Monday 8 April 2013

Re: [wanabidii] Re: Kaspersky Virus

Thank you Yona for the information. May God bless you.

On 4/8/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Kaspersky Antivirus ni moja ya Antivirus Bora na nzuri zaidi katika
> kipindi cha miaka 3 iliyopita kuanzia Toleo la 2011 , 2012 na Sasa
> 2013 , Ubora wake unategemea na mazingira ambayo upo wewe mtumiaji na
> programu unazotumia kwenye kompyuta yako .
>
> Kuhusu kukulinda unapo peruzi kurasa za tovuti mbalimbali hii
> inategemea kama Antivirus yako iko UPDATED kwa wakati huo unavyo
> perusi kurasa mbalimbali au kudownload programu mbalimbali kwa ajili
> ya matumizi yako .
>
> USHAURI WANGU
>
> 1 - Kama uko kwenye mtandao kwa muda mrefu ni vizuri utumie Kaspersky
> Internet Security kuliko Antivirus
> 2 - Hakikisha unafanya update za mara kwa mara za bidhaa zako haswa
> hizi za ulinzi kama antivirus ili uweze kuwa salama zaidi
> unapotembelea tovuti mbalimbali au kufanya manunuzi wka njia ya
> mtandao .
> 3 - Hakikisha Bidhaa yako ni Licenced .
>
>
>
> On Apr 8, 11:33 am, Faiza Hassan <antiho...@gmail.com> wrote:
>> Can Kaspersky anti virus protect your PC if you decide to browse net?
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment