Friday 26 April 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya Jeshi la Polisi, Mbeya kuhusiana na mauaji ya kikatili kwa kutumia sururu

tunashukuru kwa taarifa lakini wahusika watafutwe na kufikishwa
mahakamani kwa kosa la mauaji, sio kwamba alikuwa anatuhumiwa kwa
ushirikina halafu yawe yameisha.

Hata mchawi anahaki ya kuishi, pengine maskini ya mungu kasingiziwa tu
kwa mambo ambayo hayana ushahidi, Je ni kweli tunaweza kuwajua
wachawi mpaka tukafikia hatua ya kuua vikongwe?

On 4/25/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Taarifa ya Jeshi la Polisi, Mbeya kuhusiana na mauaji ya kikatili kwa
> kutumia sururu
> MNAMO TAREHE 23.04.2013 MAJIRA YA SAA 10:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA
> MAWELO WILAYA YA CHUNYA MKOA WA MBEYA. LAISON S/O MJAHA, MIAKA 78, MKULIMA,
> KYUSA, MKAZI WA KIJIJI CHA MAWELO.
>
> ALIKUTWA NYUMBANI KWAKE AKIWA AMEUAWA KWA KUPIGWA SULULU KWENYE PAJI LA
> USO NA MTU/WATU WASIOFAHAMIKA.
>
> CHANZO NI IMANI ZA KISHIRIKINA KWANI MAREHEMU ALIKUWA ANATUHUMIWA KWA MUDA
> MREFU KUWA NI MCHAWI HAPO KIJIJINI.
>
> MBINU ILIYOTUMIKA NI KUMVAMIA AKIWA AMELALA NDANI YA NYUMBA YAKE NA KUMUUA.
>
> KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI,
> *BARAKAEL
> MASAKI * ANAENDELEA KUTOA WITO KWA JAMII KUACHANA NA IMANI POTOFU ZA
> KISHIRIKINA KWANI ZINA ATHARI KUBWA KWA JAMII NA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO.
>
>
> *Signed By,*
> *[BARAKAEL MASAKI – ACP]*
> *KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA**.*
>
>
> Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2RTQLMZND
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment