Monday 8 April 2013

Re: [wanabidii] RE: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA


 Sasa kama haaminiki si atemwe tu akae pembeni au ?
----- Original Message -----
From: "ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc:
Sent: Sunday, 7 April 2013, 14:22
Subject: [wanabidii] RE: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA

Duh,nafikiri sasa Zitto si rahisi kuaminika tena. Hata kama yawezekana isithibitike but why kila siku tuhuma za usaliti kwa wenzio?kwa nini wewe kila siku ndo uonekane loophole?offcourse,siku zote hata kama nikijisikia kumpenda Zitto,jambo ambalo hunijia kichwani ni kuwa haaminiki.ngupula
-----Original Message-----
From: Jovias Mwesiga
Sent:  07/04/2013, 1:55  pm
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA


Kuna sababu mbali mbali zinazowafanya watu kujiunga na upinzani
wengine kurudi kwenye chama tawala. Kwa muda mrefu tumezoea kusikia
upakanaji matope ndani ya chama tawala sasa mdudu huyu kaingia hata
upinzani. Siasa za kujengeana chuki wakati wote tunategemea
kuwatumikia watanzania mwisho wake hauna wema hata kidogo. Leo hii
mtanzani anatuhumiwa kwa ugaidi dhidi ya watanzania wenziwe si dalili
njema. Watu wanagombea madaraka hadi unaetegemea kuhudumiwa unajiuliza
mara mbili mbili kama huyu mtu yuko radhi aue mtu ili mradi aniongoze
kunayo nia njema kweli. 2010 labda sera za vyama hazikueleweka huu ndo
muda muafaka kujinadi ila sasa tunajinadi kwa tambo za ajabu na ubabe
ulikithiri pamoja na kutishana kwa matukio ya ajabu ajabu. Siasa za
tanzania haieleweki ziko kwa maslahi ya nani

On 4/7/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Kuna watu ambao sio sahihi ndani ya vyama vya Upinzani haswa CHADEMA ambao
> wako kwenye nafasi nyeti na wamekaa hapo kitambo ndio hawa wanaohangaka
> kulipa baadhi ya vijana simu na hela kwa ajili ya kuchafua wenzao na kutoa
> baadhi ya siri za vyama kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja kama
> alivyokuwa anafanya Joseph Ludovick ambaye yuko kwenye vyombo vya dola ,
> kuna wengine kadhaa na ishara kuu ni aina ya simu wanazotumia ni aina moja
> hata baadhi ya namba za siri zinafanana .
>
> Ila wajue wanaharibu hivi vyama na upinzani na kutumika kwao kutaishia
> kubaya na ukitumika kwa njia hizi usitegemee utakuja kuaminika kwa huyo
> anayekutumia au chama chako haswa kwa maslahi ya muda mrefu ya chama .
>
> Wengine tulishangamua na tulithibutu kuwaambia hata kuwaondoa kwenye baadhi
> ya mikakati toka uchaguzi wa mwaka 2010 .
>
>
> 2013/4/7 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Badala watu wahangaike kujenga chama kutupa hoja mbadala na kutupa
>> taarifa za mara kwa mara kuhusu mafanikio ya sera zao wao
>> kushambuliana na kutuhumiana kila siku , huu sio upinzani tunaoutaka -
>> watu wabadilike haswa wanachama wa vyama vya upinzani naona CUF sasa
>> hivi imeanza kubadilika taratibu huwezi kukuta wanachama wa CUF na
>> viongozi wao wakituhumiana na kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii .
>>
>> On Apr 7, 8:44 am, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>> > Hongereni kwa kutujulisha kuwa watawala wanahonga wapinzani
>> >
>> > On 4/6/13, mchange habibu <mchangehab...@yahoo.com> wrote:
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> >
>> > > ni upuuzi na ujinga uliotukuka kusema kila mtu anaweza kuhongwa na
>> mwigulu,
>> > > huyo mwigulu ana pesa kiasi gani kiasi cha kumuhonga kila mtu mpaka
>> > > zitto?...ni lazima tuache kufikiri kwa akili ndogo, ifike wakati sasa
>> > > tufikiri kuwa watu kama zitto siku zote huwaza nje ya mitego
>> wamayowekewa na
>> > > wapinzani wao wa kisiasa.
>> >
>> > > ________________________________
>> > >  From: mngonge <mngo...@gmail.com>
>> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>> > > Sent: Saturday, April 6, 2013 9:17 AM
>> > > Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>> >
>> > > Time will tell who is right and who is wrong, kaharufu haka
>> > > kanatuacha
>> njia
>> > > panda
>> >
>> > > 2013/4/6 Mwahija Juma <mwahija_j...@yahoo.com>
>> >
>> > >>----- Forwarded Message -----
>> > >>From: Mwahija Juma <mwahija_j...@yahoo.com>
>> > >>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> > >>Sent: Friday, April 5, 2013 11:52 PM
>> > >>Subject: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>> >
>> > >>Rejea barua ya Zitto kwenye mitandao. (Chadema Taifa Vipande vipande)
>> >
>> > >>Yawezekana Zitto alikuwa na nia nzuri alipoandika barua hiikwa Katibu
>> wake
>> > >> Mkuu.Naibu Katibu Mkuu anamwandikia Katibu Mkuu. Lakini kutokaofisi
>> > >> ya
>> > >> Naibu Katibu Mkuu, na Ofisi ya Katibu Mkuu ni mita mbili, je
>> > >> aliendakushauriana na Katibu Mkuu kuhusu suala hilo? Kama alikwenda
>> > >> walikubaliananini? Je kulikuwa na haja ya kuandika barua kwa
>> mawasiliano
>> > >> yao na kuwekanakala kwa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu
>> Mkuu
>> > >> na Kurugenzi yaHabari na Uenezi, huku akitoa nakala kwa Mkurugenzi
>> aliye
>> > >> kizimbani?
>> >
>> > >>Suala la kumwajibisha Lwakatare ni suala linalohitaji vikao,je Zitto
>> > >> alisubiri vikao ili atoe mawazo yake yakakataliwa? Je yeye Zitto
>> > >> alihudhuria kikao kile? Je kulikuwa naharaka gani kumwondoa
>> > >> Lwakatare
>> > >> katika nafasi baada tu ya kutuhumiwa. Nafasiyake kama Mkurugenzi wa
>> Ulinzi
>> > >> na Usalama wa Chadema inazuia vyombo vingine vyaUlinzi na Usalama
>> > >> vya
>> > >> serikali kutekeleza majukumu yake hadi tuseme kuwaanahitajika
>> > >> kupisha
>> > >> uchunguzi?. Huyu sio Waziri wa serikali ambaye vyombo vyaUchunguzi
>> vyaweza
>> > >> kumwogopa katika Uchunguzi
>> > >>Zitto ametumia akili ya kutosha aweze kujionyesha kwa jamii,na
>> > >> akagawa
>> > >> nakala ya barua hizo kwa watu wengine ili aondokane na hatia
>> > >> yakuileta
>> > >> barua hiyo katika mitandao ya Kijamii. Ikumbukwe, Siku wakati
>> > >> MwiguluNchemba anatamka kuwa ana mkanda unaoonyesha Viongozi wa
>> Chadema
>> > >> wakiratibumauaji alikuwa Star TV. Zitto alikuwa na Mwigulu, na
>> Mtatiro.
>> > >> Zitto kama NaibuKatibu Mkuu wa Chama kilichotuhumiwa, hakuhoji
>> > >> tuhuma
>> hizo
>> > >> katika Televisheni,wala hakuonekana kushituka.
>> >
>> > >>Kwa mujibu wa barua yake anasema kuwa Chama kimeshatoatamko, atumbie
>> tamko
>> > >> la Chama ni lipi juu ya tuhuma ya Lwakatare, tamko hiloanalodai
>> > >> Zitto
>> > >> limetolewa atuambie limetolewa lini? Lilitolewa na nani? Tena
>> > >> baadaya
>> > >> Kikao Kipi? . Wadau wanaofuatilia mambo ya Chadema, tangu sakata
>> > >> laLwakatare litajwe Kamati kuu ndio imekutana juzi, hatujajua kama
>> > >> keshowatazungumza hili.
>> > >>Mpango unaotajwa kuasisiwa na Mwandishi wa habari, ambayekatika
>> > >> Mkanda
>> wa
>> > >> video ya Lwakatare iliyopo kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
>> > >> haumtaji Denis Msaky aliyeamua kujipachika ili ionekane kuwa
>> > >> alikuwaanasakwa, pamoja na ushahidi wa wazi kuwa alimpigia Lwakatare
>> siku
>> > >> moja akiwaanatoka Bukoba, kama alivyoonyesha Mkurugenzi wa Sheria na
>> > >> Katiba wa Chamahicho. Huo Mkakati hautafanikiwa. Zitto umetajwa mara
>> > >> nyingi sana, lakini hapaumejivua nguo mwenyewe, umeonyesha
>> unavyonunulika,
>> > >> usivyofaa kwa mabadiliko naUhuru wa kweli. Chukua Pesa za CCM,
>> > >> lakini
>> > >> laana za Watanzania kamwe hutazikwepawala kuziepuka milele.
>> Ulichokiandika
>> > >> hapa Chadema ni vipande vipande,tutaungana tu, maana wasaliti
>> > >> mtakuwa
>> > >> mmeondoka.
>> >
>> > >>Jana kuna mmoja ya watu waliohongwa aligombana na MwiguluNchemba huku
>> > >> akilalamika kuwa mipango yote ya kuhongwa imevuja, na sasa
>> pesaalizobaki
>> > >> nazo hatazitoa kwa wenzake ikiwezekana kujilinda kwa nguvu
>> zozote.Zitto
>> > >> kuwa wazi, umetumika na katika hili hutaepuka laana ya
>> Watanzaniawanaoona
>> > >> Chadema kuwatumaini lao la mabadiliko na Uhuru wa kweli
>> >
>> > > --
>> > >>Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> > >>International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > >> ukishatuma
>> >
>> > >>Disclaimer:
>> > >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must
>> > >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> > >> you
>> > >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>> > >>---
>> > >>You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> > >> "Wanabidii" group.
>> > >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> > >> send
>> an
>> > >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > >>For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> > > --
>> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > > ukishatuma
>> >
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be
>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > > ---
>> > > You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> > > "Wanabidii" group.
>> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> > > send
>> an
>> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> > > --
>> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > > ukishatuma
>> >
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be
>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > > ---
>> > > You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> > > "Wanabidii" group.
>> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> > > send
>> an
>> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
> www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
> www.naombakazi.blogspot.com
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment