Wao, wenzetu, wanatafuta wahalifu kwa kuionesha HAKI, sisi kwetu wanatafuta wahalifu kwa kuzidi kuipinda HAKI, kwa hakika kwetu wahalifu wa KIBANDA, wanakimbizwa wasijulikane kwa umma. wenyewe wanawajua vizuri tu, hawataki wajulikane, hawataki wapelekwe kwenye sheria iwabane.
Sasa jiulize WHY hawataki sheria iwabane wahalifu wa KIbanda?
Jibu ni rahisi kwamba ni kwasababu wao waliotenda na hao wanaojitia kuwatafuta, lao ni moja.
Jabir+
--- On Sat, 4/20/13, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:
From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] MSHUKIWA WA MABOMU BOSTON MAREKANI AKAMATWA, KAKA YAKE AUAWA To: wanabidii@googlegroups.com Date: Saturday, April 20, 2013, 3:06 AM
Kwanini sisi AFRICA kila siku tunasema tusijilinganishe na wenzetu lakini yakifika masuala mengine tunasema binadamu wote ni sawa? Kwahiyo tukubali kuwa sisi akili zetu duni, mbinu zetu duni na basi kila kitu hoi. Me binafsi sikubaliani moja kwa moja na usemi huu maana kama ni akili tunazo ila tu tumezoea kujifanya wazembe na kukosa uongozi madhubuti!
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment