Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] Profile - Daktari Yona Fares Maro

Kwa hiyo ni kweli ww ni daktari wa philosophy!? Make ndivyo profile ilivyosema

On Apr 21, 2013 1:36 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu yangu

Kuna mambo naomba niweke sawa .

1 – Sijawahi kuwa kada wa CCM wala kubeba kadi ya CCM wala chama chochote cha siasa Tanzania labda kama niliandikishwa bila mimi mwenyewe kujua , napenda kushiriki masuala ya siasa kwa sababu ni maisha .

2 – Nimewahi kufanya kazi EU chini ya kampuni nyingine za TEHAMA kama contractor tu , ubalozi wa uingereza sijawahi lakini nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni moja ya masuala ya ulinzi ambayo ilikuwa na uhusiano na ubalozi .

3 – nimewahi kufanya shuguli kadhaa maeneo mengi ya afrika mashariki kwa vipindi vifupi vifupi zinazohusiana na masuala ya Ulinzi kwa maslahi yetu sote .

Mara nyingi kazi hizi unatakiwa uwe active sana kwa kipindi Fulani mpaka Fulani na  kuacha  mapema zaidi ya shuguli nyingine za kawaida - kulingana na majukumu yako .

4 – Sijawahi kuajiriwa ndani ya taasisi yoyote ya ulinzi na usalama ya serikali , lakini kama mwananchi wa kawaida kama wewe na kama mdau wa Tehama inapohitajika kutoa ushauri , maongezi na vitu vingine muhimu basi tunawasiliana .

5 – Nilishikiri kwenye Uhuruto kama nilivyoshiriki kampeni za FOS mwaka 2010 .

6 – Sasa hivi nimeacha active duties nyingi kwa maslahi yangu na familia yangu na watu kadhaa niliowahi kufanya nao kazi wanajua hilo nimejikita zaidi katika shuguli za ushauri na kufundisha haswa TEHAMA, pia nahudhuria masomo ya ushauri ili kuondoa msongo wa mawazo niendane na maisha ya kawaida .

7 – Nimeamua kuacha vitu vyote nyuma kuanzia mafunzo, Vyeti na utaalamu wa aina mbalimbali nilowahi kujifunza ambao hauhusiani na TEHAMA nyuma ambavyo vilinifikisha kwenye nchi kadhaa wa kadhaa .

8 – Sehemu ninayoishi ni siri kubwa .

9 - Najua mumeamua kutoa hii habari kwa sababu fulani , nashukuru nimetoka huko salama waambie naendelea salama tuache uadui usiokuwa na maana tutaumiza wengine na taifa .

Ilikuwa fursa yangu nzuri sana ya kuitumikia jamii ingawa iliniweka mbali na jamii hiyo hiyo kwa namna nyingi .

On Sun, Apr 21, 2013 at 12:53 PM, Victor Mwita <victormwita@gmail.com> wrote:

Duuuh hii ni ya huyu Yona Maro ninayemjua au baba yake!? Mbona ni kijana mdogo sana?
Umesahau kwamba pia ni kada wa kutupwa wa CCM

On Apr 21, 2013 12:08 PM, "denis Matanda" <denis.matanda@gmail.com> wrote:
K.E.M.S
 
Hata mimi naona kuwa huu ni utani uliopitiliza. Kwa kuwa Yona ni moderator wa hili kundi baso najua atamshughulikia kwa namna atakayoona inafaa.......................

On Sun, Apr 21, 2013 at 8:56 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

Upuuzi tu huu, kijana mdogo kama huyu tunavyomuona hawezi kuyafanya yote hayo kwa muda huo. Swali la msingi litakuwa alizaliwa lini na kuyafanya au kupata PhD hiyo? Uzushi huu una mwelekeo wa kisiasa. Kesho mtakuja na lingine mkimuunganisha na matukio yaliyotokea hapo nyuma.

Ni mbinu za kitoto na kipuuzi mtupu. Usitupotezee muda wetu. Kawaambie waliokutuma kwamba hili limegundulika.

------------------------------
On Sun, Apr 21, 2013 9:41 AM BST denis Matanda wrote:

>Ni nini hiki? Utani au?
>
>
>On Sun, Apr 21, 2013 at 7:36 AM, Saleh Mudi <salehtz2012@gmail.com> wrote:
>
>> Worked as a security operative in Somalia ,  Juba , Easten Congo
>>
>> Worked for American embassy security
>>
>> Worked for EU Delegation Security
>>
>> Worked for Uhuruto Jubilee
>>
>> Trained in Michigan , Kenya , South Africa , Israel
>>
>> Friend of Rwandan President Paul Kagame  ,
>>
>> Speaks English , french , swahili , Arabic ,
>>
>> He is an active member of security services in east Africa countries
>>
>> Has many fake names
>>
>> No body knows where he lives
>>
>> He is IT Consultant
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
>--
>Wasalaam,
>
>Denis Matanda,
>Mine Planning Supt,
>Tanzania.
>
>*" Low aim, not failure, is a crime"*
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment