Saturday 13 April 2013

Re: [wanabidii] Majid Mjengwa Anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Tuhuma za Ugaidi

Ukiwa mwanabidii tiketi safi ya ugaidi

On 4/13/13, Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com> wrote:
> Mh jamani sasa this is too much,sijui tunakwenda wapi.Mwenye tafsiri nzuuri
> ya UGAIDI naomba atuwekee hapa.Maana nimepotea kabisaa sasa
>
>
> 2013/4/13 nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>
>
>> bandugu,
>> maggid mjengwa kapata dhamana. kawekewa dhamana na saed kubenea na
>> mbarakah islam usiku huu yapata saa tatu hivi.
>> nakumbuka leo asubuhi yapata majira ya saa nne hivi nilipigiwa simu na
>> maggid mjengwa akanambia yuo makao makuu ya polisi gorofa ya saba chumba
>> namba 704 na kwamba alikuwa ananihitaji nifike huko polisi nimshuhudie
>> akitoa/akiandika maelezo yake kuhusiana na kuhusika kwake au kutohusika
>> na
>> masahibu yaliyompata absalom kibanda ya kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa.
>> pamoja na kumhurumia maggid mjengwa kama rafiki na mdogo wangu katika
>> fani
>> ya uandishi wa habari nilimweleza kuwa nisingeweza kumsaidia kwa sababu
>> tuhuma zinazomkabili zinagusa maslahi ya mteja wangu absalom kibanda
>> ambaye
>> mimi ndiye ninayemtetea katika kesi yake ya uchochezi inayoendelea katika
>> mahakama ya hakimu mkazi kisutu.
>> hata hivyo nilijitahidi kumtafutia wakili mwingine ambapo nilimpata
>> wakili
>> aitwaye jacquiline rweyongeza ambaye nilimsindikiza hadi polisi makao
>> makuu
>> na mimi mwenyewe kumtambulisha kwa maggid mbele ya mapolisi yapatayo
>> matano
>> chini ya advocate nyombi aliyepata kuwa rpc mbeya na sasa yuko makao
>> makuu
>> ya polisi.
>> nadhani taarifa hii inasaidia kumaliza kiu ya habari hii ya kukamatwa
>> maggid kwa wanamabadiliko.
>> kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory
>>
>> --- On *Sat, 4/13/13, heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>* wrote:
>>
>>
>> From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Majid Mjengwa Anashikiliwa na Jeshi la Polisi
>> kwa
>> Tuhuma za Ugaidi
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Saturday, April 13, 2013, 9:48 AM
>>
>>
>> Halafu wewe unatumia jina fake....naamini kabisa wewe jina hili feki
>> kama sio yule jamaa wa ushahidi mbinguni bahati sana...
>>
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Saturday, April 13, 2013 5:03 AM
>> *Subject:* [wanabidii] Majid Mjengwa Anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa
>> Tuhuma za Ugaidi
>>
>> Majid Mjengwa Anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Tuhuma za Ugaidi
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1414.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1414.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1414.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> .
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> --
> Jonas Kiwia | Director
> Speedy Computers
> Tel:+255 754882825 | Cell: +255 715882825 |
> P.O.Box: 55133 | Dar esSalaam | Tanzania
> Email:jonaskiwia39@gmail.com
> URL:www.speedycomputersonline.com<http://www.speedycomputersonline.com>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment