Friday 19 April 2013

Re: [wanabidii] MAFUTA YA ZANZIBAR AU YA MUUNGANO?

Zile christmas trees nilizoona pemba nilijuzwa kuwa kiwese hakikidhi
matakwa ya kibiashara. KUWAPO ndio yapo lakini ndo ivo. HALAFU mwamba
wenyewe uloshikiria aridhi sijui mie sijabobea stesheni hiyo

On 4/19/13, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
> Angalia hitaji lako halisi ni ni ndugu mzanzibar. Tatizo lako halitokani na
> Tanganyika, chunguza unavyofikiri na imani zako.
>
> --- On Fri, 4/19/13, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:
>
>
> From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] MAFUTA YA ZANZIBAR AU YA MUUNGANO?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, April 19, 2013, 12:39 AM
>
>
>
> Hii mbaya sana, ila kwa taarifa yako WANAOIMBA HALELUYA MAKANISANI
> WANAMTUKUZA MUNGU HUYOHUYO UNAEMUABUDU WEWE, acha roho ya fitina kule
> somalia mbona wanauana wenyewe kwa wenyewe si ni waisilam wale? wamekoseana
> nini nao ni kitu kimoja?
>
>
>
>
> 2013/4/18 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>
>
>
> Hayo mafuta ya Zanzibar yanayopigiwa kelele yako?
> Naamini yakitangazwa kwamba yamepatikana Bara hakuna mtu wa Zanzibar
> atakayeyatamani.
> Hakuna mafuta wala gesi asilia Zanzibar.
> Tuacheni uchoyo, tuijenge Tanzania moja.
> Matinyi.
>
>
>
>
>
>> Date: Thu, 18 Apr 2013 08:27:12 -0700
>> Subject: [wanabidii] MAFUTA YA ZANZIBAR AU YA MUUNGANO?
>> From: fkarume@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>>
>> TUumeambiwa kuwa 'mafuta yametolewa katika orodha ya mambo ya
>> muungano'. Tumeambiwa hivyo katika mfululizo wa vikao vingi. Cha
>> mwisho kilikaa Zanzibar, beach resort, mara tu baada ya sherehe za
>> mapinduzi January 12-2013, chini ya uenyekiti wa Makamo wa Rais,
>> Dr.Bilali na huku Balozi Seif Ali Iddi.
>>
>> Vilifuata vikao vya chama – CCM, pia viliridhia hilo. BLW, na Bunge
>> limeambiwa hivyo mara elfu kidogo. Hii imekuwa nyimbo ya wanasiasa wa
>> pande zote mbili – Tanganyika na Zanzibar.
>>
>> Karibuni hivi, pinda aliliarifu Bunge kuwa 'mafuta yametolewa katika
>> orodha ya mambo ya Muungano'.
>>
>> Msimamo wa Warioba na tume yake ya katiba ni kuwa 'suala hilo
>> litajadiliwa kama sehemu ya kutengeneza katika mpya'. halina haraka?
>>
>> Jana, Mohammed Aboud, Waziri wa Nchi 9Zanzibar) Makamo wa PILI wa Rais
>> aliliarifu BLW kuwa 'bado majadiliano yanaendelea kuhusu suala hilo'
>> ama yawe ya Zanzibar au Muungano au…..vipi sijui. Yaani, suala hili
>> bado halijatolewa maamuzi, ndio maana yake.
>>
>> Ndugu, wana-mzalendo — TUKAMATE WAPI???
>>
>> Hapa ndio panaponiuma mimi kuwa tunachukuliwa Wazanzibari just for
>> granted, na just for ride. Na nyie wenzangu wengi mnakubali.
>>
>> Hii ndio hali inayotukabili Zanzibar. Tumekosa muelekeo, tumekosa
>> mawazo mbadala, tumekosa uongozi na viongozi.
>>
>> Tumegeuzwa kama mpira wa kona. Hatuna wabunge wala wawakailishi.
>> Ingalikuwa jana wawakilishi ni watu wenye akili timamu, na kumbukumbu,
>> wangaliweza kumbana Mohammed Aboud atupe ukweli wa mambo: which is
>> which???
>>
>> Jamani nchi inateketea, inatutoka hiyo.
>>
>> Nimeambiwa kuwa mara nyingi, ninatoa lawama, bila kushauri: nishauri
>> nini, nimshauri nani?
>>
>> Msimamo wangu au imani yangu: Tanganyika hawakubali wala hawathubutu
>> kuyatoa mafuta katika ulingo wa muungano, na kama watayatoa, basi ni
>> 'kimaandishi tu'; wao ndio signatories wa mikataba yote '….na
>> ushirikiana wa kimataifa….'
>>
>> Tanganyika hawakubali aslan Abadan kuitoa Zanzibar au kuiwacha
>> Zanzibar altogether. Mfanye mnavyoweza, wala msijilinganishe na ex-
>> USSR au Yugoslavia au wapi na wapi sijui. Wale wana…………watanganyika na
>> sisi hatuna.
>>
>> Sisi tusubiri, one day, tuimbishwe Aleluyah kanisani, na tutakwenda
>> kuimba na huku tumevaa misalaba. na Hatutokataa.
>>
>> Tutabaki kucheza keram, na kupanga list wa wachezaji wa Asernal,
>> Manchester United, Liverpool, na Real Madrid.
>>
>> Tutabaki kuhadith mipira kila asubuhi tu, na nchi inazidi kututoka.
>> Kigezo cha kuwa mstaarabu – ni kujua mpira na kuangalia mpira wa Man
>> United, na kumhadith Sir Alex Ferguson/na upumbavu kama huo. Mtoto wa
>> miaka saba, juzi ninamsikia anapanga list ya majina ya wachezaji
>> wataocheza usiku wake, na ilikuwa hivyo hivyo.
>>
>> Na Abdi Salem
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment