Wednesday 24 April 2013

Re: [wanabidii] VURUGU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Laptop yangu key board mbaya. Ukiona message ya jina langu wewe usisome futa tu ili isikuchoshe.

--- On Thu, 25/4/13, Rottson Kabalika <rotts76@yahoo.co.uk> wrote:

From: Rottson Kabalika <rotts76@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 25 April, 2013, 4:46

Punguza Misspelling/typo errors, inawezekana ukawa una mawazo mazuri lakini unamput off msomaji wa mawazo yako. 

Sent from my iPhone

On 25 Apr 2013, at 7:22, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Tumeiona suala hii ktk TV kama lile la mwendesha gari mmoja kumkunja askari wa usalama barabarani.

Mkuu wa Mkoa hakuongea kibaya ktk suala hili kama TV ilivyoonyesha. Ila inajulikana sana kuwa vyuo vya juu wanafunzi waliowengi ni Chadema. Huu ni ukweli tunaouona ktk vyombo vya habari na matukio kitaifa. Usishangae kuona Mkuu wa Mkoa  au wilaya au kiongozi wa CCM kuzomewa na wa Chadema hata akipita tu barabarani kupugiwa makofi na wanafunzi.

Wakati mwingine ni vema kufahamu pia-kwa nini mwanafunzi kachomwa kisu? Alikuwa wapi na anafanya nini hata akachomwa  kisu? Jee, amefumaniwa na mke au mtoto wa mtu? Amejihusisha na ujambazi? Wapo mpaka wanafunzi wa shule za msingi au sekondari wanaokamatwa wakijihusisha na ujambazi. Wapo vyuo vya juu wanaoshirikiana na vibaka nje kuwapa funguo au kuwaelekeza chumba cha kuiba na kitu chenyewe-laptop, simu za bei etc.

Kuna mabweni mengine katika vyuo wanakamata kibaka akiimba jengo au bweni fulani na kumpiga mawe kuja kugundua ni student. Wao wanapoua inakuwaje? wanajipeleka kuvungwa? si inakuwa-wanafunzi wenye hasira nguvu ya umma imeua? Mbona matukio haya yapo na hawaandamani kama wanavyofanya akipigwa na kuuawa na non-students au wananchi? unasikia tu mwizi kauawa mabibo etc!! Kwani protocol inasemaje? Chuo kipo chini ya jirani wengi wa vyama na mashirika mbali mbali. Nani anahusika na chuo kukiwa na vurugu-ni mwana siasa yoyote yule aliyejirani? Kama ni hivyo basi, nyumbani kwako jirani yoyote aingine kuja kutatua matatizo wanao wanapogombana daily unapokuwa mbali au haupo-itakula kwako. Utawala na usimamizi utakushinda.

Vyuo kuishi kiusalama na upendo na majirani wao wazungukao vyuo ni vema kwani ktk mahusiano mabaya ya chuki na kujidai-wanafunzi wanaweza kuviziwa na vijana waovu vuta bangi wa eneo hilo wakawapora, kuwapiga, kuwadhalilisha kwa kuwabaka both gender na uovu mwingine. Nao jirani hutegemea wanafunzi hao kwa kipato maana wanafunzi hununua bidhaa zao na huduma watoazo (kusuka, kuuza vyakula, vinywaji bar; kuchapa na kutoa photocopy etc). Tunategemeana na vyuo kwa sasa vina mashirika ya ulinzi walindao maeneo ya vyuo na pia mashirika ya kufanya usafi.

--- On Wed, 24/4/13, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:

From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Subject: [wanabidii] VURUGU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 24 April, 2013, 13:09

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe!
Lema
asakwa na polisi

Ni baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki
dunia.

Walipotoa taarifa kwa mkuu wa chuo hawaku pata msaada wowote.

Maanda mano yakaanza na taarifa zikafikishwa kwa mbunge Lema,nae bila
hiyana akawasili na kufanikiwa kuwatuliza wanachuo hao ( nyimbani kwa
Lema
si mbali na chuo hicho ni mwendo wa dakika 3).

Mkuu wa mkoa aliwasili na kuanza kuzungumza na wanachuo lakini baada
ya
kugundua uwepo wa Lema alianza kuongea mbovu ndipo wanachuo walipo
kasirika
na kuanza kumpiga mawe.

FFU nao wakaingia kazini hali ni mbaya sana lakini cha kushangaza
askari
mmoja aliwatonya wanachuo wamfiche Lema

Baada ya muda msako dhidi ya lema ulianza lakini mpaka sasa
hajulikani
alipo baada ya wanachuo kumficha kusiko julikana.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment