Friday 26 April 2013

RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA

Elisa, ndugu yangu nadhani unafikia hitimisho sivyo ndivyo na kwa haraka. Umejuaje hawajasoma link?umejuaje wameudhika? Binafsi nimeisoma hiyo na huo ndiyo mchango wangu. Si lazima nichangie kwenye kila hoja, mathalan. Na sio kila hoja iwavutie wachangiaji wote.
-----Original message-----
From: ELISA MUHINGO
Sent: 26/04/2013, 22:38
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA

Wasomaji wangefuatilia link wangeweza kuchangia mjadala vizuri.
Mahala fulani anasema Mawaziri wanashindwa kujibu hoja makini zinazotolewa na wabunge wa chadema. Kuna mahala amemlaumu Speaker kwa kushindwa kuendesha bunge. Basi kwa sababu kichwa cha mada kimewaudhi wachangiaji ila Lipumba ameongea ya maana

--- On Fri, 4/26/13, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:

From: lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk>
Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, April 26, 2013, 12:12 PM

Nadhi hii ni nzuri. Chadema watakumbuka kuwa kukataa kuwa na vyama vingine vyenye wabunge bungeni kuunda ka,bi rasmi ya upinzani bungeni ni fursa na changamoto. Lipumba kapata pa kushika pabaya.

Lakini kwamba enzi CUF kinaongoza kambi ya upinzani hoja zilikuwa nzito hata kuwabana wabunge wa CCM hapo tena Lipumba katia chumvi nyingi. Na pia ni vema kuwa ndoa ya vyama hivi viwili kule zanzibar imekuwa kama sindano ya ganzi kwa chama cha wananchi.

Mwisho, nadhani mkakati wa wabunge wa chadema, bila kujali labels wanazopewa, uko effective si tu ktk kukibeba chama chao bali pia kujaribu kusukuma agenda za kitaifa. For in an oppressive atmosphere the best good people can do is try to disobey the bad laws!
-----Original message-----
From: hkigwangalla@gmail.com
Sent:  26/04/2013, 20:47
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA

Duh! Sasa siasa imepamba moto! CUF rasmi katika uwanja wa siasa za uzalendo zaidi!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Apr 2013 10:33:17
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA
WA VURUGU NA HAWANA HOJA

Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa
kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
<http://www.blogger.com/null>

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim
Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa kwenda
bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama jinsi
CCM wanavyofanya.

Taarifa hiiinaendelea kwa undani hapa chini:

http://goldentz.blogspot.com/2013/04/profesa-lipumba-aiponda-chadema-na.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment