Thursday 25 April 2013

Re: [wanabidii] Nilimwona Mbongo anakuja na...

Hahahahahh! Afadhali wengi tumechukulia kama kichekesho badala ya dharau kwa Utanzania wetu. Kama alivyosema kaka Matinyi, huyu Mbongo aliporejea na matikiti 10 na kusababisha kifo cha Mkenya (kumbuka Mkenya aliuawa kabla askari wa China hajajua sababu ya yeye kucheka), wale skari walipogeuka na kumwona mzee mzima na furushi la matikiti, acha wacheke! Kwani hata bunduki zilibebeka?

Matinyi, kweli jamaa yuko mtaani anadunda, sijui yale matikiti (ya kichina) alikuja nayo!

2013/4/25 lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk>
Tehe teheeeeeee. Uhusika wa mtanzania pia unaweza kutazamwa kwa upande kwamba alikuwa ndiye 'mjanjaest' kwanza aliwalia timing wenzake waliojipendekeza kurudi mwanzo. Yaweza kuwa alipata matunda yake mapemaaaa ila akajibanza aone kifuatacho. Aliposhuhudia kuwa mambo yenyewe ni kumeza matunda akaona eheeeee hapa hapa nikitoka na matikiti wachina watabrooo wanaweza badili msimamo. Naam alisababisha mkenya kucheka...kwa kuwa stori haitwambii kilichotokea kwake hatuna sababu ya kutoamini kwamba aliachiwa huru hata labda risasi zilikwisha au vyovyote vipi kama kawa MBONGO Akasavaivu!!!chezeiyaaaaaaa
-----Original message-----
From: isack mchungu
Sent:  25/04/2013, 11:25
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Nilimwona Mbongo anakuja na...

Na mtanzania ndo alisababisha mkenya apigwe risasi, maana mkenya aliona mtz
kapinda kama mganda kashindwa kumeza chungwa yeye tikiti maji itakuaje
ikabidi acheke, akakosea mashariti.

2013/4/25 mngonge <mngonge@gmail.com>

> Ni just kichekesho ila tunaweza kukijadili kwa kuangalia nafasi aliyopewa
> mtanzania. Binafsi naona mtoa kichekesho kaangalia mambo kadhaa yanayotokea
> katika nchi zetu za afrika mashariki. Mtanzania hakuwa na uwezo wa
> kuangalia mbali ukifananisha na wenziye.Nafikiri kila mtu anayajua matikiti
> maji,kubeba matikiti maji kumi ni mzigo mzito. Kama adhabu ingekuwa ni
> kutembea nayo mwendo mrefu sijui ingekuwaje kwa huyo mtanzanai?
>
>
> 2013/4/25 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
>
>> Ukiangalia kwa wepesi unaweza gundua ni kama mtanzania alidhihakiwa kama
>> asie na weledi lakini sio tusipaniki bure kwa vile hakuna aliefahamu baada
>> ya matunda kuletwa kingefuata nini, na kama wangetaarifiwa then mbongo
>> akafanya alichofanya ndo ingekuwa na mantiki kuwa mbongo hakuwa na akili
>> hiki ni kichekesho ndugu zangu tuendeleee kufurahishana KICHEKO KIMOJA KWA
>> SIKU KINA FAIDA KULIKO KULA APPLE MOJA KWA SIKU
>>
>>
>> 2013/4/25 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>
>>> Kilichotokea ni kwamba Mbongo aliachiwa kwa sababu haya matunda
>>> hayamezeki hata kwa chatu mtoto. Asharudi yuko mjini anadunda.
>>>
>>>  ------------------------------
>>> Date: Wed, 24 Apr 2013 22:40:58 +0200
>>>
>>> Subject: Re: [wanabidii] Nilimwona Mbongo anakuja na...
>>> From: esulle17@gmail.com
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>
>>> Bukhi umepatia maana halisi ya hili story. Uzuri ni kuwa hawajaambiwa
>>> matunda watameza, kwahiyo Mtz yuko fiti kabisa. Amepata matunda yenye afya
>>> kabisa, yanasafishi figo zote! Ha ha ha!
>>>
>>>
>>> 2013/4/24 Mathew Bukhi <bukhimathew@gmail.com>
>>>
>>> Chifu, mbona hapo Mtanzania hajadharaulika? Tena mimi nimemchukulia huyu
>>> Mtanzania kama mtu ambaye ali-aim for the biggest of all; ambaye alitaka
>>> kudhihirisha kwamba yeye ni mtafutaji mwenye kutumia nguvu zake zote.
>>> Hivi huoni hata hilo? Mimi nimechukulia huo uchesi kwa mtazamo chanya.
>>> Hivi, kwa mfano hao wachina waliowakamata, wangesema kwamba aliyekuja na
>>> matunda madogo (pengine wangemwona mtu huyu ni mvivu sana) ndiye anauawa,
>>> ungechukuliaje huyu uchesi?
>>>
>>> Hivyo, furahi uongeze siku za kuishi. Tazama uchesi katika hali ya
>>> 'uchanya', na hautasononeka.
>>>
>>>
>>> On Wednesday, April 24, 2013, fadhil fadhil wrote:
>>>
>>>  kuna kitu kingine nimekinote hapa kuwa watanzania tunajidharau sana,
>>> na hili ndilo tatizo letu tumefikia hatua mpaka tunajitolea mifano
>>> isiyokuwa na kichwa wala miguu.
>>> Sio kweli kama watanzania wote tupo kama mfano wa ndugu yangu
>>> alioutoa, bado kuna watu makini na wazalendo wanaipenda nchi yao wapo
>>> tayari kuitumia katika hali ya ukweli na uaminifu, na wangine
>>> wanaendelea kuitumikia kwa hali zote
>>> Tatizo letu kwa sasa kila mtu kuwa kufanya kazi ya siasa, nawasihi
>>> kama raia hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania hii tuliyonayo.Jamani
>>> tujiheshimu na kujithamini utu wetu, wengi wetu tumekuwa tukilamika na
>>> mambo mengine ya kizushi ambayo mwisho siku hayalisaidii taifa.
>>> Binafsi naipenda nchi yangu hata kama itakuja mifano ya kudhalilisha
>>> kiasi gani, Kiukweli hatufanani na mifano hiyo inayotolewa
>>>
>>>
>>>
>>> On 4/24/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
>>> > daa hii kali!
>>> >
>>> > On 4/24/13, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:
>>> >> Kaka sina mbavu mie!!!
>>> >>
>>> >>
>>> >> 2013/4/24 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>> >>
>>> >>> Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa huko Uchina.
>>> Wakaambiwa
>>> >>> adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo
>>> >>> atakayeifaulu atakuwa huru, na atakayeshindwa atauawa.
>>> >>>
>>> >>> Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao.
>>> >>>
>>> >>> Wakapelekwa msituni wakaambiwa  kila mmoja aende kwa njia yake halafu
>>> >>> arudi na matunda kumi ya kufanana.
>>> >>>
>>> >>> Wakaingia msituni kila mtu kashika njia yake.
>>> >>>
>>> >>> Mganda akarudi wa kwanza na machungwa kumi. Akaambiwa adhabu ni
>>> kulimeza
>>> >>> moja moja likiwa zima bila kufumba macho, bila kulia, wala kucheka,
>>> wala
>>> >>> kujitikisa, mpaka yote kumi yaishe. Akameza la kwanza. Safi. Kumeza
>>> la
>>> >>> pili, akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigwa risasi, akafa.
>>> >>>
>>> >>> Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogo kama pipi, vilaini. Akasomewa
>>> >>> masharti. Akaanza kumeza bila kufumba macho wala kulia, wala nini...
>>> >>> alipofika cha tisa akashindwa kuvumilia, akaangua kicheko! Akapigwa
>>> >>> risasi,
>>> >>> akafa.
>>> >>>
>>> >>> Wakiwa kuzimu, Mganda akamwuliza Mkenya, "Vipi, mbona ulishindwa
>>> >>> kuvumilia
>>> >>> wakati kilibaki kitunda kimoja tu?"
>>> >>>
>>> >>> Mkenya akamjibu: "Mkuu, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona
>>> >>> Mbongo
>>> >>> anakuja na matikiti maji!"
>>> >>>
>>> >>> Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2RMjsJgsZ
>>> >>>
>>> >>> --
>>> >>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> >>>
>>> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> >>> ukishatuma
>>> >>>
>>> >>> Disclaimer:
>>> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> >>> legal
>>> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must
>>> >>> be
>>> >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> >>> agree
>>> >>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >>> ---
>>> >>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> >>> Groups
>>> >>> "Wanabidii" group.
>>> >>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>> send
>>> >>> an
>>> >>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> >>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>> >>>
>>> >>>
>>> >>>
>>> >>
>>> >> --
>>> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> >>
>>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> >> ukishatuma
>>> >>
>>> >> Disclaimer:
>>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> >> legal
>>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must
>>> >> be
>>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> >> to
>>> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >> ---
>>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> >> "Wanabidii" group.
>>> >> To unsubscribe from this
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Mathew Bukhi
>>> Geography Department
>>> University of Dodoma
>>> P.O Box 395
>>> +255 688 724063
>>> Skype account: mathew.mabele.bukhi
>>> Twitter account: Mathew Bukhi @atuyu
>>>
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>  --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment