Friday 5 April 2013

Re: [wanabidii] Serikali ina MKONO MREFU.

Ni kweli kwa sasa Serikali yetu si kwamba mkono wake umekuwa mfupi bali umekatika kabisa,
na nionavyo mimi tunaelekea kufika kule waliko wenzetu wa Afrika ya kati, ambako Serikali
haina uwezo wa kujilinda achilia mbali uwezo wa kuwalinda raia wake na mali zao kama tuonavyo sasa.

From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 5, 2013 8:16 AM
Subject: Re: [wanabidii] Serikali ina MKONO MREFU.

Rupia kuna msemo unaosema KIKULACHO KINGUONI MWAKO sijui ni kweli??

2013/4/4 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
Kweli kabisa, hilo nalo wazo! Ninadhani urefu wa 'mkono' wa serikali siku hizi umepungua labda kwa sababu ya ongezeko la idadi ya Watanzania. Siku zile tilikuwa wachache lakini sasa ni milioni 45, ukijumlisha na wageni wasiojulikana watokako huenda tumefika milioni 60 wakati urefu wa mkono wa serikali ulikuwa ni kwa wati milioni 27 tu.

Hebu fikiria, waliomtesa Dk. Ulimboka hawajapatikana, waliomuua Padri Mushi DPP Zanzibar kasema ni fake, waliomtesa Kibanda hata wazo la kuwatafuta hakuna!

Maana yake watu hao wapo huru na wanaweza kutenda tena uovu huo kwa yeyote na wakati wowote! Kweli kwa sasa ule mkono wa serikali umepatwa na ukoma.

Joe Beda

On Thu, Apr 4, 2013 at 10:09 PM, nginyi kimaai <nginyikariongi@gmail.com> wrote:
Hivi ule mkono mrefu wa Serekali unaoswemaga ni upi? hivi huwaga ni
Mrefu kweli? mrefu mpaka wapi? mmh!

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment