Tuesday 2 April 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania dispute to court

Achekiwe akili kama sio yeye kwao kuna mwenye tatizo la akili

______________________________________________
Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  
Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo

On 2 April 2013 21:50, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
Makene,
Si lazima iwe hivyo. Huenda ameuliza na wakamwambia amua utakavyo, kama yule balozi wa Marekani mjini Baghdad wakati ule Saddam alipoamua kuivamia Kuwait. Naye aliulizwa akasema, fanyeni mtakavyo halafu Saddam akaivamia Kuwait. Huenda mama kauliza jamaa wakanyamaza, au wakasema fanya utakavyo, au wakasema kama unatafuta haki mahakamani, sawa, sisi hatuwezi kuwaingilieni. Nahisi alitaka kuwa na uhakika kwamba Marekani haina kimbelembele cha kuitetea Tanzania, jibu ambalo ni gumu kupatikana kidiplomasia kwa kuwa hii vita haina maslahi kwa Marekani. Ila kama kweli hawa "marafiki" zetu wangekuwa ni marafiki zetu, basi wangemwambia usithubutu.
 
Nimehojiwa leo na Radio France International, idhaa ya Kiingereza, na mwisho jamaa akaniambia, una lolote la nyongeza; nikawaambia Wamalawi jambo moja: "Be logical" na nikatoa mfano wa kale kaziwa kadogo tulikogawana na Kenya wakati mkataba ulisema kaziwa kote ni ketu, lakini tuliamua kuwa logical... and realistic.
 
Uzuri mmoja ni kwamba maamuzi ya Mahakama ya Haki ya Kimataifa huja kama maoni ya kisheria, kwa hiyo hakuna polisi wa kutulazimisha kuyafuata, labda taifa moja kubwa litutake ubaya tu.
 
Nadhani mwisho wa siku itakuwa kichapo kwa Malawi.
 
Matinyi.
 
CC: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
From: makene_84@yahoo.com
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] FW: Malawi to take Tanzania dispute to court
Date: Tue, 2 Apr 2013 20:08:53 +0300
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Chief Matinyi

Kama nimekuelewa vyema, maana yake ni kwamba katika ziara yake hiyo, suala hilo limejadiliwa na akapata maoni ya hao wakubwa wa dunia yanasemaje, then akatoka na msimamo wake mpya...

Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831

Sent from my iPad

On Apr 2, 2013, at 7:13 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

Baada ya Joyce Banda kuvinjari Washington DC, amepata nguvu sasa.
Je, "marafiki" zetu wanatukwepa kwenye hili?
Urafiki huo..........................................
Nyerere alisema: "Wewe Tanzania, .... huwezi kuwa rafiki na taifa kubwa; hawana marafiki hawa, wana maslahi tu. Ni lazima utakuwa urafiki wa ajabu ajabu hivi."
Alikuwa akimwambia mwanadiplomasia mmoja ambaye sasa ni waziri mwandamizi huko Darisalama.
Matinyi.
 
Aljazeera reporting:

Malawi to take Tanzania dispute to court

Malawi President Joyce Banda says her country is giving up on mediation efforts in the long running border dispute.

Last Modified: 02 Apr 2013 05:36
Banda, left, announced decision to go the court after returning from visits to the US and Britain [EPA]
 
President Joyce Banda has said that Malawi was giving up on mediation efforts and would take to the courts to
settle a long dormant border dispute with Tanzania which has been re-activated by prospects of an oil find.

"Our view is that we should eventually go to court. We should not waste time on this (mediation)," Banda told reporters in Lilongwe on Monday after returning from visits to the US and Britain.
She said the mediation bid left to Mozambique's ex-president Joachim Chissano in his capacity as head of a forum of retired leaders from the regional bloc SADC, was "compromised because information submitted by Malawi was leaked to Tanzania".
She accused the executive secretary of the forum, John Tesha, a Tanzanian national, for leaking some vital information to his home country.
"After surrendering our documents, we were told that they were leaked to Tanzania before the Tanzanians surrendered theirs," Banda said.
"We feel everything is compromised," she said. In December Banda said the dispute had dragged for too long and she was considering taking it to the International Court of Justice for arbitration.
At stake is a largely undeveloped swathe of the lake where Malawi has awarded a licence to British firm Surestream to explore for oil in the north-eastern waters near Tanzania.
Malawi claims ownership of the entire lake under an 1890 agreement, while Tanzania disputes this validity, insisting part of the lake falls within its borders. Talks in the past ended in a deadlock.
http://www.aljazeera.com/news/africa/2013/04/20134245745849226.html

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment