Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] TUMEACHA SWALI KWA LUDOVICK

Speculations zinaongeza tu maswali. Anayejua kilichotokea ndiye
anaweza kusema ukweli. Nakumbuka marehemu baba yangu angeweza kuombwa
kuezeka nyumba ya jirani akakubali kufanya hivyo hata kama ya kwake
inaingia maji na hajaezeja bado. So, sioni mtu kukumbwa na janga na
kusahau la kwake na kwenda kushughulika na la mwingine. Mdogo wangu
naye kachukua tabia kama ya baba - yuko radhi (akiombwa) kusaidia kazi
ya jirani hata kama yeye ana kazi ya aina ileile nyumbani. So, what's
strange in that? Tatizo ni vipaumbele vya mtu.

On 4/21/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Nikusaidie
>
> 1 – Kama yeye ni mhusika wa utekaji wa kibanda , nguo alizozivaa wakati wa
> shambulizi hilo zingeweza kutumika kama ushahidi kwenye alama au hata
> kibanda mwenyewe angeweza kutambua nguo hizo ,inaweza kuwa mbinu ya
> kukabiliana na hilo .
>
> 2 – Kabla ya ludovick kutekwa alikuwa na majid mpaka usiku kabisa , kabla
> ya kukutana na majid aliwasiliana na nani na waliongea nini na ujue ofisini
> kwa kibanda na mahali ambapo ludo na majid walikutana ni karibu , wakati
> wanakutana ludovick alitokea wapi ?
>
> 3 – huyo ludovick anaishi wapi ? kwanini alikubali kupelekwa njia ambayo
> sio sahihi kwa muda mrefu na akakubali kuporwa hivyo vitu bila hata kutoa
> ushara au hata kukukuruka tena kwenye bajaji ambayo ukisukuma steringi tu
> dereva anapoteza mwelekeo .
>
> 4 – kwanini ludovick ahusishwe na utekaji wa kibanda ? kibanda alikuwa na
> maslahi gani mpaka ludovick aanze kumfuatilia na je hawa waandishi wengine
> ambao inasemekana ludovick alianza kujenga nao uhusiano au ukaribu nao wana
> maslahi gani kwa ludovick na hao waliomtuma au anaowafanyia kazi ?
>
> 5 – Muda mwingi niliwahi kulumbana na ludovick mpaka usiku wa manane saa 7
> sijui yeye akawa online nikajaribu kumshauri kwa uwezo wake wa kuandika ,
> kuchangia na kujadili mambo mbali mbali anaweza kutumia kipaji hicho
> kujiendeleza zaidi na akapata faida za uchumi kunyanyua maisha yake
> aliniona mpuuzi na wengi walioniona mpuuzi .
>
> NB : Kuna vijana wengi wanatumika kama ludovick wao wanalipiwa vifurushi
> vya internet na kupewa simu au laptop kwa ajili ya kazi kama hii aliyokuwa
> anafanya ludovick na wengi wameshatokewa kuaminiwa na baadhi yetu .
>
>
>
> 2013/4/21 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>
>> Mantiki inaonesha kwamba hakutekwa bali alisingizia kutekwa,ukweli
>> utajulikana tu
>>
>>
>> 2013/4/21 Josephat Isango <joseisango@yahoo.com>
>>
>>> Nimesoma gazeti la Mtanzania habari kubwa inazungumzia wingu jeusi,
>>> hususani suala la kutekwa na kuteswa Absalom Kibanda, kuna maswali
>>> kadhaa
>>> madogo ambayo nimehisi hayajaulizwa. Kama Ludovick alitekwa,
>>> akanyang'anywa vitu vyote vikiwemo simu, na computer yake, lakini pia
>>> nguo
>>> alipewa za kuazima, kadiri ya maelezo. Alitumia chombo gani kuweka
>>> habari
>>> zake kwenye facebook, (Simu na Computer ziliibiwa, lakini aliweka habari
>>> hizo mtandaoni kuelezea tukio hilo lililompata usiku na wengine
>>> waliomwona
>>> walisema alifika Muhimbili asubuhi kumjulia hali Kibanda, sioni
>>> uwezekano
>>> wa mtu aliyeibiwa kila kitu zikiwemo pesa, akapata wasaa wa kufikiri
>>> kwenda
>>> kwenye internet café asubuhi kununua muda ili aeleze jinsi alivyotekwa
>>> na
>>> kuwahi Muhimbili kabla hajaenda Polisi kufuatilia upelelezi wa kesi
>>> inayohusisha vitu vyake, tena vya muhimu, computer na simu na pesa.
>>> Ludovick hakujihurumia kwa upotevu huo wala kujishughulisha na
>>> ufutiliaji
>>> lakini akaamua kumhurumia Kibanda kwanza kweli???
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
>
> --
> www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
> www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
> www.naombakazi.blogspot.com
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment