Wednesday 3 April 2013

Re: [wanabidii] Michongoano

Sawa kabisa kaka Ruben..hoja yangu ya msingi ni kwamba....wengi wetu tunaongea/andika tu ila hakuna chchote tunachofanya....ndiyo maana hata kuna wakati wanabidii walitaka angalao tukutane kufanya kwa vitendo matokeo yake walijitokeza watu 4 tu!..kwenye hili kundi kubwa la wanabidii...hata haya ambayo ni serious tunayoandika huku ni kulalama zaidi bila matendo,hatujipangi..hatutoi suluhisho na muda mwingi..na wengi wetu 95% hata huwa hatusomi makala ya wengine yanayoandikwa humu...mie sijakata tamaa ila nimeacha kuongea..natenda....na uzuri wa nchi yetu kuna mambo mengi sana ya kufanya..mfano pale mtaani kwako kuna vijana..je umewahi kukaa nao ukawajulia kinachowasibu?au tunaona vijana wote wamepotea?waavuta bangi?kizazazi cah face book na ku-sag suruali? "Lets stop singing..and start swinging"-Malcolm X...HIVYO bwana Reuben..before we point finger..je umefanya nini kurekebisha hali iliyopo?
Adhuhuri njema kaka..

On Wed, Apr 3, 2013 at 3:46 PM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Mejah;
So kama tumekosea tuendelee kukosea??!!Hatuwezi tena kurekebisha mapito?
Huko ndo kukata tamaa ambako hata vitabu vitakatifu vinakwambia ni makosa kukata tamaa.
Wewe endelea tu kulalama, wengine tunachukua hatua.
Kawaida watoto wana utani wao na wakubwa vilevile,sasa usichanganye mambo kwa kuleta utani wa Watoto kwa Wakubwa tutaona na wewe hujakua au uliruka stage ndo mana unatamani ya watoto sababu hukuyafanya kwa wakati wake.

Reuben

From: mejah mbuya <mejaah@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 3, 2013 12:05 AM
Subject: Re: [wanabidii] Michongoano

tungekuwa siriaz nchi isingekuwa hapa..hatungeruhusu hali ifike hapa tulipo...tusingekuwa tunaandika tu humu bila matendo,tusingekuwa tunalalamaa tu kwa kila ilhali sisi wenyewe pia hatutimizi majukumu yetu..utani ni sehemu ya maisha na utamaduni...WA MWAFRIKA   anayeona ni utoto basi tungeomba atusaidie namna ya kuondoa uozo uliopo nchini..na si kwa serikali tu hata sisi je tumefanya nini zaidi ya kutoa lawama.....NCHI YA WAZUGAJI..NA KU-PRETEND......UNAFIKI UTUTUUUUUUUUUAAAAAAA

On Wed, Apr 3, 2013 at 7:20 AM, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
Yes Malima;
Tunaweza kurelax kikubwa sio kufanya mambo ya watoto.
Na ikiwezekana kuwa serious all the time itakuwa nzuri mana tupo nyuma sana scientifically as well economically.
 
Reuben

From: James Malima <james.malima@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, April 2, 2013 2:20 AM
Subject: Re: [wanabidii] Michongoano

Nadhani alitaka watu wa relax kidogo, bahati mbaya mnataka kuwa serious muda wote.

Sent from my iPhone

On 2 Apr 2013, at 17:12, Faiza Hassan <antihongo@gmail.com> wrote:

> You are right Reuben. Sielewi kwa nini mambó ya watoto yakaletwa hapa.
>
> On 4/2/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>> Comrades;
>> Sijaelewa nini maana ya hii meseji au michongoano??
>> Ninachoona ni utoto tu,kwani hatuna mambo ya msingi ya kuleta hapa?
>>
>>
>> Reuben
>>
>>
>>
>>> ________________________________
>>> From: Faiza Hassan <antihongo@gmail.com>
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Sent: Tuesday, April 2, 2013 12:38 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] Michongoano
>>>
>>> Lugha ya Kenya. Lete original TZ ni nzuri.
>>>
>>> On 4/2/13, Tracy John <tracykwetu@gmail.com> wrote:
>>>> 1)Wewe ni mlafi mpaka ukimaliza kuvuta fegi unalamba vidole!
>>>> 2)Nasikia kwenu mumeendelea hadi mko na teabags za uji!
>>>> 3)Wewe ni fala hadi una-rewind CD - yes, CD! - na biro!
>>>> 4)Doggy yenu imekonda hadi ikipewa jina ina collapse juu ya mzigo.
>>>> 5)Grandbuda yako ni mzee; alikuwa shamba boy was Garden of Eden
>>>> 6)TV yenu ni deadly, ukiiwasha inasema "Please insert Pin Code"
>>>> 7)Ati wewe ni mjinga, mamako akikutuma ukanunue color-TV, una muuliza
>>>> "Ya
>>>> colour gani"
>>>> 8)Nyumba yenu ni ya nyasi, sa wezi wakicome wanashout "fungua ama tulete
>>>> ngombe"!
>>>> 9)Umeunga vinoma , mpaka we hupeel maembe kama njugu!
>>>> 10)Mshuto yako ni kali hadi mende za kwenu zinasema afadhali doom!
>>>> 11)We ni fala mpaka ulipika chapo na 'Fair & Lovely' ndio zitoke Light
>>>> and
>>>> Soft
>>>> 13)Madha wako ni fala ye huenda ku-buy barsoap kwenye bar!
>>>> 14)Ati manzi wako ana mdomo chafu akitema mate inageuka mbolea
>>>> 15)Nyanya yenu ni mzee mpaka gav ikamnyaganya ID
>>>>
>>>> Kweli ni zamo tulipochongoana.
>>>>
>>>> --
>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal
>>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>>> be
>>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>>> to
>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment