Sunday 14 April 2013

Re: [wanabidii] SAID ISSA WA ZANZIBAR NI KWETU NAE ASHIKILIWA NA POLISI?

Kwani Tanzania imekua Police State au Argentina ya miaka ya 80?

On 4/14/13, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:
> Jamani, simtakii balaa huyu ndugu yetu Said Issa (bin Isaa), lakini kimya
> chake hapa ukumbini hasa katika wakati huu wa kamatakamata wa magaidi,
> wana-uamsho, wavunja makanisa na wavunja misikiti kinanitia wasiwasi sana.
> Kama Shk Said upo hapa ukumbini tujulie hali nduguzo japokuwa kwa mstari
> mmoja, au kama mtu yoyote anajua chochote kuhusu huyu Bwana basi
> atukhabarishe.
> Nimetembelea blogu la Zanzibar Ni Kwetu na nimekuta maelezo tu ya vipi
> unaweza kuleta pesa Tanzania kwa bei nafuu kutoka nje basi, without the
> usual fiery articles bashing and trashing our Union!
>
> //Nkumba.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment