Wednesday 24 April 2013

Re: [wanabidii] Nilimwona Mbongo anakuja na...

Bukhi umepatia maana halisi ya hili story. Uzuri ni kuwa hawajaambiwa matunda watameza, kwahiyo Mtz yuko fiti kabisa. Amepata matunda yenye afya kabisa, yanasafishi figo zote! Ha ha ha!


2013/4/24 Mathew Bukhi <bukhimathew@gmail.com>
Chifu, mbona hapo Mtanzania hajadharaulika? Tena mimi nimemchukulia huyu Mtanzania kama mtu ambaye ali-aim for the biggest of all; ambaye alitaka kudhihirisha kwamba yeye ni mtafutaji mwenye kutumia nguvu zake zote. Hivi huoni hata hilo? Mimi nimechukulia huo uchesi kwa mtazamo chanya. Hivi, kwa mfano hao wachina waliowakamata, wangesema kwamba aliyekuja na matunda madogo (pengine wangemwona mtu huyu ni mvivu sana) ndiye anauawa, ungechukuliaje huyu uchesi?

Hivyo, furahi uongeze siku za kuishi. Tazama uchesi katika hali ya 'uchanya', na hautasononeka.


On Wednesday, April 24, 2013, fadhil fadhil wrote:
 kuna kitu kingine nimekinote hapa kuwa watanzania tunajidharau sana,
na hili ndilo tatizo letu tumefikia hatua mpaka tunajitolea mifano
isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Sio kweli kama watanzania wote tupo kama mfano wa ndugu yangu
alioutoa, bado kuna watu makini na wazalendo wanaipenda nchi yao wapo
tayari kuitumia katika hali ya ukweli na uaminifu, na wangine
wanaendelea kuitumikia kwa hali zote
Tatizo letu kwa sasa kila mtu kuwa kufanya kazi ya siasa, nawasihi
kama raia hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania hii tuliyonayo.Jamani
tujiheshimu na kujithamini utu wetu, wengi wetu tumekuwa tukilamika na
mambo mengine ya kizushi ambayo mwisho siku hayalisaidii taifa.
Binafsi naipenda nchi yangu hata kama itakuja mifano ya kudhalilisha
kiasi gani, Kiukweli hatufanani na mifano hiyo inayotolewa



On 4/24/13, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:
> daa hii kali!
>
> On 4/24/13, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:
>> Kaka sina mbavu mie!!!
>>
>>
>> 2013/4/24 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>
>>> Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa huko Uchina. Wakaambiwa
>>> adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo
>>> atakayeifaulu atakuwa huru, na atakayeshindwa atauawa.
>>>
>>> Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao.
>>>
>>> Wakapelekwa msituni wakaambiwa  kila mmoja aende kwa njia yake halafu
>>> arudi na matunda kumi ya kufanana.
>>>
>>> Wakaingia msituni kila mtu kashika njia yake.
>>>
>>> Mganda akarudi wa kwanza na machungwa kumi. Akaambiwa adhabu ni kulimeza
>>> moja moja likiwa zima bila kufumba macho, bila kulia, wala kucheka, wala
>>> kujitikisa, mpaka yote kumi yaishe. Akameza la kwanza. Safi. Kumeza la
>>> pili, akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigwa risasi, akafa.
>>>
>>> Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogo kama pipi, vilaini. Akasomewa
>>> masharti. Akaanza kumeza bila kufumba macho wala kulia, wala nini...
>>> alipofika cha tisa akashindwa kuvumilia, akaangua kicheko! Akapigwa
>>> risasi,
>>> akafa.
>>>
>>> Wakiwa kuzimu, Mganda akamwuliza Mkenya, "Vipi, mbona ulishindwa
>>> kuvumilia
>>> wakati kilibaki kitunda kimoja tu?"
>>>
>>> Mkenya akamjibu: "Mkuu, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona
>>> Mbongo
>>> anakuja na matikiti maji!"
>>>
>>> Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2RMjsJgsZ
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this


--
Mathew Bukhi
Geography Department
University of Dodoma
P.O Box 395
+255 688 724063
Skype account: mathew.mabele.bukhi
Twitter account: Mathew Bukhi @atuyu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment