Saturday 6 April 2013

Re: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo

Ndugu yangu umenena vema.
 
Hii Black Times inatutesa. Kila tukiamka tuko juu ya paa kusikilizia "Daily ya Order" ya leo Antena ielekezwe wapi, Makongo, au Kibada au Bonyokwa au hata Pemba Mnazi! 

________________________________
From: mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, April 6, 2013 1:48 PM
Subject: [wanabidii] mapya mtaani;Tupa king'amuzi nunua Dishi/ungo

ndugu wanabidii
 tangu masika yameanza hakuna mawasil;iano katika hivi ving;'amzi, watazamaji  hasa wa star times, maarufu kama black times wamekosa kabisa kutazama taarifa ya habari na vipindi vya televisheni.

hivi sasa imekuwa ni kawaida kusikia sauti ya tv ikikoroma lakini picha haionekani. sasa hivi tv zimegeuka blaki sauti tu ndio inasikikaa ,hivyo ninaomba kuwashauri wale wanaoweza , wanunue mitambo au king'amzi cha dishi LNB , KATIKA maduka yote ya wahindi yaliyopo mtaa wa uhuru.

bei ni shilingi 180,000 tu unapewa dishi lako na king'amzi ambacho kinarusha chanel 35 foreva bila kulipia kwa mwezi hata senti watalaamu wa kuvunga dishi ni shilingi 20,000 hadi 40,000 hivyo andaa kabisa shilingi 220,000 utafungiwa nyuumbani kwako dishi hilo na hutalipia chochote.

mhindi anakuambua ukiongeza alfu 20,000 utapata LNB moja ingine ambayo kila lb moja inarusha chanel 35 kwahi naweza ona chanel 70 kwa wakati moja na hulipii, sisi tunaishangaa serikali kuwabeba hao star times badala ya kuwambia watu wanunue ungo...........mmoja wa wauzaji wa vifaa hivyo akizungumza na shirika la habari Tnpress wakati likifanya uchunguzi wa habari hiyo.

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment