Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] TUMEACHA SWALI KWA LUDOVICK

Nikusaidie 

1 – Kama yeye ni mhusika wa utekaji wa kibanda , nguo alizozivaa wakati wa shambulizi hilo zingeweza kutumika kama ushahidi kwenye alama au hata kibanda mwenyewe angeweza kutambua nguo hizo ,inaweza kuwa mbinu ya kukabiliana na hilo .

2 – Kabla ya ludovick kutekwa alikuwa na majid mpaka usiku kabisa , kabla ya kukutana na majid aliwasiliana na nani na waliongea nini na ujue ofisini kwa kibanda na mahali ambapo ludo na majid walikutana ni karibu , wakati wanakutana ludovick alitokea wapi ?

3 – huyo ludovick anaishi wapi ? kwanini alikubali kupelekwa njia ambayo sio sahihi kwa muda mrefu na akakubali kuporwa hivyo vitu bila hata kutoa ushara au hata kukukuruka tena kwenye bajaji ambayo ukisukuma steringi tu dereva anapoteza mwelekeo .

4 – kwanini ludovick ahusishwe na utekaji wa kibanda ? kibanda alikuwa na maslahi gani mpaka ludovick  aanze kumfuatilia na je hawa waandishi wengine ambao inasemekana ludovick alianza kujenga nao uhusiano au ukaribu nao wana maslahi gani kwa ludovick na hao waliomtuma au anaowafanyia kazi ?

5 – Muda mwingi niliwahi kulumbana na ludovick mpaka usiku wa manane saa 7 sijui yeye akawa online nikajaribu kumshauri kwa uwezo wake wa kuandika , kuchangia na kujadili mambo mbali mbali anaweza kutumia kipaji hicho kujiendeleza zaidi na akapata faida za uchumi kunyanyua maisha yake aliniona mpuuzi na wengi walioniona mpuuzi .

NB : Kuna vijana wengi wanatumika kama ludovick wao wanalipiwa vifurushi vya internet na kupewa simu au laptop kwa ajili ya kazi kama hii aliyokuwa anafanya ludovick na wengi wameshatokewa kuaminiwa na baadhi yetu .

2013/4/21 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Mantiki inaonesha kwamba hakutekwa bali alisingizia kutekwa,ukweli utajulikana tu

2013/4/21 Josephat Isango <joseisango@yahoo.com>

Nimesoma gazeti la Mtanzania habari kubwa inazungumzia wingu jeusi, hususani suala la kutekwa na kuteswa Absalom Kibanda, kuna maswali kadhaa madogo ambayo nimehisi hayajaulizwa.  Kama Ludovick alitekwa, akanyang'anywa vitu vyote vikiwemo simu, na computer yake, lakini pia nguo alipewa za kuazima, kadiri ya maelezo. Alitumia chombo gani kuweka habari zake kwenye facebook, (Simu na Computer ziliibiwa, lakini aliweka habari hizo mtandaoni kuelezea tukio hilo lililompata usiku na wengine waliomwona walisema alifika Muhimbili asubuhi kumjulia hali Kibanda, sioni uwezekano wa mtu aliyeibiwa kila kitu zikiwemo pesa, akapata wasaa wa kufikiri kwenda kwenye internet café asubuhi kununua muda ili aeleze jinsi alivyotekwa na kuwahi Muhimbili kabla hajaenda Polisi kufuatilia upelelezi wa kesi inayohusisha vitu vyake, tena vya muhimu, computer na simu na pesa. Ludovick hakujihurumia kwa upotevu huo wala kujishughulisha na ufutiliaji lakini akaamua kumhurumia Kibanda kwanza kweli???

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment