Wednesday 3 April 2013

Re: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja

Kaka Matinyi umenena vyema na iwe kama utakavyo. Nafikiri uwezo wetu wa kiakili watanzania unazidi kushuka siku hadi siku. Tukisema kuwa eti ni kwa sababu ya mfumo wa elimu uliopo si kweli. Tujiulize wazee wetu wa miaka ya sitini na sabini ambao wengi hawakupata elimu rasmi lakini walikuwa na uwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya jamii pindi yanapotokea. Sisi tumelogwa?????? Tena nadhani huyu mchawi keshakufa. Duh!!!!!!??? sijui ni njaaa?????
 
Salum Mkango
Kalgoorlie
Western Australia

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 3, 2013 7:00 PM
Subject: RE: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja

Kilichotutofautisha na Waafrika wengine humu barani mwetu - enzi zile - ni kuwa rais wa kwanza mwenye busara na uwezo mkubwa, basi! Haya maneno niliyapata kimkandamkanda kutoka kwa mnaijeria mmoja mwenyeji wa Biafra aliyesema hivi "Ninyi Watanzania mlibahatika kuwa na kiongozi mwenye busara na akili; sisi wengine hatukubahatika." 
Naishia hapo!
 
> Date: Wed, 3 Apr 2013 07:07:29 -0700
> Subject: [wanabidii] Re: Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> From: jumamzuri@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Taarifa kutoka Tunduma
> mkoani Mbeya zinadai kuwa
> hali si shwari katika eneo hilo
> kutokana na kuzuka kwa vurugu kubwa zinazodaiwa
> kusababishwa na masuala
> ya kiimani ya nani achinje
> kati ya mkristo na Muislam .
>
> Mwandishi wetu kutoka
> Tunduma mkoani Mbeya
> anaripoti kuwa vurugu hizo
> zimeanza majira ya saa nne
> asubuhi kwa makundi ya
> vijana kuandamana mitaani na kuvutana kuhusu uamuzi
> wa viongozi wa dini ya
> kikristo Tunduma kuandika
> barua kwa mkuu wa wilaya
> kutaka kuruhusiwa kuchinja
> wakati wa pasaka.
>
> Ripota wetu anaripoti kuwa
> kabla ya ijumaa kuu viongozi
> hao wa dini ya Kikristo
> walikutana na mkuu wa
> wilaya ya Momba Abuud
> Saibea ambae aliwataka kuwasilisha barua rasmi ya
> kutaka kibali cha kuchinja .
>
> Hata hivyo inaelezwa kuwa
> vurugu hizo za leo zina
> mikanganyiko mingi kwani
> wanaoshiriki katika vurugu
> hizo ni vijana wapiga debe .....
>
> Vurugu za uchinjaji
> zilifanyika siku ya Pasaka na
> hazikuwa na mvutano kwa
> sababu wakristo walichinja
> katika bucha zao na waislamu
> nao walichinja katika mabucha yao ....
>
> Cha kushangaza leo ni baada
> ya kuibuka kundi la vijana
> wanaofanya kazi katika stendi
> na vijiwe mbali mbali ambao
> ndio walioanzisha vurugu
> kiasi cha polisi kuingilia kati kwa kutumia mabomu ya
> machozi na kuwatawanya
> wananchi waliokuwa
> wamekusanyika maeneo mbali
> mbali .
>
>
> Kutokana na vurugu hizo
> mpaka wa Tunduma ambao
> unaingia nchi za kusini mwa
> Tanzania ulifungwa pamoja
> na magari yaliyokuwa
> yakitoka Sumbawanga pia yalizuiwa kuendelea na safari
> hadi hali hiyo ilipotulia mida
> ya saa 8 mchana baada ya
> kamanda wa polisi wa mkoa
> wa Mbeya Diwani Athuman
> kufika eneo hilo.
>
> Source: Mpekuzi
> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/427824-ripoti-maalumu-kuhusu-vurugu-za-tunduma-zilizosababisha-mipaka-kufungwa-kwa-muda.html#post6051399
>
> On Apr 3, 1:19 pm, Faiza Hassan <antiho...@gmail.com> wrote:
> > Tupashe kwa ukamilifu kuchinja nini?
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > On Wed, Apr 3, 2013 at 2:16 AM, Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com> wrote:
> > > Vurugu Kubwa zimetokea Tunduma baada ya Mkuu wa wilaya kukataza
> > > wakristo kuchinja
> >
> > > --
> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
> >
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > > ukishatuma
> >
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > > ---
> > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > > "Wanabidii" group.
> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment