Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] Re: KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI

Tuacheni siasa katika mabo ya sheria, kuingilia sheria ndiko
kumetufikisha hapa, huwezi kujenga sheria kwa kuvunja sheria, binafsi
nina mashaka na marando anapokouwa mwanasheria hali ya kuwa anavunja
sheria, tusishabikie kila ktu kwa kuwa kinahusiana na chama chako
Tutaharibu nchi hata kama chama ukuitakacho kitachukua nchi
hakitafanikiwa kuleta maendeleo tuyatakao ikiwa tutakuwa tunavunja
sheria kiholela holela tu na kushutumiana pasipo ushahidi.

On 4/18/13, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
> Dereva anawapiga debe wasio na masikio wala macho. Naamini kama hatuta amua
> sasa tutamua kwa machunngu makali sana.
> Rwanda watawala walifanya hivi kwa kipindi cha miaka 30, lakini mwisho wa
> yote, watawala waliomba huruma ya dunia.
> Tutakamua hata mavumbi yao kuitafuta haki, kuanzia ya anayekufa kwa
> kujifungua, anayepigwa mabomu ya machozi tumboni na hata anayeng'olewa jino
> bila ganzi.
>
> --- On Thu, 4/18/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
>
> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI
> KOSA LA JINAI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, April 18, 2013, 3:42 AM
>
> Lukas.
> Nimekuelewa. lakini ngoja niseme hivi:
> Unapoona watu ambao ki mgawanyo wa wajibu ni wazalishaji au wafanyakazi
> sehemu fulani wanalazimika kuanza kujilinda (kama ambavyo mambo yanaonekana)
> maana yake kunaombwe la wajibu mahala fulani.
> Lakini sasa unapoona myanya ya kujilinda inaanza kuzibwa kwa kutumia sheria
> zilizoandaliwa na walinzi unachanganyikiwa. Passport ni hati iliyoandikwa
> Rais akikuombea ulinzi huko uendako. Anapoanza kushindwa kukulinda!
> Yapo matukio hapa nchini yatatutia woga sisi raia wema.
> Ro Ulimboka alitaja waliomtesa hawajashughulikiwa. Mwanahalisi
> aliyeyafuatilia akafungiwa.
> Mwangozi mauaji yake mwanzoni walianza kusingizia Chama cha Siasa. Picha
> zikaja na ushaidi wa wazi. Walioamrisha mauaji yake wako huru.
> matukio ya sasa ya kuumizwa Kibamba, kukamatwa waliokamatwa na juhudi za
> kuwatetea na majibu ya serikali yanaonyesha mnyukani kati ya wenye wajibu
> kutoa ulinzi na wanaoona ulinzi haupo.
> Ukiangalia yanayoendelea bungeniunatamani heri wangekuwa hawayaonyeshi
> hadharani. Watu hawa wangeendelea kuitwa waheshimiwa.
> Mchanganyo wa haya yote unatutia mashaka kuw bila kubadilisha dereva basi
> hili 'Tanzania' litatumbukia mtoni si mbali
>
> --- On Thu, 4/18/13, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
>
>
> From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI
> KOSA LA JINAI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, April 18, 2013, 3:28 AM
>
>
>
>
>
>
> Mimi naamini kuwa, tumepewa nguvu na maamuzi ya kuamua pale unapozidiwa
> nguvu na hakuna sheria ya nchi inayoweza kukutetea, amua kufa na ......
>
> --- On Thu, 4/18/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
>
>
> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI
> KOSA LA JINAI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, April 18, 2013, 3:08 AM
>
>
>
>
>
>
>
> Ipo haja kabisa kuwa na mstari kwenye kabiba unaojibu mtu afanyeje anapoona
> vyombo vinavyostahili kumlinda vinatumia myanya ya sheria kumhujumu. Kama
> kuna njia au ufumbuzi naomba nielezwe. Hii ndiyo imeleteleza wanachi
> kuchukua sheria mkononi nakadhalika.
> Kwa kweli bila majibu ya wazi na ya haki katika hili Yona tunaomba elimu
> zaidi.
>
> --- On Thu, 4/18/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
>
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Re: KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA
> LA JINAI
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, April 18, 2013, 1:32 AM
>
>
> Ndugu JOHN
>
> Hata pale polisi au chombo chochote cha usalama kikipata mawasiliano
> hayo kwa njia za ujasusi au yoyote ile katika idara zake kunakuwa na
> mawasiliano ya kimaandishi na kisheria kati ya watoa huduma za
> mawasiliano na chombo hicho kama ni jeshi la polisi , usalama wa taifa
> au vikundi vingine vya kiusalama ambavyo majina yake hayajulikani .
>
> Nakuhakikishia hapa hakuna mawasiliano yanayohitajika na chombo
> chochote cha usalama bila mwanasheria wa kampuni fulani ya simu kujua
> tena kwa maandishi tena mara nyingi mpaka akubali .
>
> Nasisitiza tuheshimu uhuru wa watu kuwasiliana na kutumia vifaa vya
> mawasiliano kwa maendeleo zaidi na kama kuna chochote taarifa peleka
> kwa vyombo husika vitashugulikia hilo tena kama ukiwapa ushirikiano
> mpaka mwisho .
>
> On Apr 18, 11:05 am, isack mchungu <isackmn1...@gmail.com> wrote:
>> HENRY JOHN,
>>
>> Mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu kaka.....imewagusa si unaona
>> hata
>> humu kuko kimya!!..
>>
>> 2013/4/18 Henry John <mwakig...@yahoo.com>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Ni kweli mawasiliano ya mtu na mtu ni siri lakini kama siri yenu hiyo
>> > ni
>> > ya kupanga mipango ya kijambazi ili mkabomoe sehemu fulani basi nadhani
>> > yeyete anayweza kuyanasa mawasiliano hayo hana sababu ya kusubili
>> > ruhusa
>> > ila ni kuyatoa ili vyombo husika ndo vifuatilie kama kuna ukweli.
>>
>> > Hizo habari wangekuwa wametoa polisi kuwa wamekamata mawasiliano kwa
>> > njia
>> > za kijasusi na kiintelijensia nadhani kusingekuwa na maneno ya kusema
>> >
> kuingilia mawasiliano.
>>
>> > Napita tu
>>
>> > *With regards*
>> > *Mwakigali John*
>>
>> >   ------------------------------
>> >  *From:* Emmanuel Muganda <emuga...@gmail.com>
>> > *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> > *Sent:* Tuesday, 16 April 2013, 19:57
>> > *Subject:* Re: [wanabidii] KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI
>> > NI
>> > KOSA LA JINAI
>>
>> > Jovias,
>> > Technologia imeshafanya usiri wa mawasiliano uwe obsolete. Hamna
>> > privacy
>> > tena.
>> > em
>>
>> > 2013/4/16 Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
>>
>> > Ndugu wanabidii bila kuweka ushabiki wa itikadi za vyama vya kisiasa
>> > kiukweli mawasiliano ni siri na inatakiwa kuwa hivyo hata hivyo
>> > kumekuwa na haka kamchezo ka mawasiliano kunaswa hasa kwa wale wakware
>> > wenye ndoa au wachumba hata wapenzi. Inawezekena wengine hapa
>> > tumeguswa na tatizo hilo moja kwa moja au kwa namna nyingine. Nafahamu
>> > ndoa moja iliyovunjika na namfahamu kijana alieishi maisha ya hatari
>> > kisa katembea na nyumba ndogo ya kigogo. Ukosefu wa umakini na ulegevu
>> > wa vyombo vyetu vya kutunga,kutekeleza na kusimamia sheria ndo
>> > chimbuko hasa la haya yote. Wapo watu wamepoteza maisha mpaka sasa.
>> > Kuhusu tamko lililotolewa na CHADEMA iko wazi ukisoma maelezo ya mtoa
>> > tamko mwanzo amejieleza ni nani na amefanya nini na nini uzoefu wake.
>> > It is inside job
> sa hapa hatuna haja ya kuongeza wala kupunguza. Kwa
>> > mwananchi wa kawaida na kutokana na maumivu tulionayo tunafurahia ila
>> > kwa mtu makini ataona hatari kubwa iliyopo mbele yetu kitaifa. Kama
>> > usalama wanafanya nje ya kazi yao ni hatari
>>
>> > On 4/16/13, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>> > > *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
>>
>> > > *YAH: KUTOA TAARIFA ZA SIRI KATIKA MAWASILIANO*
>>
>> > > *YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI*
>>
>> > > Jana na leo, Serikali imeona kuzuka kwa tabia ya uvunjaji wa kanuni
>> > > ya
>> > > utunzaji wa siri za taarifa za mawasiliano binafsi ya watumiaji wa
>> > > huduma
>> > > za simu za mkononi. Taarifa hizo zimefikia hatua ya kuchapishwa
>> > > katika
>> > > vyombo vya habari kwa kutaja
> bila idhini yao, namba za simu, wahusika wa
>> > > namba hizo, maongezi na muda wa mawasiliano Kati yao. Jambo hili ni
>> > > Kosa
>> > la
>> > > Jinai. Mfano; tamko la Chadema lililotolewa na Ndugu Mabare Marando
>> > > Mjini
>> > > Dar es Salaam tarehe 14/04/2013.
>>
>> > > Serekali inapenda kuchukua fursa hii kuwakumbusha wenye makampuni ya
>> > Simu,
>> > > Vyombo vya Habari na wananchi kwa ujumla kuwa, kutoa taarifa za
>> > mawasiliano
>> > > binafsi ya simu baina ya watumiaji wa huduma hiyo, ni uvunjaji wa
>> > > Sheria
>> > ya
>> > > Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Na. 3 ya mwaka 2010 na Kanuni
>> > > za
>> > > Mawasiliano (Kulinda Wateja) za mwaka 2005.
>>
>> > > Kifungu cha 98 ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta
>> > kinasema;
>>
>> > > "Mtu yeyote ambaye ni mfanyakazi wa kampuni yenye
> leseni ya kutoa huduma
>> > za
>> > > mawasiliano, au mwakilishi wake, ana wajibu wa kutunza siri za
>> > mawasiliano
>> > > binafsi na taarifa zozote za siri za wateja kwa mujibu wa sheria
>> > > hii".
>> > > Aidha, "Mtu yeyote haruhusiwi kutoa taarifa binafsi za mteja yeyote
>> > > alizopokea au kusikia kwa mujibu wa sheria hii isipokuwa tu mtu huyo
>> > > ameruhusiwa kwa mujibu wa sheria"
>>
>> > > Kanuni ya 12 ya Kanuni za Mawasiliano za mwaka 2005 za Tanzania
>> > > (Kulinda
>> > > Wateja) inasema:-
>>
>> > > "Mtoa huduma za Mawasiliano haruhusiwa kuingilia kati, kusikiliza au
>> > kutoa
>> > > taarifa zozote za mazungumzo ya mteja yeyote yaliyopitia kwenye
>> > > mtandao
>> > wa
>> > > mtoa huduma, isipokuwa kwa ruhusa kulingana na mahitaji maalumu kwa
>> > mujibu
>> > > wa sheria
> zilizopo"
>>
>> > > Hivyo basi wananchi wanapewa tahadhari kuhusu kutafuta au kutaka
>> > > kupata
>> > > taarifa za mawasiliano ya siri kutoka kwa watoa huduma na kuzitumia
>> > taarifa
>> > > hizo binafsi za mawasiliano pasipo kufuata utaratibu ulioruhusiwa
>> > kisheria.
>>
>> > > Aidha Serikali inapenda kuwatoa wananchi hofu kuwa Mawasiliano yao
>> > > (maudhui) hayapaswi kuingiliwa kwa kusikilizwa mazungumzo yao au
>> > > kusomwa
>> > > meseji zao katika mitandao ya simu. Serikali Kwa kutumia vyombo vyake
>> > > vya
>> > > usalama inawahakikishia wananchi kuwa haki zao za faragha katika
>> > > mawasiliano zinalindwa Kwa Mujibu Wa Sheria Na. 3 ya Mawasiliano ya
>> > > Kielektroniki na Posta ya mwaka 2010 pamoja Na Kanuni zake.
>>
>> > > Kwa taarifa ambazo zimechapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari
>> > > hivi
>> > >
> karibuni, Mamlaka ya Mawasiliano pamoja na taasisi nyingine husika kwa
>> > > mujibu wa Sheria ya EPOCA pamoja na Kanuni zake, wanaelekezwa kufanya
>> > > uchunguzi wa uvunjwaji huo wa sheria na Mamlaka husika zichukue hatua
>> > > za
>> > > kisheria kwa yeyote atakayebainika kuvunja sheria hiyo.
>>
>> > > Serikali inayakumbusha Makampuni ya simu, Vyombo vya Habari na
>> > > wananchi
>> > kwa
>> > > ujumla kuhakikisha siri za mazungumzo binafsi ya wateja zinahifadhiwa
>> > > na
>> > > hazitolewi kwa yeyote isipokuwa kwa mujibu wa sheria.
>>
>> > > Imetolewa na Idara ya Habari Maelezo
>> > > 16 April 2013
>>
>> > > --
>> > >www.wejobs.blogspot.comJobs in Africa
>> > >www.jobsunited.blogspot.comInternational Job Opportunities
>> > >www.naombakazi.blogspot.com
>>
>> > > --
>> > > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > > ukishatuma
>>
>> > > Disclaimer:
>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > > must
>> > be
>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > > ---
>> > > You received this message because you are subscribed to
> the Google Groups
>> > > "Wanabidii" group.
>> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > > an
>> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >
> ukishatuma
>>
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree
>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma

>> > "Wanabidii"
> group.

>> > Everyone posting
> to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree
>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment