Friday 5 April 2013

Re: [wanabidii] Uwanja wa watu 40,000: Yanga hongereni

Matinyi,
Kuipenda Yanga ni wajibu wa kizalendo! Play your part.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 5 Apr 2013 01:24:34 +0000
To: Mabadiliko<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Uwanja wa watu 40,000: Yanga hongereni

Habari zinasema kwamba Yanga wanaingia mkataba na ile kampuni iliyotujengea Uwanja wa Taifa na patashushwa uwanja wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 40,000.
 
Hongereni sana Yanga! Mpira hamuuwezi, lakini walau mtakuwa na uwanja wa kupigwa mabao na Simba. Hongereni sana. Mtaipa Tanzania heshima nyingine.
 
Dar sasa litakuwa ni jiji la viwanja vya mpira kwani ukiondoa ule wa Taifa na wa Karume, pia uwanja wa Uhuru unajengwa upya na utakuwa na paa na uwezo wa kuchukua washangiliaji 20,000 (kama ilivyo sasa). Bado kale kauwanja ka Azam ka watu 7,000 tu na kwa hiyo na Simba walishanunua eneo la kujenga wa kwao.
 
Kila kitu Dar es Salaam!
 
http://lukemusicfactory.blogspot.com/2013/04/upembuzi-yakinifu-kaunda-stadium.html#more

0 comments:

Post a Comment