Saturday 27 April 2013

Re: [wanabidii] Msaada wakuu, frm Thehabari.com

SAFI SANA TAMWA, HAYO NDIO MAMBO TUNAYOYATAKA WATANZANIA, MMEONESHA
MFANO KATIKA HILO, HIZO NDIZO HARAKATI TUNAZOZITAKANA NA SI HARAKATI
ZA KUENEZA CHUKI NA KUTUMIKA NA VYAMA AU WANASIASA.

On 3/27/13, tamwa@tamwa.org <tamwa@tamwa.org> wrote:
>
>
>
> Hi Joachim,
> Good day hongera kwa kazi, we have seen your work
> hongera sana.
> Regards Bahati
>> *Utafiti wa Tamwa wamrudisha
> mwanafunzi shuleni
>
>> *
>
>>
>
>> *
>
>> *
>
>>
>
>> Na Thehabari.com, Handeni
>
>>
>
>>
>
>> UTAFITI wa kihabari uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari
> Wanawake
>
>> Tanzania (TAMWA), Machi 2012 umefanikisha kumrudisha shuleni
> mwanafunzi wa
>
>> sekondari aliyekuwa ametelekezwa yeye pamoja na familia yao.
>
>>
>
>> Mwenjuma Magalu ambaye kwa sasa ni mwanafunzi wa kidato cha pili
> katika
>
>> Shule ya Sekondari Komnyang&rsquo;anyo alitelekezwa na babayake yeye
> pamoja na
>
>> mamayake mwaka jana, hivyo kushindwa kujiunga na kidato cha kwanza
> katika
>
>> shule hiyo licha ya kuchanguliwa kuendelea na masomo.
>
>>
>
>> Hata hivyo baada ya utafiti wa kihabari kufanyika kijijini Msasa
> Wilaya ya
>
>> Handeni na taarifa za mtoto huyo kushindwa kujiunga na sekondari
> baada ya
>
>> mamayake (kwa sasa marehemu) kukosa uwezo kuripotiwa, alijitokeza
> mfadhili
>
>> wa kumsomesha ambaye anagharamia masomo yake hadi sasa.
>
>>
>
>> Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi akiwa shuleni
> Komnyang&rsquo;anyo,
>
>> mwanafunzi huyo aliishukuru TAMWA kwa kuibua tatizo la familia yao
> kwa
>
>> umma
>
>> na kupatikana kwa mfadhili ambaye amemrudisha masomoni licha ya
> familia
>
>> yao
>
>> kutelekezwa.
>
>>
>
>> &ldquo;Binafsi nawashukuru sana hao (TAMWA) waliopaza sauti hadi mjuu
> wangu
>
>> kurudi shuleni&hellip;hii kwetu ilikuwa ni ndoto kwetu maana mtoto
> mwenyewe
>
>> alikuwa amekata tamaa kabisa kurudi shuleni na alikuwa kaanza
> kufanya
>
>> vibarua mitaani huku wenzake wakiendelea na shule,&rdquo; alisema
> bibi wa mtoto
>
>> huyo, Amina Mohamed akizungumza.
>
>>
>
>> Bibi huyo akizungumzia maisha ya sasa ya familia hiyo alisema bado
>
>> wanahitaji msaada wa huduma hasa baada ya mwanaye kufariki dunia
> mwaka
>
>> jana
>
>> na kumuachia watoto wake.
>
>>
>
>> Aliongeza kwa sasa yeye ni mgonjwa wa TB anayetumia dawa hivyo kwa
> hali
>
>> yake ameshauriwa kupumzika jambo ambalo limempa mzigo mkubwa
> kimajukumu
>
>> mwanafunzi (Mwenjuma), kufanya kazi za nymbani kama kupika kulima
> na
>
>> shughuli nyingine.
>
>>
>
>>
>
>>
>
>> Hata hivyo mama wa mtoto huyo (Hadija Magalu) ambaye alitelekezwa na
> mzazi
>
>> mwenzake alifariki dunia mwaka jana kwa tatizo la uzazi na kuiacha
> tena
>
>> familia hiyo ya watoto watatu katika hali ngumu zaidi chini ya malezi
> ya
>
>> bibi mzaa mama.
>
>>
>
>> *Imeandaliwa na www.thehabari.com kwa kushirikiana na TAMWA
>
>>
>
>>
>
>>
>
>> *Maelezo Picha*
>
>>
>
>> Mtandao -1
>
>> Mwenjuma Magalu (wa kwanza kulia mstari wa pili) ambaye kwa sasa
> ni
>
>> mwanafunzi wa kidato cha
>
>>
>
>> pili Shule ya Sekondari Komnyang&rsquo;anyo akiwa darasani na baadhi
> ya
>
>> wanafunzi
>
>> wenzake
>
>>
>
>> alipotembelewa na mwandishi wa habari hizi.
>
>>
>
>> Mtandao-2
>
>> Bibi wa mwanafunzi Mwenjuma Magalu, Amina Mohamed (kulia) akizungumza
> na
>
>> Mhariri wa mtandao wa
>
>>
>
>> Thehabari, Joachim Mushi kijijini Msasa, wilayani Handeni juzi.
>
>>
>
>>
>
>>
> ____________________________________________________________________________
>
>> Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
>
>> *Mail address:-* mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/
>
>> info@thehabari.com
>
>> *Mobile:-* 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
>
>> *Web:-* www.thehabari.com
>
>> http://joemushi.blogspot.com
>
>>
>
>> --
>
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>>
>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha
>
>> ukishatuma
>
>>
>
>> Disclaimer:
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
>
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> must
>
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
>
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>> ---
>
>> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
>
>> "Wanabidii" group.
>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
> send an
>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>>
>
>>
>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment