Sunday 7 April 2013

Re: [wanabidii] Re: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA

Kuna watu ambao sio sahihi ndani ya vyama vya Upinzani haswa CHADEMA ambao wako kwenye nafasi nyeti na wamekaa hapo kitambo ndio hawa wanaohangaka kulipa baadhi ya vijana simu na hela kwa ajili ya kuchafua wenzao na kutoa baadhi ya siri za vyama kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja kama alivyokuwa anafanya Joseph Ludovick ambaye yuko kwenye vyombo vya dola , kuna wengine kadhaa na ishara kuu ni aina ya simu wanazotumia ni aina moja hata baadhi ya namba za siri zinafanana .

Ila wajue wanaharibu hivi vyama na upinzani na kutumika kwao kutaishia kubaya na ukitumika kwa njia hizi usitegemee utakuja kuaminika kwa huyo anayekutumia au chama chako haswa kwa maslahi ya muda mrefu ya chama .

Wengine tulishangamua na tulithibutu kuwaambia hata kuwaondoa kwenye baadhi ya mikakati toka uchaguzi wa mwaka 2010 .


2013/4/7 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Badala watu wahangaike kujenga chama kutupa hoja mbadala na kutupa
taarifa za mara kwa mara kuhusu mafanikio ya sera zao wao
kushambuliana na kutuhumiana kila siku , huu sio upinzani tunaoutaka -
watu wabadilike haswa wanachama wa vyama vya upinzani naona CUF sasa
hivi imeanza kubadilika taratibu huwezi kukuta wanachama wa CUF na
viongozi wao wakituhumiana na kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii .

On Apr 7, 8:44 am, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> Hongereni kwa kutujulisha kuwa watawala wanahonga wapinzani
>
> On 4/6/13, mchange habibu <mchangehab...@yahoo.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> > ni upuuzi na ujinga uliotukuka kusema kila mtu anaweza kuhongwa na mwigulu,
> > huyo mwigulu ana pesa kiasi gani kiasi cha kumuhonga kila mtu mpaka
> > zitto?...ni lazima tuache kufikiri kwa akili ndogo, ifike wakati sasa
> > tufikiri kuwa watu kama zitto siku zote huwaza nje ya mitego wamayowekewa na
> > wapinzani wao wa kisiasa.
>
> > ________________________________
> >  From: mngonge <mngo...@gmail.com>
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Sent: Saturday, April 6, 2013 9:17 AM
> > Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>
> > Time will tell who is right and who is wrong, kaharufu haka kanatuacha njia
> > panda
>
> > 2013/4/6 Mwahija Juma <mwahija_j...@yahoo.com>
>
> >>----- Forwarded Message -----
> >>From: Mwahija Juma <mwahija_j...@yahoo.com>
> >>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >>Sent: Friday, April 5, 2013 11:52 PM
> >>Subject: ZITTO AHONGWA NA MWIGULU KUVURUGA CHADEMA
>
> >>Rejea barua ya Zitto kwenye mitandao. (Chadema Taifa Vipande vipande)
>
> >>Yawezekana Zitto alikuwa na nia nzuri alipoandika barua hiikwa Katibu wake
> >> Mkuu.Naibu Katibu Mkuu anamwandikia Katibu Mkuu. Lakini kutokaofisi ya
> >> Naibu Katibu Mkuu, na Ofisi ya Katibu Mkuu ni mita mbili, je
> >> aliendakushauriana na Katibu Mkuu kuhusu suala hilo? Kama alikwenda
> >> walikubaliananini? Je kulikuwa na haja ya kuandika barua kwa mawasiliano
> >> yao na kuwekanakala kwa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu
> >> na Kurugenzi yaHabari na Uenezi, huku akitoa nakala kwa Mkurugenzi aliye
> >> kizimbani?
>
> >>Suala la kumwajibisha Lwakatare ni suala linalohitaji vikao,je Zitto
> >> alisubiri vikao ili atoe mawazo yake yakakataliwa? Je yeye Zitto
> >> alihudhuria kikao kile? Je kulikuwa naharaka gani kumwondoa Lwakatare
> >> katika nafasi baada tu ya kutuhumiwa. Nafasiyake kama Mkurugenzi wa Ulinzi
> >> na Usalama wa Chadema inazuia vyombo vingine vyaUlinzi na Usalama vya
> >> serikali kutekeleza majukumu yake hadi tuseme kuwaanahitajika kupisha
> >> uchunguzi?. Huyu sio Waziri wa serikali ambaye vyombo vyaUchunguzi vyaweza
> >> kumwogopa katika Uchunguzi
> >>Zitto ametumia akili ya kutosha aweze kujionyesha kwa jamii,na akagawa
> >> nakala ya barua hizo kwa watu wengine ili aondokane na hatia yakuileta
> >> barua hiyo katika mitandao ya Kijamii. Ikumbukwe, Siku wakati
> >> MwiguluNchemba anatamka kuwa ana mkanda unaoonyesha Viongozi wa Chadema
> >> wakiratibumauaji alikuwa Star TV. Zitto alikuwa na Mwigulu, na Mtatiro.
> >> Zitto kama NaibuKatibu Mkuu wa Chama kilichotuhumiwa, hakuhoji tuhuma hizo
> >> katika Televisheni,wala hakuonekana kushituka.
>
> >>Kwa mujibu wa barua yake anasema kuwa Chama kimeshatoatamko, atumbie tamko
> >> la Chama ni lipi juu ya tuhuma ya Lwakatare, tamko hiloanalodai Zitto
> >> limetolewa atuambie limetolewa lini? Lilitolewa na nani? Tena baadaya
> >> Kikao Kipi? . Wadau wanaofuatilia mambo ya Chadema, tangu sakata
> >> laLwakatare litajwe Kamati kuu ndio imekutana juzi, hatujajua kama
> >> keshowatazungumza hili.
> >>Mpango unaotajwa kuasisiwa na Mwandishi wa habari, ambayekatika Mkanda wa
> >> video ya Lwakatare iliyopo kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
> >> haumtaji Denis Msaky aliyeamua kujipachika ili ionekane kuwa
> >> alikuwaanasakwa, pamoja na ushahidi wa wazi kuwa alimpigia Lwakatare siku
> >> moja akiwaanatoka Bukoba, kama alivyoonyesha Mkurugenzi wa Sheria na
> >> Katiba wa Chamahicho. Huo Mkakati hautafanikiwa. Zitto umetajwa mara
> >> nyingi sana, lakini hapaumejivua nguo mwenyewe, umeonyesha unavyonunulika,
> >> usivyofaa kwa mabadiliko naUhuru wa kweli. Chukua Pesa za CCM, lakini
> >> laana za Watanzania kamwe hutazikwepawala kuziepuka milele. Ulichokiandika
> >> hapa Chadema ni vipande vipande,tutaungana tu, maana wasaliti mtakuwa
> >> mmeondoka.
>
> >>Jana kuna mmoja ya watu waliohongwa aligombana na MwiguluNchemba huku
> >> akilalamika kuwa mipango yote ya kuhongwa imevuja, na sasa pesaalizobaki
> >> nazo hatazitoa kwa wenzake ikiwezekana kujilinda kwa nguvu zozote.Zitto
> >> kuwa wazi, umetumika na katika hili hutaepuka laana ya Watanzaniawanaoona
> >> Chadema kuwatumaini lao la mabadiliko na Uhuru wa kweli
>
> > --
> >>Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >>International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >>Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >>Disclaimer:
> >>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>---
> >>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >>For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.





--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment