Friday 26 April 2013

Re: [wanabidii] Profile - Daktari Yona Fares Maro

Eng K.E.M.S
 
Kwangu bado nina mashaka na hiyo PHD. Kwamba anayo sio big deal kwa mazingira tunayoishi siku hizi, big deal ni jinsi gani hiyo Phd inamsaidia ku-reason na kupambanua mambo. Mara zote nilikuwa namwambia kuwa bila ya kujali kuwa unaleta baadhi ya hoja humu kwa maslahi gani, watu watachukulia kuwa huo ndio uwezo wako halisi wa kupambanua mambo kumbe wewe unaweza kuwa una ulterior motives zako.
 
Yona kafanya mengi mazuri lakini not to the best of his ability na bado ana nafasi ya kutumia his best abilities for the good of the country. Ngoja tusubiri tuone...............Hata mimi kuna watu wengi tu nimewasaidia kwenye field yangu anyway!

On Fri, Apr 26, 2013 at 7:18 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Watanzania bwana hatuwezekani.
 
Watu wengi hapa jukwaani walikuwa wakimshambulia kwa kejeli na wengi wakihoji kiwango cha uelewa wa kijana YFM. Sasa baada ya kutolea wasifu wake na kuona kuwa huyu kijana ni HIGH CARIBER wengi tumeanza kurudi kwa kusifia na kujiweka sawa ikiwezekana hata karibu naye. Hii ni ajabu sana.
 
Kwa mwendo huo wengine wasio na majina au wasifu mkubwa kama wa YFM ni kuchafuliwa kwa kwenda mbele tu. Hii siyo tabia njema. Wanabidii wote nawaheshimu sana kwa vile najua ni watu wenye uelewa mkubwa sana wa mambo. Mengi wengine tumejifunza hapa tangia tuwepo. Tatizo lililopo kwenye jukwaa hili ni siasa, mtego huu umetunasa wengi (na mimi nikiwemo) kiasi kwamba lolote ambalo tunadhani linataka kukuharibia upande uliopo baso lazima lipingwe kwa nguvu zote.
 
Hali kama hii ni kujifungia ndani ya sanduku na kushindwa kuona nje kuna nini, nashauri kuwa tuzidi kuheshimiana tu bila kuangalia kwamba fulani ana nini, kasoma wapi au anafanya kazi gani. Sisi ni watanzania na hakuna aliyechagua kuzaliwa Tanzania ili tulipewa na MUNGU.
 
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA MUUNGANO.
 
K.E.M.S.
From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 22 April 2013, 8:09

Subject: Re: [wanabidii] Profile - Daktari Yona Fares Maro

He is a good man anyway. I have known him for more than a year and he has thought me many things.  We see each other nearly every day. He has a sense of humor and ready to assist whenever needed. He talk less and think big. You can read his thoughts in many of his articles but when you with him he rarely talk. In many of these forums, many identified themselves as CCM or CDM. I would rather enter into the discussion with a different approach. Criticize whoever kama kuna sababu, and praise whoever kama kuna sababu. Nafikiri ndiyo Yona amekuwa akifanya hapa. Anaweka makala nyingi sana za kazi, makala za kijamii, makala za kisiasa, makala ambazo zinaleta discussion na wengine wetu kuelewa mambo kwa upana hata kama hatuchangii kila mara. Mimi nimefaidika sana na makala nyingi alizoweka Yona hapa hasa za mazingira na uchumi. Sijawahi kumuuliza kama analipwa na nani maana nahisi tungefaa tumlipe. Au kama kawaida tunasubiri tu kuenzi legacy? We should appreciate from now. If i had a project that needed a serious person i would not hesitate to approach him.
NB: This is only my personal interpretation of the above discussion, should there be anything behind the scene, i am totally ignorant of.

On Mon, Apr 22, 2013 at 5:13 AM, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:
anakaa  Kijitonyama

On 4/22/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
> Yona F. Maro
>
> Umesomeka kaka....
>
> KEMS
>
> Sent from Yahoo! Mail on Android
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment