Saturday, 6 April 2013

Re: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo

Herment,

Dish unalolisema hutaona channel hata moja ya TZ, ni za nje tupu! Watz wanataka channel za Tzn ndio sababu wanahangaikia ving'amuzi viwe vya hewani (terrestrial) au satellite. Nunua digitec au Continental vipo mitaani baadhi ya miji.
Satellite unajidanganya kwavile hawwezi kuonyesha kwa muda mrefu bila kuzuiwa kulingana na sheria za copyrights, TCRA n.k.
Mabadiliko yoyote magumu, watafaulu tu hasa Digitec na Continental! Mbadala wa nje hautadumu!
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 6 Apr 2013 14:39:37 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo

Teke linalotujia inakwenda kasi kweli kweli.  Vuta pumzi kwani baada ya miezi mitatu TV ambazo ziko connected moja kwa moja na satelite zitakuwe zimejaa mtaani kwa bei poa.  Hii biashara ya vingamuzi kwishne..

Herment

> Date: Sat, 6 Apr 2013 05:45:07 -0700
> From: matthew.mdidi@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ndugu yangu umenena vema.
>  
> Hii Black Times inatutesa. Kila tukiamka tuko juu ya paa kusikilizia "Daily ya Order" ya leo Antena ielekezwe wapi, Makongo, au Kibada au Bonyokwa au hata Pemba Mnazi! 
>
>
> ________________________________
> From: mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, April 6, 2013 1:48 PM
> Subject: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo
>
>
> ndugu wanabidii
>  tangu masika yameanza hakuna mawasil;iano katika hivi ving;'amzi, watazamaji  hasa wa star times, maarufu kama black times wamekosa kabisa kutazama taarifa ya habari na vipindi vya televisheni.
>
> hivi sasa imekuwa ni kawaida kusikia sauti ya tv ikikoroma lakini picha haionekani. sasa hivi tv zimegeuka blaki sauti tu ndio inasikikaa ,hivyo ninaomba kuwashauri wale wanaoweza , wanunue mitambo au king'amzi cha dishi LNB , KATIKA maduka yote ya wahindi yaliyopo mtaa wa uhuru.
>
> bei ni shilingi 180,000 tu unapewa dishi lako na king'amzi ambacho kinarusha chanel 35 foreva bila kulipia kwa mwezi hata senti watalaamu wa kuvunga dishi ni shilingi 20,000 hadi 40,000 hivyo andaa kabisa shilingi 220,000 utafungiwa nyuumbani kwako dishi hilo na hutalipia chochote.
>
> mhindi anakuambua ukiongeza alfu 20,000 utapata LNB moja ingine ambayo kila lb moja inarusha chanel 35 kwahi naweza ona chanel 70 kwa wakati moja na hulipii, sisi tunaishangaa serikali kuwabeba hao star times badala ya kuwambia watu wanunue ungo...........mmoja wa wauzaji wa vifaa hivyo akizungumza na shirika la habari Tnpress wakati likifanya uchunguzi wa habari hiyo.
>
> --
> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

0 comments:

Post a Comment