Monday 22 April 2013

Re: [wanabidii] Re: Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"

Hili suala ni kama vile KUFUMANIWA TU!Mbona watu wanafumania wenza wao, na vyombo vya habari vinawapiga picha na kuwasambaza kwenye magazeti na blog mbalimbali?Mbona juzi tu Diamond tena na yule mama wa KATAUTI walimfumania au sijui walifahamuje mbona wanaharakati wanaompinga Kiwasila hawajasema.Watu wengi wamevunjiwa ndoa zao kwa kudharirishwa kwenye magazeti baada ya kufumaniwa na wake au waume wa wenzao.Halafu cha kushangaza hata hao wanaowafumania sio ndugu wala jamaa wala hata hawajatumwa na wenza wa watu hao.
Je, hii ya WEMA SEPETU kumpigia mme wa mtu,na akijua kabisa yuko na mke wake.Je, hii si kama kukamatwa ugoni?
Au,Je,Wema mwenyewe amesema?Je,kama magazeti yamewataka watengeneze sale je nani anajua.Dunia ngumu hii tusiende ende tu.Tujaribu kuvuka mipaka ya hisia na vionjo vyetu.
Wema ana Makosa tena makubwa maana alijua ni usiku,na Diamond ana mke...!!
KIWASILA ANA HOJA!!!!

2013/4/22 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Tunataka wasanii wawe mfano bora wa kuigwa kitaifa na vijana wa sasa na wawe wa kuringiwa na wazazi na ndugu zao kwa kuwa ni mfano bora. Ni kama tunavyotaka Waheshimiwa wabunge wawe mfano bora wa kuigwa na Taifa. Waulize maswali yanayoonyesha uelewa wao katika mfumo wa uchumi wa jamii wanayoiwakilisha na mahitaji ya kitaifa. Uliulize jibu ambalo ni wajimu na majukumu yako. wananchi wangu hawana nyenzo za kulimia-power tiller zimejaa kibao halmashauri bei milioni 6 wachangizane wakainunue. matrekta madogo na makubwa na powertiller JWTZ imezirundika inaziuza. wanakunywa tembo na kangara, baadhi kuvuta sigara  kwa siku kiasi gani? wakichanga katika vikundi vyao kidogo kidogo miezi 6 kabla msimu kuanza wanaipata moja na halmashauri inawafundisha jinsi ya kuiendesha na kuitumia. Mto unapitisha maji yanaingia baharini tunataka tumwagilie maji tusaidiwe-ni wewe na bwana kilimo huhamasisha wakulima wapige traditional irrigation furrows mabondeni wamwagie maji. Waungane kupakia mchele, choroko, mihogo mikavu ndani ya lorry kuleta Dar, peleka zambia, malawi, Nairobi. Mbona mabus, lori yanakwenda huko daima? Kulikoni kubweteka. Shamba darasa maana yake kujituma sio kuletewa. Hata kujichangiza mmoja anakwenda mjini au mji jirani kununua hybrid seeds makilo kupeleka kijijini wakapande. Kama tunaagiza mpaka apples toka S. africa, maembe kutoka Sudan tunasafirisha hadi hapa, vipodozi toka China kuja kujichubua bongoland-Vipi kusafirisha mchele Kutoka Kilombero-Mbeya-Zambia; Kilombero-Chalinze-Tanga-Mombasa? Wacheni mchezo na kupoteza muda. Ndio haya na Wema na Diamond-Mbona tupo akili zimebweteka na solutions tunazo? Wacha kujidhalilisha ili uwe mfano. Pande zote za bongoland tuwe hivi tusiulize majibu tunayo. Very funny kila sehemu!!

--- On Sun, 21/4/13, cyrilkomba@gmail.com <cyrilkomba@gmail.com> wrote:

From: cyrilkomba@gmail.com <cyrilkomba@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "buberwajackob2012@yahoo.com" <buberwajackob2012@yahoo.com>, "Buberwa Jackob" <buberwajackob@yahoo.com>, buberwajackob@yahoo.com
Date: Sunday, 21 April, 2013, 21:25

VERY FUN NA KAMA NI KWELI WEMA ALIPIGA SIMU MCHUMBA WA DIAMOND ASEMEJE....?

VERY STUPID NA KAMA KWELI WEMA ALIPIGA SIMU WHO IS TO BE BLAMMED.... NA KWANINI AMPIGIE SIMU USIKU WA MCHUMBA WA WATU....HOPE THE OPPOSITE WOULD HAVE MADE SENSE KWA KUMTAKA WEMA AACHE KUWADHARILISHA.......!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

You received this message because you are subscribed to a topic in the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this topic, visit https://groups.google.com/d/topic/wanabidii/mF8r56pGlb0/unsubscribe?hl=sw.
To unsubscribe from this group and all its topics, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment