mwingine unaona nyama imebunda inanuka au kuku yupo pink babisa na harufu mpaka unamwita mtoa huduma na kumrudisha unaona hapana pink colour na harufu imezidi. Haya-hapa panan udini kweli?

Hawa watoa huduma wa kupika kwenye sherehe, mahoteli unafikiri vyote wapikavyo ni vipya halali hakuna haramu? kama ni vipya-haijatokea ukala ukaharisha? Hebu fika Shoprite na supermarket nyingine ukae nje unapunga upepo na kuangalia magari na mizifi Canter na Pickups. utaona ya Hoteli yamekuja kuchukua chakula kilicho expire kinakwenda kupikwa vyakula vya kisasa mahotelini. Kisa wanunue ghali wasipate profit. havitupwi hivyo vya supermarket si bongoland hata Ulaya. Na sote wakristu na waislamu tukiwa ulaya ughaibuni husubiri mpaka vime-expire muda wake vimeshuka bei sana badala ya $10 kuku kawa $ 1 au 0.50 ndio twanunua kwa wingi na anakaa miezi kadhaa january hadi June katika fridge lako chumbani na unamuangalia kuku daily kwa tabasamu la kuupiga chenga ukata na umasikini wa kukufanya utembelee wenzako kudowea kula. Unamla huyo hujui kachinjwaje na ame expire unamuongezea muda wa kuexpire.

Ukikuta kuku, nyama zilizopita muda wake, matunda etc wametupa nje ndani ya dustbin la supermarket mnawahi wazungu na waafrika kuzoa kabla mbwa hazijaja kupindua na kuziharibu. Ombaomba wa mitaani ndio wanazoa makuku na nyama hizo kichizi. Hata hapa TZ ukienda maeneo ya kutupa taka-utakuta wachakura takataka wanaokota nyamba zilizotupwa kule kutoka mazizi ya watu au machinjioni zinaokotwa na kuingia vilabuni zinapikwa subu. Nyanya zinaokotwa nan kuingia magengeni.

Ulaya-Wanyama wanachinja kwa kisu cha umeme kumpa shock mnyama kwanza akazirai kisha kumchinja. Twala wakristu na waislamu huko vyauzwa supermarket na tupo hai hadi leo. Na wengi wakimbiao vita vya Boko-haram na vita vinginevyo nchi za kiislamu (Afghanistan, Iraq, Egypt etc) na nyinginezo zisizo vita wahamiaji hukimbilia zaidi huko Ulaya na USA kwenye mataifa ambayo ni ya Katiba za dini za kikristu-mbona hawaogopi kwenda huko kwenye nguruwe na madhehebu hayo ya kukaba wanyama?
 
Binadamu wote mahitaji yao mamoja-Uhuru, Upendo, Amani; kula kushiba, Starehe na haja. Usishangae kuona kuwa mmewa utoao unga wa kulevya (cocaine) unapandwa na kutumika na kuuzwa au kupatikana kwa waswalihina sana na wanalinda mashamba yake kwa mtutu na huku wanasali kwa Mungu wao kila muda unapofika; wanakosali sana au kusema hivyo kuna maovu kibao ambayo yatakupa maswali mengi-ubakaji, mauaji ya watu kwa kujilipua; killing for family honour; mtu wa dini kubaka na kulawiti vichanga au watoto; kunywa pombe kwa kificho; kubaka watu wazima au wasichana kimtandao na kuwazika; kuua watoto wako au mwenzi wako ili upate bima etc.

Dini ni kama OPIUM. Mbona maovu ni mengi tufanyao watu wa dini na wa kusali sana sasa huko kuchinja ndio kutuletee uzoba mpaka tuuane? Kuna lililojificha hapa litaonekana tu muda si mrefu!!

--- On Thu, 4/4/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 4 April, 2013, 11:34

Hapo sasa! Wakristo wametambua kua kwa mda mrefui wamekua wakilishwa 'vibudu' (kwa kukubali kuchinjiwa nyama na watu wa imani zingine na nyama hizo zikiwa zimefanyiwa ibada wasizo zijua wala kuziamni).

Hawataki kuendelea kufanya hiyo dhambi. Serikali ituepushe na hili balaa; ikubali ukweli huo kua kila kundi lichinje mnyama wake. Asiyejali aende butcher yoyote aipendayo.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, April 4, 2013 1:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja

Mchokozi nani?
Anataka watu walishwe vibudu? Yeye atawatetea mbele za Mungu wao atakapokuwa anawahukumu?

--- On Wed, 4/3/13, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:

From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, April 3, 2013, 3:16 AM

Vurugu Kubwa zimetokea Tunduma baada ya Mkuu wa wilaya kukataza
wakristo kuchinja

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment