Wednesday 3 April 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania dispute to court

Jamani huyu mama si mjinga na anajua anachofanya. Tanzania ya leo si
ya wakati wa Mwalimu. Leo Tanzania imejaa viongozi corrupt walanguzi.
Leo Tanzania washirikiana na walanguzi wa mataifa mengine hata kupeana
majina barabara. Haya yote hayangetokea chini ya utawala wa Mwalimu.
Kwa hivyo Mama kiongozi wa Malawi ajua Tanzania ya leo sio ya Mwalimu.
Ajua pia Tanzania ya leo ni corrupt and corrupt nation can't fight.
Nini dawa? Badilisha CCM.

On 4/3/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
> Lakini pia kwenye mediation, inashauriwa parties to the mediation kuona
> kama wanakubali kusuluhishwa na huyo mediator. Binafsi, naona ana haki ya
> kukubali au kukataa kusuluhishwa katika level hii; na hii si sawa na kusema
> amekataa suluhu. Binafsi, nina imani jambo hili tutalimaliza vizuri tu na
> kama linachukua muda maana yake ni kutaka kuonesha kuwa tunatumia fursa
> zilizopo kwa mapana na marefu yake. Tusikate tamaa. Kuna theory kwamba
> "when two parties (persons) decide to do something, only one party (person)
> is doing the thinking."
>
>
> On Wed, Apr 3, 2013 at 2:17 PM, Pius Makomelelo
> <makomelelopius@yahoo.co.uk>wrote:
>
>> Huyu mama asitufanye mapozeo kwa upinzani alionao ndani. Wtz hatuhitaji
>> kupoteza muda wetu kufikilia Malawi! Ikibidi misimamo kama iliyotolewa na
>> Sitta, Lowassa, na Membe itoke pia kwa kiongozi wetu mkuu. Huyu mama
>> tayari
>> keshaonyesha msimamo wake, kwanini tuonekane wanyonge kwake!!. Yaonekana
>> tumemlea sana mpaka kapata kiburi!!
>> ------------------------------
>> *From:* "makubi55@gmail.com" <makubi55@gmail.com>
>> *To:* mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> *Cc:* "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Tuesday, 2 April 2013, 22:56
>> *Subject:* Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania
>> dispute to court
>>
>> Tumchape kabla ya hata kwenda mahakamani. Tukishatinga Lilongwe
>> tunamtimua na kuwaweka wapinzani madarakani
>>
>> Sent from my HTC
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Lemburis Kivuyo" <lembu.kivuyo@gmail.com>
>> To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania dispute
>> to court
>> Date: Tue, Apr 2, 2013 9:55 pm
>>
>>
>> Achekiwe akili kama sio yeye kwao kuna mwenye tatizo la akili
>>
>>
>> ______________________________________________
>> Real Change for Real Development,
>>
>> Lemburis Kivuyo
>> +255654650100/078 7665050/0755646470
>> Website: www.kivuyo.com,
>> Facebook: *https://www.facebook.com/ujasiriamali*
>> Titter: http://twitter.com/lembu1,
>> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo,
>> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>>
>>
>> On 2 April 2013 21:50, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
>>
>> Makene,
>> Si lazima iwe hivyo. Huenda ameuliza na wakamwambia amua utakavyo,
>> kama yule balozi wa Marekani mjini Baghdad wakati ule Saddam alipoamua
>> kuivamia Kuwait. Naye aliulizwa akasema, fanyeni mtakavyo halafu Saddam
>> akaivamia Kuwait. Huenda mama kauliza jamaa wakanyamaza, au wakasema
>> fanya
>> utakavyo, au wakasema kama unatafuta haki mahakamani, sawa, sisi hatuwezi
>> kuwaingilieni. Nahisi alitaka kuwa na uhakika kwamba Marekani haina
>> kimbelembele cha kuitetea Tanzania, jibu ambalo ni gumu kupatikana
>> kidiplomasia kwa kuwa hii vita haina maslahi kwa Marekani. Ila kama kweli
>> hawa "marafiki" zetu wangekuwa ni marafiki zetu, basi wangemwambia
>> usithubutu.
>>
>> Nimehojiwa leo na Radio France International, idhaa ya Kiingereza, na
>> mwisho jamaa akaniambia, una lolote la nyongeza; nikawaambia Wamalawi
>> jambo
>> moja: "Be logical" na nikatoa mfano wa kale kaziwa kadogo tulikogawana na
>> Kenya wakati mkataba ulisema kaziwa kote ni ketu, lakini tuliamua kuwa
>> logical... and realistic.
>>
>> Uzuri mmoja ni kwamba maamuzi ya Mahakama ya Haki ya Kimataifa huja kama
>> maoni ya kisheria, kwa hiyo hakuna polisi wa kutulazimisha kuyafuata,
>> labda
>> taifa moja kubwa litutake ubaya tu.
>>
>> Nadhani mwisho wa siku itakuwa kichapo kwa Malawi.
>>
>> Matinyi.
>>
>> ------------------------------
>> CC: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> From: makene_84@yahoo.com
>> Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania dispute
>> to court
>> Date: Tue, 2 Apr 2013 20:08:53 +0300
>> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>>
>> Chief Matinyi
>>
>> Kama nimekuelewa vyema, maana yake ni kwamba katika ziara yake hiyo,
>> suala
>> hilo limejadiliwa na akapata maoni ya hao wakubwa wa dunia yanasemaje,
>> then
>> akatoka na msimamo wake mpya...
>>
>> Tumaini Makene
>> CHADEMA Senior Information(Press) Officer
>> 0752 691569/ 0688 595831
>>
>> Sent from my iPad
>>
>> On Apr 2, 2013, at 7:13 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
>>
>> Baada ya Joyce Banda kuvinjari Washington DC, amepata nguvu sasa.
>> Je, "marafiki" zetu wanatukwepa kwenye hili?
>> Urafiki huo..........................................
>> Nyerere alisema: "Wewe Tanzania, .... huwezi kuwa rafiki na taifa kubwa;
>> hawana marafiki hawa, wana maslahi tu. Ni lazima utakuwa urafiki wa ajabu
>> ajabu hivi."
>> Alikuwa akimwambia mwanadiplomasia mmoja ambaye sasa ni waziri mwandamizi
>> huko Darisalama.
>> Matinyi.
>>
>>
>> Aljazeera reporting: Malawi to take Tanzania dispute to court
>> Malawi President Joyce Banda says her country is giving up on mediation
>> efforts in the long running border dispute.
>> Last Modified: 02 Apr 2013 05:36
>> [image: Listen to this page using ReadSpeaker]
>> [image: Email Article]
>> Email
>> [image: Print Article]
>> Print
>> [image: Share article]
>> Share
>> [image: Send Feedback]
>> Feedback
>> *Banda, left, announced decision to go the court after returning
>> from visits to the US and Britain [EPA]*
>>
>> President Joyce Banda has said that Malawi was giving up on mediation
>> efforts and would take to the courts to
>> settle a long dormant border dispute with Tanzania which has been
>> re-activated by prospects of an oil find.
>> "Our view is that we should eventually go to court. We should not waste
>> time on this (mediation)," Banda told reporters in Lilongwe on Monday
>> after
>> returning from visits to the US and Britain.
>> She said the mediation bid left to Mozambique's ex-president Joachim
>> Chissano in his capacity as head of a forum of retired leaders from the
>> regional bloc SADC, was "compromised because information submitted by
>> Malawi was leaked to Tanzania".
>> She accused the executive secretary of the forum, John Tesha, a Tanzanian
>> national, for leaking some vital information to his home country.
>> "After surrendering our documents, we were told that they were leaked to
>> Tanzania before the Tanzanians surrendered theirs," Banda said.
>> "We feel everything is compromised," she said. In December Banda said the
>> dispute had dragged for too long and she was considering taking it to the
>> International Court of Justice for arbitration.
>> At stake is a largely undeveloped swathe of the lake where Malawi has
>> awarded a licence to British firm Surestream to explore for oil in the
>> north-eastern waters near Tanzania.
>> Malawi claims ownership of the entire lake under an 1890 agreement, while
>> Tanzania disputes this validity, insisting part of the lake falls within
>> its borders. Talks in the past ended in a deadlock.
>> http://www.aljazeera.com/news/africa/2013/04/20134245745849226.html
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment