Friday 19 April 2013

Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa

UNAJUA kila mtu ana uzungumzaji wake ila kuna wengine wanafanana kwa jinsi wanavyoongea, hebu tuweke ushabiki pembeni, huwezi kutofautisha uongeaji wa Lissu na Mwigulu   woote ni jaziba tupu, lakini mbona kuna wachangiaji wengine wakali ndani ya CCM lakini wanapochangia bunge huwa tulivu na sikivu mfano, Mh. Ole Sendeka na Mh. Kangi Lugola, hawa ni wachangiaji wenye msimamo mkali lakini bunge hutulia, kwa nini Mwigulu akisimama kuchangia lazima fujo zitimke bungeni nyinyi wenzangu hamlioni tatizo?

2013/4/19 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Kiwaila
Tunakoenda bunge litapoteza uhalali. Maana wanaionyesha jamii kua wamesahau kazi iliyowapeleka bungeni (kuisimamia serikali na kutunga sheria). Ninapata mashaka kama mtu asie kua na adabu hata ya kuona aibu ya kutukana kama anaweza kutengeneza sheria yenye maana.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 19, 2013 1:06 PM

Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa

Ukishaona mtu anatumia matusi kama agenda ya kuweka mkazo wa suala alisemalo ujue amekwisha kufirisika kiaadili na kimatendo. Sasa anatafufa kujitangaza jina kupitia matusi. Ukiwasikia baadhi yao daima ni kuomba mwongozo, mwongozo mradi tu kuvuruga majadiliano yasiende. Bado wale ambao hawatumii psycholoji anapozungumza. Kama mheshimiwa aliyechaguliwa-daima anapoongea anapiga kelele na kuongea kwa jazba, mdomo wazi mpana. Kila picha ya gazetini nayo-mdomo wazi huo!! Hivi huwezi kuongea na wakubwa wenzako tena bunguni mpaka upige kelele za jazba, kugonga meza, kunyoosha mikono na vidole mtu mzima wewe? Unaweza ukaongea points kwa busara bila kuzoza na kupiga meza au kuongea hadi sauti kukukauka!! Kuongea kwa busara ukutaka mtu akuelewe sio lazima ubwate? umepitia malezi gani? Misifa tu inatafutwa hapo.

Mbunge muadilifu anayewapenda watu wake-atatumia usomi wake na wa wenzake, kuandika maandiko mazuri akatafuta hela za wahisani kupitia hatua husika akasaidia maendeleo kwake ktk jimbo na kijiji chake kiwe cha mfano. Shindana kwa vitendo sio kukesha maktaba kusoma sheria na aina ya miongozo ili upinge to risala na bajeti ya mwenzako uivuruge. Nia ni kuvuruga tu. jua leo unapomshinikiza mwenzako kesho wewe ukishinda utoa huduma kama ulivyoahidi na kumpinga mwenzako.

Kama ukitetea sasa ardhi ya Loliondo yote na Serengeti wapewe wafugaji-usije ukageuka utakapochukua madaraka utakapokuja kuona degradation na uhamiaji haramu umejaa na wanyama wamekwisha au wamehamia kwenye maji na makazi salama. Ni hivyo basi utetee waluguru, wasagala, wavidenda, wapogoro wapwe bonde lao la Kilombero linalotambukikana Kimataifa kama  bonde uevu la kulindwa (Ramsar Site) na ardhi yote ambayo inalimwa miwa hapo zamani wakilima mtunga sasa hawana ardhi taifa linazalisha sukari. Hata hivyo wamebanwa na National park mbili (mikumi, Udungwa) na misitu ya hifadhi maji hakuna anaye watetea. Tunaona malumbano ambayo wengine hawatetewi bali baadhi. Malumbano ya matusi wasioangalia livelihoods za watu bali nafasi za hao wachache kutaka kuonekana si sasa kuna TV watamuona live!! Dawa ni hao wanaoonyesha utovu wa maadili kuwapiga chini. kupiga chini wanaoshabikia vurugu za maandamano na kuharibu mali za watu na washabikiao Udini. Hili litakuwa fundisho.

Tumelalama wengine miaka kuwa-tenganisha cheo cha Minister na shughuli nyingine.Mbunge awe mbunge to sio RC, au Minister au DC. Kuwe na kiwango cha kwenda shule. Tuseme Mbunge masters degree, Minister PhD, Diwani form VI, Mtendaji kata angalau form VI kama sio form 4 aliyefaulu na kupitia kozi za extension work au management. Mbunge na Diwanin wasomi watajua mengi ya community mobilization for Development.hawatoingia katika Cheap pilitics wilayani ktk full Council meetings na Bungeni. watajihusisha na kufanyakazi za`maendeleo na extension teams zao na akiwa bungeni atatendea miradi inayojulikana aliyohusika kuifanikisha pia. hatokaa na kutafuta cheap CBOs/NGOs na mashirika ya nje kutafuta kuleta vurugu nchini au kukaa bungeni na vikao vingine vya wachaguliwa kuanzisha vurugu na vikundi vya upinzani badala ya vya maendeleo kutetea miradi yake isirudi nyuma.

Mungu awafumbue macho vipofu ambao wana macho bali hatuoni. Huyo mwenye kuambiwa ana 'mbwa' basi azifunge kamba zisiumize watu-ambao ni wananchi wapiga KURA ambao ndio wapigao KURA ili wengine Wale kisha waweze kubwata hovyo isivyotegemewa na kinyume cha maadili
.

--- On Thu, 18/4/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia ngumi zimepigwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 18 April, 2013, 14:35

K.E.M.S

Yaani unasema kwa kuwa CHADEMA wanataka kuchukua nchi 2015 basi ndio
lugha ya aina ya Mh Serukamba iko justified kweli kaka? Nimetumia
mfano wa Serukamba kwa kuwa yeye ameenda kwenye extreme. Tungeona
uzito wa ile kauli yake kama ingezungumzwa kwa kiswahili......

Kuna watu wameshaanza kusema kuwa siku hizi kabla ya vipindi vya bunge
kuanza inabidi itolewe ile kwenye "Parental Guidance" kuwa vipindi
hivyo vya bunge ni PG 18

Sitaki mwanangu ajifunze matusi katika umri mdogo alionao!!!!

On 4/18/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> Selemani, nimekusoma.
>
> Lakini nina swali kwako kwa nini matusi haya yasiwe ni matokeo ya watu
> wanataka kutawala 2015 kwa nguvu za damu za wengine ? kama wanavyofanya
> wakijifanya kutosikia kila wanaloambiwa? Ni mtizamo wangu tu binafsi.
> Wanaojiona kuwa wana akili nyingi ni upande wa pili na siyo CCM au mnasahau
> mnayoyasema hapa jukwaani? Akili zote mnazo nyie, elimu yote mnayo nyie,
> mnajua yote, hamtaki kuambiwa lolote, na hivi bado hamjatawala je mkipewa
> nafasi ya kutawala kuna atakayewakosoa kaka?
>
> K.E.M.S.
>
> From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Cc: mabadiliko Tanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Sent: Thursday, 18 April 2013, 4:33
> Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho
> tutasikia ngumi zimepigwa
>
>
>
> Mi nashauri tuwachunguze vizuri labda kuna tatizo sisi hatujaligundua, nina
> wasiwasi inawezekana misokoto ya bangi imehamia Dodoma wanalipuliza before
> entering the mjengo, yaani kuna wabunge mle ndani haiwezekani bwana kuna
> namna! mimi siamini, labda mimi niwaulize wadau kwa mfano sasa hivi
> ukipelekwa mswada wa sheria kupitishwa na bunge hivi hiyo sheria itakuwa
> halali? maana siona kama wale ndo watunga sheria wetu!
>
>    Tatizo linachangiwa na kiti cha spika, kinapwayaa mfano jana mambo
> yalianza kama mzaha nikawa namwangalia naibu spika anachukua hatua ya
> kukemea au la, nikamuona nae yuko upande wa vurugu yeye ndo anachochoe
> mzaha, kweli Ndugai hatoshi,yaani vituko.
>
>
>
>
> 2013/4/18 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>
> Matusi hayo ni matokea ya ulevi wa kukaa madarakani kwa muda mrefu sana.
> Sasa wamefikia hatua wamejawa na kiburi mno, hawajali, hawaogopi na wanajua
> kuwa hawatafanywa kitu. Hakuna wa kuwaadabisha. Hakuna wa kuwawajibissha.
> Wamefikia hatua wanajiona kuwa wao wana akili nyingi sana kuliko mtu yoyote.
> Wanayoyasema wao ni sahihi na wengine ni wajinga na wanayosema si sahihi. Ni
> hatua ya juu ya kiburi na dharau. Hawawezi kujirekebisha. Njia pekee ya
> kuwafanya wajirekebisha ni 2015 wawe chama kikuu cha upinzani. Kwa wanaojua
> watakumbuka chama cha Conservative cha Wingereza wakati wa marehemu Margret
> Thatcher, nao walifika huko mpaka wakaitwa a nasty party. Kuna namna moja tu
> ya kuisaidia CCM ijirekebishe nayo ni kukifanya kiwe chama cha Upinzani.
> Nina hakika baada ya hapo kitakuwa chama kizuri.
>>
>>Selemani
>>
>>
>>> Date: Thu, 18 Apr 2013 10:50:41 +0000
>>> Subject: Re: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> ngumi zimepigwa
>>> From: nichoulula@gmail.com
>>> To: va_ntetema5@yahoo.co.uk; mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> We weh weh thubutu kumfungia uone, tutakuita ukumbi wa chimwaga tena uje
>>> na kadi yetu ya sisi mh tukunyang'anye huko huko. (mkubwa haambiwi
>>> kajamba.)
>>>
>>>
>>> N.ulula
>>>
>>> ----------
>>> Sent from my Nokia Phone
>>>
>>> ------Original message------
>>> From: <va_ntetema5@yahoo.co.uk>
>>> To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> Date: Thursday, April 18, 2013 10:42:19 AM GMT+0000
>>> Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> ngumi zimepigwa
>>>
>>> Tuandike barua kupinga matusi bungeni na hasa tusi hilo na tulitafsiri
>>> kwenye barua yetu na tumshinikize Spika kumwajibisha mtukanaji. Msamaha
>>> wake hautoshi. Sijawahi kuona wala kusikia kauli chafu za aina hiyo
>>> katika mabunge mengine duniani hata wanaporushiana makonde katika uhai
>>> wangu. Huyu Mbunge bingwa wa kutukana kwa Kiingereza matusi ya nguoni
>>> asirudi tena bungeni hadi uchaguzi ujao na afunguliwe mashtaka ya jinai.
>>> Kutukana hadharani ni kosa la jinai. Wanasheria mtutafutie sheria namba
>>> gani!
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: hamisi kilimba <matyois@yahoo.co.uk>
>>> Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Date: Wed, 17 Apr 2013 18:58:12
>>> To:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> Reply-To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> ngumi zimepigwa
>>>
>>> Hivi pale hamna kamusi ya kiingera na tafsiri nyake kiswhili.
>>> Shule hizi banaa..... wanajifanya hawakusikia FUCK YOU au maana yake
>>> hawajui
>>>
>>> From: Lukelo F.Mkami <mwipopo@gmail.com>
>>> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Sent: Wednesday, 17 April 2013, 20:40
>>> Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> ngumi zimepigwa
>>>
>>> maana ya kiswahili watu wanaomba muongozo ila ya kiingereza watu
>>> wanajiachia tu si umesikia FUCK U  then naibu spika akawaambia wabunge
>>> watulie ikiwa na maana tusi lilikuwa halijasikika vizuri
>>>
>>> 2013/4/17 <rweyah@gmail.com>
>>> @ Mkami, kama hivyo na matusi ya kiarabu na kisomali yaruhusiwe tu
>>> bungeni.
>>> >Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>> >From: "Lukelo F.Mkami" <mwipopo@gmail.com>
>>> >Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >Date: Wed, 17 Apr 2013 20:19:40 +0300
>>> >To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> >ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> > ngumi zimepigwa
>>> >
>>> >
>>> >Matusi ya kiingereza ni ruksa
>>> >
>>> >2013/4/17 Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com>
>>> >Rage amesema kwa mara ya kwanza kaona nguvu ya waziri mkuu, yaani tangu
>>> > uteuzi wake hadi leo, hahahahahahaaaaa. Hii ni compliment kweli..?
>>> > Kabla ya kuanza hoja zake za "msingi" amesema kile kineno "bashraf" ama
>>> > ? naomba anaejua maana yake aiweke hewani, kuna mtu aliwahi kunidokeza
>>> > kuwa kina husiana na taarabu...
>>> >>2013/4/17 Theopista Jacob <theopistamasenge@gmail.com>
>>> >>Sasa hapa ndio unaona wazi kiti kiMepwaya. Jana makinda kasema mtu
>>> >> akitukana atatolewa na askari katukana serukamba tena tusi nene
>>> >> hakutolewa, sasa huyu kaomba miongozo katukana ? Tujiulize!!!UDHAIFU
>>> >>>Dr.Theopista MasengePaediatrician
>>> >>>Baylor College of Medicine
>>> >>>From: "Lukelo F.Mkami" <mwipopo@gmail.com>
>>> >>>Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>Date: Wed, 17 Apr 2013 19:35:39 +0300
>>> >>>To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> >>>ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> >>> ngumi zimepigwa
>>> >>>
>>> >>>
>>> >>>Huyu sasa  inabidi arudi akainusuru timu yake ya simba isishuke daraja
>>> >>> hakuna cha maana anachoongea  sasa anaongea  mwehu nchemba anaropoka
>>> >>> aisee sijawahi kuona
>>> >>>
>>> >>>On Wed, Apr 17, 2013 at 7:31 PM, Theopista Jacob
>>> >>> <theopistamasenge@gmail.com> wrote:
>>> >>>Ahaaaaa! Kamaliza kuponda sasa anadai jimboni kwake kuna matatizo
>>> >>> kibao, ooooooh takukuru ina matatizo akati alishasema srkal yake
>>> >>> inafanya kila kitu 100 kwa mia.
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>Dr.Theopista MasengePaediatrician
>>> >>>>Baylor College of Medicine
>>> >>>>From: albanie marcossy <marcossy@yahoo.com>
>>> >>>>Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>Date: Wed, 17 Apr 2013 09:28:38 -0700 (PDT)
>>> >>>>To:
>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> >>>>ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> >>>> ngumi zimepigwa
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>Zamu ya Sharobaro mwenye mADENI ya mahaRAGE (ADEN RAGE): anasema
>>> >>>> "Mmebugimeeeennnn!!!!
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>From: joseph lyimo <gogobichi@yahoo.com>
>>> >>>>To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>Sent: Wednesday, April 17, 2013 7:03 PM
>>> >>>>Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> >>>> ngumi zimepigwa
>>> >>>>
>>> >>>>Bunge hili mara Serukamba anasema Fu**k you
>>> >>>>
>>> >>>>--- On Wed, 4/17/13, Patty <magubira@gmail.com> wrote:
>>> >>>>
>>> >>>>
>>> >>>>>From: Patty <magubira@gmail.com>
>>> >>>>>Subject: Re: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> >>>>> ngumi zimepigwa
>>> >>>>>To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>>Date: Wednesday, April 17, 2013, 7:46 AM
>>> >>>>>
>>> >>>>>
>>> >>>>>Kwa hiyo matusi mjengoni ruksa ili mradi tu baadaye uombe msamaha!
>>> >>>>>On 17 April 2013 17:41, paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>> >>>>> wrote:
>>> >>>>>Ishu ni kwamba atakuwa alishauriwa kufanya hivyo badala ya
>>> >>>>> kuchukuliwa hatua kadiri ya kanuni za bunge
>>> >>>>>>2013/4/17 Theopista Jacob <theopistamasenge@gmail.com>
>>> >>>>>>Saa hizi kaomba samahani
>>> >>>>>>>Dr.Theopista Masenge
>>> >>>>>>>Paediatrician
>>> >>>>>>>Baylor College of Medicine
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>-----Original Message-----
>>> >>>>>>>From: "Lukelo F.Mkami" <mwipopo@gmail.com>
>>> >>>>>>>Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>>>>Date: Wed, 17 Apr 2013 16:33:23
>>> >>>>>>>To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> >>>>>>>Reply-To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>>>>Subject: [Mabadiliko] Haya matusi sasa too much, Kesho tutasikia
>>> >>>>>>> ngumi zimepigwa
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>http://www.hulkshare.com/jdfnml6cqr5s
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>--
>>> >>>>>>>*Lukelo Felix  Mkami Mwipopo
>>> >>>>>>>Web Master,Graphics Designer,DBMS,Network Technician,Computer
>>> >>>>>>> Programmer
>>> >>>>>>>+255 655 227507,+255 766 974242
>>> >>>>>>>www.dudumizi.com
>>> >>>>>>>*
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>--
>>> >>>>>>>Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >>>>>>> 'Mabadiliko'.
>>> >>>>>>>Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>> >>>>>>>Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>TEMBELEA Facebook yetu:
>>> >>>>>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>For more options, visit this group at:
>>> >>>>>>>http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>> >>>>>>>
>>> >>>>>>>---
>>> >>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>> >>>>>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.
>>> >>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>> >>>>>>> send an email to
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> >>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>> >>>>>>>-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >>>>>>> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email ya
>>> >>>>>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> >>>>>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more
>>> >>>>>>> options, visit this group
>>> >>>>>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> >>>>>>> You received this message because you are subscribed to the
>>> >>>>>>> Google Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this
>>> >>>>>>> group and stop receiving emails from it, send an email to
>>> >>>>>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.For more options,
>>> >>>>>>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  -- Sincerely
>>> >>>>>>> Patty,Cell: +255 713 474 155        +255 767 474
>>> >>>>>>> 155E-mail:magubira@gmail.com,          pmagubira@aol.com--
>>> >>>>>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email ya
>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> visit this group
>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en --- You
>>> received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and stop
>>> receiving emails from it, send an email to
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.   -- Unapokea
>>> Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.Kuchangia mada
>>> tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma
>>> Email kwenda;
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email
>>> ya
>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> visit this group
>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en --- You
>>> received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and stop
>>> receiving emails from it, send an email to
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>> >>>>-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >>>> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> >>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea
>>> >>>> Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> >>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more
>>> >>>> options, visit this group
>>> >>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> >>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> >>>> Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and
>>> >>>> stop receiving emails from it, send an email to
>>> >>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> >>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  --
>>> >>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >>>> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email ya
>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> visit this group
>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en --- You
>>> received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and stop
>>> receiving emails from it, send an email to
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  -- *Lukelo
>>> Felix  Mkami MwipopoWeb Master,Graphics Designer,DBMS,Network
>>> Technician,Computer Programmer+255 655 227507,+255 766
>>> 974242http://www.dudumizi.com/*-- Unapokea Email hizi kwa sababu
>>> umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email ya
>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> visit this group
>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en --- You
>>> received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and stop
>>> receiving emails from it, send an email to
>>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>> >>>-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >>> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> >>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea
>>> >>> Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> >>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more
>>> >>> options, visit this group
>>> >>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> >>> Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and
>>> >>> stop receiving emails from it, send an email to
>>> >>> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> >>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  --
>>> >>
>>> >>___________________________________________
>>> >>Executive Director
>>> >>Actions For Democracy and Local Governance (ADLG)
>>> >>P.O.Box 1631
>>> >>Mwanza
>>> >>Tanzania
>>> >>Cell: +255 754 388 882
>>> >>-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> >> 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> >> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> >> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email
>>> >> ya kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> >> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> >> visit this group
>>> >> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> >> Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and
>>> >> stop receiving emails from it, send an email to
>>> >> mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> >> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  --
>>> >*Lukelo Felix Mkami Mwipopo(Online Journalism Facilitator,Web Master,
>>> >Graphics Designer,DBMS,Network Technician,Computer Programmer)+255 655
>>> > 227507,+255 766 974242
>>> >lmkami@dudumizi.com
>>> >
>>> >http://www.dudumizi.com/*-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na
>>> > Jukwaa la 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> > mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> > mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email
>>> > ya kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> > yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> > visit this group
>>> > at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>> > Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and
>>> > stop receiving emails from it, send an email to
>>> > mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> > options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>> >-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>>> > 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> > mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> > mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email
>>> > ya kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> > yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> > visit this group
>>> > at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en ---
>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>> > Groups "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and
>>> > stop receiving emails from it, send an email to
>>> > mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more
>>> > options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  --
>>> *Lukelo Felix Mkami Mwipopo
>>> (Online Journalism Facilitator,Web Master,
>>> Graphics Designer,DBMS,Network Technician,Computer Programmer)
>>> +255 655 227507,+255 766 974242
>>> lmkami@dudumizi.com
>>>
>>> http://www.dudumizi.com/*-- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na
>>> Jukwaa la 'Mabadiliko'.Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.comUtapokea Email ya
>>> kudhibitisha kujiondoa kwako.  TEMBELEA Facebook
>>> yetu:http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl For more options,
>>> visit this group
>>> at:http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en --- You
>>> received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.To unsubscribe from this group and stop
>>> receiving emails from it, send an email to
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit
>>> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>
>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>
>>> For more options, visit this group at:
>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Wasalaam,

Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.

*" Low aim, not failure, is a crime"*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment