Sent from my HTC smartphone on the Now Network from Sprint!
----- Reply message -----
From: "alexander chipalazya" <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa
Date: Fri, Apr 19, 2013 7:20 AM
From: "alexander chipalazya" <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa
Date: Fri, Apr 19, 2013 7:20 AM
Kiwaila
Tunakoenda bunge litapoteza uhalali. Maana wanaionyesha jamii kua wamesahau kazi iliyowapeleka bungeni (kuisimamia serikali na kutunga sheria). Ninapata mashaka kama mtu asie kua na adabu hata ya kuona aibu ya kutukana kama anaweza kutengeneza sheria yenye maana.
Alexander
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 19, 2013 1:06 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa
Tunakoenda bunge litapoteza uhalali. Maana wanaionyesha jamii kua wamesahau kazi iliyowapeleka bungeni (kuisimamia serikali na kutunga sheria). Ninapata mashaka kama mtu asie kua na adabu hata ya kuona aibu ya kutukana kama anaweza kutengeneza sheria yenye maana.
Alexander
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 19, 2013 1:06 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa
Ukishaona mtu anatumia matusi kama agenda ya kuweka mkazo wa suala alisemalo ujue amekwisha kufirisika kiaadili na kimatendo. Sasa anatafufa kujitangaza jina kupitia matusi. Ukiwasikia baadhi yao daima ni kuomba mwongozo, mwongozo mradi tu kuvuruga majadiliano yasiende. Bado wale ambao hawatumii psycholoji anapozungumza. Kama mheshimiwa aliyechaguliwa-daima anapoongea anapiga kelele na kuongea kwa jazba, mdomo wazi mpana. Kila picha ya gazetini nayo-mdomo wazi huo!! Hivi huwezi kuongea na wakubwa wenzako tena bunguni mpaka upige kelele za jazba, kugonga meza, kunyoosha mikono na vidole mtu mzima wewe? Unaweza ukaongea points kwa busara bila kuzoza na kupiga meza au kuongea hadi sauti kukukauka!! Kuongea kwa busara ukutaka mtu akuelewe sio lazima ubwate? umepitia malezi gani? Misifa tu inatafutwa hapo. Mbunge muadilifu anayewapenda watu wake-atatumia usomi wake na wa wenzake, kuandika maandiko mazuri akatafuta hela za wahisani kupitia hatua husika akasaidia maendeleo kwake ktk jimbo na kijiji chake kiwe cha mfano. Shindana kwa vitendo sio kukesha maktaba kusoma sheria na aina ya miongozo ili upinge to risala na bajeti ya mwenzako uivuruge. Nia ni kuvuruga tu. jua leo unapomshinikiza mwenzako kesho wewe ukishinda utoa huduma kama ulivyoahidi na kumpinga mwenzako. Kama ukitetea sasa ardhi ya Loliondo yote na Serengeti wapewe wafugaji-usije ukageuka utakapochukua madaraka utakapokuja kuona degradation na uhamiaji haramu umejaa na wanyama wamekwisha au wamehamia kwenye maji na makazi salama. Ni hivyo basi utetee waluguru, wasagala, wavidenda, wapogoro wapwe bonde lao la Kilombero linalotambukikana Kimataifa kama bonde uevu la kulindwa (Ramsar Site) na ardhi yote ambayo inalimwa miwa hapo zamani wakilima mtunga sasa hawana ardhi taifa linazalisha sukari. Hata hivyo wamebanwa na National park mbili (mikumi, Udungwa) na misitu ya hifadhi maji hakuna anaye watetea. Tunaona malumbano ambayo wengine hawatetewi bali baadhi. Malumbano ya matusi wasioangalia livelihoods za watu bali nafasi za hao wachache kutaka kuonekana si sasa kuna TV watamuona live!! Dawa ni hao wanaoonyesha utovu wa maadili kuwapiga chini. kupiga chini wanaoshabikia vurugu za maandamano na kuharibu mali za watu na washabikiao Udini. Hili litakuwa fundisho. Tumelalama wengine miaka kuwa-tenganisha cheo cha Minister na shughuli nyingine.Mbunge awe mbunge to sio RC, au Minister au DC. Kuwe na kiwango cha kwenda shule. Tuseme Mbunge masters degree, Minister PhD, Diwani form VI, Mtendaji kata angalau form VI kama sio form 4 aliyefaulu na kupitia kozi za extension work au management. Mbunge na Diwanin wasomi watajua mengi ya community mobilization for Development.hawatoingia katika Cheap pilitics wilayani ktk full Council meetings na Bungeni. watajihusisha na kufanyakazi za`maendeleo na extension teams zao na akiwa bungeni atatendea miradi inayojulikana aliyohusika kuifanikisha pia. hatokaa na kutafuta cheap CBOs/NGOs na mashirika ya nje kutafuta kuleta vurugu nchini au kukaa bungeni na vikao vingine vya wachaguliwa kuanzisha vurugu na vikundi vya upinzani badala ya vya maendeleo kutetea miradi yake isirudi nyuma. Mungu awafumbue macho vipofu ambao wana macho bali hatuoni. Huyo mwenye kuambiwa ana 'mbwa' basi azifunge kamba zisiumize watu-ambao ni wananchi wapiga KURA ambao ndio wapigao KURA ili wengine Wale kisha waweze kubwata hovyo isivyotegemewa na kinyume cha maadili . --- On Thu, 18/4/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
|
0 comments:
Post a Comment