Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] MH.Edward Lowassa kupewa tuzo ya heshima

Katika nchi yenye mizengwe na mangumashi hiyo ndo style ya kujikomba ili ukombolewe kiuchumi, watu wamekwishanusa na kuona kwamba ndani ya sisiem hakuna zaidi ya Lowasa hivyo ni vyema kuanza kumtukuza mapema ili baadaye wapewe fursa mbalimbali. Si viongozi wa dini tu wapo wengi wa aina hii

2013/4/21 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
ajabu sana Lowasa alichafuliwa sana kila mtu alimuona fisadi, leo hii
anaonekana shujaa na, tena hao wanaojiita viongozi wa dini ndio
waliokuwa mstari wa mbele kumshutumu kuwa fisadi na serikali yote ya
kifisadi wakiongozwa na wanasiasa waliokuwa na interest binafsi, Leo
hii amekuwa mr.clean na sio fisadi tena, jamani tuacheni siasa za
kuchafuana na kushutumiana bila sababu na ushahidi, Wanaojiita
viongozi wa dini ndio wanaotuharibia nchi yetu na umoja wetu, pale
wanapokuwa na interest binafsi na watawala wakiwapotezea tabu
zinaanzia hapo. Mhe Lowasa kuwa makini nao sio wazuri hao, ikitokea
ukaja kuwa rais watataka wanufaike nawe, ukuikataa kutumika kwa
maslahi yao kosa, na tatizo litaanzia hapo, maneno mabaya na kashfa
zote watakutupia kama tunavyoona yanayotokea sasa, viongozi wa dini
wanafanya za wanasiasa

On 4/18/13, mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com> wrote:
> Hii ndio Bongo!!!
>
> Wonders will never cease in this country.
>
> MJL
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment