Du, eng leo umeamka vibaya, yaani kwa mtizamo wako unamuona Lissu kama prospective Candidate wa Urais?. Nadhani una kitu unamaanisha huenda lakini siyo Lissu eng, for sure siyo Lissu. Hebu pitia tenanadharia yako ya viongozi utaona kabisa ile sifa ya sita hadi kumi na moja zinamtupa nje wakati ya kwanza hadi ya nne hana. Ya tano moja tu ya elimu ndiyo anayo. Hebu pitia tena mchango wako ni mzurisana kwa mstikabari wa nchi yetu lakini hapo kwa Lissu,,..... nasita kukubalia eng. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA
Sent: Sun, Apr 21, 2013 8:57:25 AM
Duh! Tusichanganye mambo. Siyo kila anayempinga Zitto eti anafanya hivyo kwa sababu anamtaka Slaa agombee na siye kila anayetaka Zitto agombee eti ni kwa sababu hamtaki Slaa. Chadema kuna watu wengi sana na vichwa vingi sana vya maana kama ilivyo CCM. Tatizo la vichwa vilivyopo CCM ni kuwa mfumo walio nao hauwezeshi kufanya mambo tofauti na yale yanayotakiwa na mfumo. Msishangae 2015 CHADEMA wakaja na mtu tofauti kabisa na mnayemdhania ninyi. Nitafurahi sana kama kamanda Lissu akiwa mmoja wa wagombea na kisha apitishwe. YUle jamaa akitangazwa tu kuwa ndio mgombea kuna watu watapata kigugumizi....................... 2013/4/21 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> Acheni ubinafsi urais hauna mwenyewe, hata zitto anafaa, mmekuwa -- Wasalaam, Denis Matanda, Mine Planning Supt, Tanzania. " Low aim, not failure, is a crime" Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment