Saturday 20 April 2013

Re: [wanabidii] Raymond Mbilinyi awa Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa

Hongera sana Mr Mbilinyi. Kazi kubwa iliyoko mbele yako ni kuhakikisha kuwa ile kauli mbiu/sera ya Kilimo Kwanza inakuwa ya tija kwa wakulima wadogo wadogo na si kutenga maeneo makubwa makubwa kwa ajili ya wawekezaji wakubwa na kuanza kuzalisha GMOs!

2013/4/20 A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
Hongera sana Mbilinyi. Chapa kazi

ASK

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, April 20, 2013 5:27 PM
Subject: [wanabidii] Raymond Mbilinyi awa Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Raymond P. Mbilinyi kuwa Katibu Mtendaji, Baraza la Biashara la Taifa , (TNBC).

Taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa, 19 Aprili, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Machi 4, mwaka huu, 2013.

Kabla ya uteuzi huu, Bwana Raymond P. Mbilinyi  alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendanji, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na anachukua nafasi iliyoachwa na Bwana Dan Mrutu.

"Mwisho"

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
DAR ES SALAAM.
19 Aprili, 2013

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment