Wednesday 17 April 2013

Re: [wanabidii] NISIAMBIWE SIMPENDI MAMA WATOTO WANGU!

Nkumbaruko, daaahhh, una mbwembwe na umekosa cha kulaumu ukaamua tu utafute lawama popote zilipo kama hazipo basi uzilazimishie....

Hapo huna mantiki kabisa, wala hamna cha kuwa discussed hapo...

Jipange upya cz hilo ni jambo lipo wazi kua inaruhusiwa na ni muhimu tena sana... For mindset ofcourse....

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 17 Apr 2013 06:56:36 -0700 (PDT)
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] NISIAMBIWE SIMPENDI MAMA WATOTO WANGU!

Jamani, samahanini. 
Tafadhalini nisiambiwe kuwa simpendi mama watoto wangu, lakini haya ya Mzee JK naona sasa yanazidi.
Inakuaje Rais akiwa anaongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na ujumbe wa serikali ya nje 
hawezi kuachana na mama watoto wake hata kwa dakika moja? Hivyo hawa wawili hawawezi kuachana hata kidogo 
ili baba akafanyakazi tuliompa Watanzania? Hivyo kweli patakuwa na mazungumzo hapo na mama akiwa pembeni?
Naona hata Membe yamemshinda haya maanake kajiweka kipembeni.
Is our delegation on an official visit or on a love affair?

Ona mwenyewe hapa kutoka ippmedia:

0 comments:

Post a Comment