Saturday 6 April 2013

Re: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja


Ndio tumeanza kufukuzana. sababu ya kula na kipofu ukamshika mkono sasa ameamka. huenda agenda si kuchinja bali imejificha humo kakibu ka kutaka kuanzisha fujo nchi isitawalike ili kukidhi haja fulani. Nyati sasa wameibika wamecha unyanyasaji afanyayo simba kama picha hii toka mtandao wa jamii Forum inavyoonyesha.

--- On Thu, 4/4/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 4 April, 2013, 12:08

Hili suala la udini linakuzwa na baadhi ya watu kwa maslahi yao
binafsi hata humu kwenye mitandao ya kijamii wakati hata hali haiko
hivyo ni wahuni wachache tu tena wengi wao wako kwenye vyombo vya dola
tayari na wameshafunguliwa kesi wengine wanaendelea kuwindwa usiku na
mchana wakipatikana nao watafikishwa kwenye vyombo husika wachukuliwe
hatua husika kutokana na makosa yao sio kwa sababu ya dini zao wale
imani zao ni kwa sababu wao ni wahalifu na wametenda uhalifu .

On Apr 4, 2:55 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> Kama watu hawana shuguli ni dhahiri upuuzi huu utashabikiwa. Kila siku
> tunakula supu ya mbuzi au kuku kwa mangi hasa tunaoishi miji mikubwa
> lini mchaga angojee muislam aje chinja kuku? Si nia yangu kuingilia
> imani za watu ila ka unafiki kapo hapa na viongozi waropokaji ndo
> tatizo. Secretary of state wa marekani alisema nchini kwao unaweza
> kuamua kuwa mjinga au mpumbavu lakini kwa kiasi hili limesaidia. WE
> kama mla mbwa sawa na wewe mtembea uchi sawa sie vitu visivyo vya
> msingi ndo tunavishabikia kuliko hata kujenga vyoo bora majumbani na
> kutunza mazingira. Tuko radhi kulala tunaimba makanisani siku nne kila
> wiki huku tukitega kazi za uzalishaji au kufanya kazi masaa machache
> na kushinda kwenye mabaraza ya misikiti. Ukienda shule hakuna topiki
> ya busara darasani ila unajengeka kiakili na kuweza kukabiliana na
> changamoto mbalimbali kwa sasa elimu tumeiua matokeo ndo hayo wengi
> wetu tu mazuzu na uyahawani ndo sifa tustahiliyo matokeo ni matendo ya
> kipumbavu. Ifike mahala tuelimishane kwa vitendo
>
> On 4/4/13, Hildegarda Kiwasila <khildega...@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Ni vurugu za kipuuzi. Huenda vijana wa kijiweni walianzisha vurugu ili
> > wapate mafao ya kupora vitu. Nani atanizuia nisichinje nyumbani kwangu na
> > nikala mwenyewe kiasi aje kunipiga au kunichomea mali zangu? katika familia
> > zetu kuna watu wa madhehebu mbali mbali. kama mnafanya kikao cha ukoo wa
> > watu hao dini mbalimbali-Muislamu anapewa kuchinja ili mle wote. Kama
> > ninakula na familia yangu moja ya dini moja tunachinja wenyewe hata wakristu
> > wanachinja na mwanamke (Mkristu) anachinja anakula na wanae au familia yake
> > (wakristu). wapo wamama wanachinja kuku lakini sio mifugo mikubwa kama
> > mbuzi, kondoo, ng'ombe. Wanawanjinja wao au watoto wao wa kiume na mchuzi
> > hunoga. Zipo mila zinazozuia wamama na wadada kuchinja ila kijana hata awe
> > mdogo std 1 atachinja kuku. Wanyama wakubwa wanahitaji uhodari amasivyo
> > atakupiga pembe na kukuua hivyo watoto hao wadogo-hawaruhusiwi. Kama
> > kifamilia walipochanganyika madhehebu ilianza hivyo na ikafika kitaifa
> > kukubaliana hivyo
> >  kwamba Bucha za Umma mwislamu achinje leo tatizo ni nini?
>
> > Kama wakristo wa madhehebu fulani wana bucha zao na wanataka
> > kujichinjia-waacheni wakabe na kuchinja wanyama wao-si wanakula wenyewe hiyo
> > Haram? Nao hao wa madhehebu mengine-Waislamu wana bucha zao-wachinje,
> > wajiuzie, wale. labda liwe suala la kukosa wateja kama eneo waislamu ni 2%
> > na waliobaki watachinja na kujiuzia na wenye bucha hasa na maduka makubwa ni
> > Waislamu kipato kitashuka. Hawa na hasa huko Mbeya-wapeleke nyama nchi
> > jirani wakause mbona ni utandawazi?
>
> > Hapa hakuna hoja ila ni Kufirisika Kidini. unatafuta sababu ya kukupa
> > sifa-mchongo duni ambao utakuangamiza mwenyewe. Au, kuna ulitakalo umekosa
> > jinsi ya kuonekana unapitia mchongo huu wa KUCHINJA WANYAMA. ULAANIWE na
> > radi ije kukupiga ufe usituletee balaa. Basi kuna waliozaa wakristu na
> > waislamu hao watoto watachinjwa sasa wasiwepo duniani? Maana mmeunganisha
> > damu mbli haram!!
>
> > Wengine makanisa wanaanzisha yanazuka kama uyoga ambapo sasa kuanzisha
> > makanisa imekua biashara huria. Mwenye misingi ya Kikristo hasa au kiislamu
> > hasa-hawezi kuleta haya yanayotokea sasa kwa sababu-waafrika Tanzania
> > tumechanganyikana kidini na kikabila. Tumechanganyikana Race na hata bunge
> > lentu lina watu wa rangi mbali mbali waliozalia hapa bongo. Hata alikotoka
> > babu Mhingi, Mwarabu, Mdachi, Gerumani, Mwingereza, Giriki baadhi yao
> > hawajafika ni hiyo rangi na jina tu la ukoo na wanachaguliwa na wananchi wao
> > kwa UPENDO. Leo kuchinja tu ikaewe sababu ya kuchomeana majumba na
> > kuuana-Imeingia Siasa, Ufisaji, Kutaka Jina au kitu kingine humu. Moto
> > unawasubiri Kiama.
>
> > Hivi ukiua binadamu ndio Utauona Uwingu au Kuingia Mbiguni? kila alichoumba
> > Mwenyezi Mungu kwa mkono wake ni chema-utakikataje Roho hasa akiwa Mwana
> > Adamu? unaua, halafu ukipelekwa mahakamani hata ya kitaifa unakana
> > unasema-hujaua. Jee, wewe unamjua Mungu kweli? halafu unaonekana unasali,
> > unasujudu mbele za uwanja ulikochoma moto au kuua watu au mahakamani. ama
> > huyu Mungu kujificha imekuwa Kheri maana angejitokeza sijui kama foleni ya
> > kwenda kwake kumuhoji maswali magumu tulionayo ingekuwa na urefu gani
> > daily.
>
> > --- On Wed, 3/4/13, Mobhare Matinyi <mati...@hotmail.com> wrote:
>
> > From: Mobhare Matinyi <mati...@hotmail.com>
> > Subject: RE: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Wednesday, 3 April, 2013, 16:00
>
> > Kilichotutofautisha na Waafrika wengine humu barani mwetu - enzi zile - ni
> > kuwa rais wa kwanza mwenye busara na uwezo mkubwa, basi! Haya maneno
> > niliyapata kimkandamkanda kutoka kwa mnaijeria mmoja mwenyeji wa Biafra
> > aliyesema hivi "Ninyi Watanzania mlibahatika kuwa na kiongozi mwenye busara
> > na akili; sisi wengine hatukubahatika."
>
> > Naishia hapo!
>
> >> Date: Wed, 3 Apr 2013 07:07:29 -0700
> >> Subject: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> >> From: jumamz...@gmail.com
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Taarifa kutoka Tunduma
> >> mkoani Mbeya zinadai kuwa
> >> hali si shwari katika eneo hilo
> >> kutokana na kuzuka kwa vurugu kubwa zinazodaiwa
> >> kusababishwa na masuala
> >> ya kiimani ya nani achinje
> >> kati ya mkristo na Muislam .
>
> >> Mwandishi wetu kutoka
> >> Tunduma mkoani Mbeya
> >> anaripoti kuwa vurugu hizo
> >> zimeanza majira ya saa nne
> >> asubuhi kwa makundi ya
> >> vijana kuandamana mitaani na kuvutana kuhusu uamuzi
> >> wa viongozi wa dini ya
> >> kikristo Tunduma kuandika
> >> barua kwa mkuu wa wilaya
> >> kutaka kuruhusiwa kuchinja
> >> wakati wa pasaka.
>
> >> Ripota wetu anaripoti kuwa
> >> kabla ya ijumaa kuu viongozi
> >> hao wa dini ya Kikristo
> >> walikutana na mkuu wa
> >> wilaya ya Momba Abuud
> >> Saibea ambae aliwataka kuwasilisha barua rasmi ya
> >> kutaka kibali cha kuchinja .
>
> >> Hata hivyo inaelezwa kuwa
> >> vurugu hizo za leo zina
> >> mikanganyiko mingi kwani
> >> wanaoshiriki katika vurugu
> >> hizo ni vijana wapiga debe .....
>
> >> Vurugu za uchinjaji
> >> zilifanyika siku ya Pasaka na
> >> hazikuwa na mvutano kwa
> >> sababu wakristo walichinja
> >> katika bucha zao na waislamu
> >> nao walichinja katika mabucha yao ....
>
> >> Cha kushangaza leo ni baada
> >> ya kuibuka kundi la vijana
> >> wanaofanya kazi katika stendi
> >> na vijiwe mbali mbali ambao
> >> ndio walioanzisha vurugu
> >> kiasi cha polisi kuingilia kati kwa kutumia mabomu ya
> >> machozi na kuwatawanya
> >> wananchi waliokuwa
> >> wamekusanyika maeneo mbali
> >> mbali .
>
> >> Kutokana na vurugu hizo
> >> mpaka wa Tunduma ambao
> >> unaingia nchi za kusini mwa
> >> Tanzania ulifungwa pamoja
> >> na magari yaliyokuwa
> >> yakitoka Sumbawanga pia yalizuiwa kuendelea na safari
> >> hadi hali hiyo ilipotulia mida
> >> ya saa 8 mchana baada ya
> >> kamanda wa polisi wa mkoa
> >> wa Mbeya Diwani Athuman
> >> kufika eneo hilo.
>
> >> Source: Mpekuzi
> >>http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/427824-ripoti-maalumu-kuhu...
>
> >> On Apr 3, 1:19 pm, Faiza Hassan <antiho...@gmail.com> wrote:
> >> > Tupashe kwa ukamilifu kuchinja nini?
>
> >> > On Wed, Apr 3, 2013 at 2:16 AM, Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com> wrote:
> >> > > Vurugu Kubwa zimetokea Tunduma baada ya Mkuu wa wilaya kukataza
> >> > > wakristo kuchinja
>
> >> > > --
> >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > > ukishatuma
>
> >> > > Disclaimer:
> >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> > > legal
> >> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> > > must be
> >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> > > agree
> >> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> > > ---
> >> > > You received this message because you are subscribed to the Google
> >> > > Groups
> >> > > "Wanabidii" group.
> >> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> >> > > an
> >> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >> --
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> > --
>
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
>
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> > ---
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment