Thursday 4 April 2013

Re: [wanabidii] Serikali ina MKONO MREFU.

Nijuavyo mimi, hakuna mtu mwenye uwezo/ubavu au mamlaka ya kuchezea au kushindana na serikali. Wala serikali haishindwi jambo lolote. Serikali ni lazima Iheshimiwe!

Cha ajabu siku hizi watu wanachezea serikali, kushindana nayo na hata kuidharau. Ubavu huo umetoka wapi? Mtu hawezi kutangaza watu wauawe mbele ya macho ya serikali na serikali ikakaa kimya. Au inamwogopa? Kumbukeni mtu mmoja mturuki aliyetamba kuwa Serikalli ya Tanzania/ya Nyerere imo mfukoni mwake. Nyerere alimsikia na hakumchekea. Serikali yetu inachekea wapuuzi wachache wanaotaka kuvuruga Amani. Serikali AMKA! hakuna wa kushindana nawe!

Du, kama serikali ina mkono inafaa kutafuta Daktari kuchunguza mkono huo.



From: nginyi kimaai <nginyikariongi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, April 4, 2013 11:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] Serikali ina MKONO MREFU.

Asante Rupia unanifungua macho sasa,
Inasikitisha sana, nasikia zamani ulikuwa mrefu sana nasikia, mkono
ulikuwa unafika popote mpaka pangoni alimojificha mualifu, au kuna
vitu/watu umepindisha huo mkono ukawa mfupi au unauvutwa usinyooke?
manake nashangaa matukio makubwa na yakutisha na yakinyama
yanavyotokea tuuu tuuu, mengine yanatishia usalama wa amani ya nchi
yetu lakini mkono huo mkono upo wapi? au labda mkono hauna vidole?au
labda mkono wa wakati huu ni kuunda tume? lakin mmh!! WaTanzania
wenzentu wenye ulemavu wa ngozi wanauwawa kikatili, Vijana wanakufa
kwa Madawa yakulevya, matukio ya mauwaji ya wananchi kila kukicha
tunasikia yanatokea kila kona ya nchi hii, majanga kama lile gorofa
lililobomoka juzi Dar es salam na kuuwa watanzania,Meli kuzama, Mkono,
mkono wa Serekali upo tu, tunasikia tume zinaundwa na kuambiwa
tusubiri taarifa za tume! Mkono upo wapi jama? Pamoja na hali ngumu ya
maisha wanayopata watanzania wanavumilia lakn tena mambo kama hayo
hapo juu tena mmmh!! mkono wa Serikali upo wapi?

2013/4/4 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>:
> Kweli kabisa, hilo nalo wazo! Ninadhani urefu wa 'mkono' wa serikali siku
> hizi umepungua labda kwa sababu ya ongezeko la idadi ya Watanzania. Siku
> zile tilikuwa wachache lakini sasa ni milioni 45, ukijumlisha na wageni
> wasiojulikana watokako huenda tumefika milioni 60 wakati urefu wa mkono wa
> serikali ulikuwa ni kwa wati milioni 27 tu.
>
> Hebu fikiria, waliomtesa Dk. Ulimboka hawajapatikana, waliomuua Padri Mushi
> DPP Zanzibar kasema ni fake, waliomtesa Kibanda hata wazo la kuwatafuta
> hakuna!
>
> Maana yake watu hao wapo huru na wanaweza kutenda tena uovu huo kwa yeyote
> na wakati wowote! Kweli kwa sasa ule mkono wa serikali umepatwa na ukoma.
>
> Joe Beda
>
>
> On Thu, Apr 4, 2013 at 10:09 PM, nginyi kimaai <nginyikariongi@gmail.com>
> wrote:
>>
>> Hivi ule mkono mrefu wa Serekali unaoswemaga ni upi? hivi huwaga ni
>> Mrefu kweli? mrefu mpaka wapi? mmh!
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




0 comments:

Post a Comment